Ni kitu gani kinachoweza kukufanya uache kabisa kunywa juice ya miwa inayouzwa barabarani?

Ni kitu gani kinachoweza kukufanya uache kabisa kunywa juice ya miwa inayouzwa barabarani?

curie

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
1,124
Reaction score
2,673
Juice ya miwa ni moja ya vinywaji vinavyopendwa na watu wengi, hasa inapokuwa ya baridi ikiwa imechanganywa na tangawizi na limao!

Je, ni mazingira ya utengenezaji, usafi wa mashine, namna inavyohifadhiwa au kuna jambo jingine? 👀

😁😁😁😁
 
Myuwa inatoka Tandale kwenye uchafu, inaparazwa na kisu kidogo inachomekwa kwenye squzzer hakuna usafi wowote
 
Juice ya miwa ni moja ya vinywaji vinavyopendwa na watu wengi, hasa inapokuwa ya baridi ikiwa imechanganywa na tangawizi na limao!

Je, ni mazingira ya utengenezaji, usafi wa mashine, namna inavyohifadhiwa au kuna jambo jingine? 👀

😁😁😁😁
Siku ukiugua kipindupindu
 
Toka nianze kutumia sijawahi kupata madhara ya aina yoyote na mimi nakunywa sana maeneo ya kimara mbezi, tegeta,mbagala, uhasibu
 
Kojo Kojo Haya Mambo Tuyaache Tu 😂🤣😅😆😁😄😃😀😄😄
Wakati huohuo unatumia maji ya DAWASA 🤮🤮🤮 Una kunywa maji ya chupa tena ya hill 🤮🤮🤮
 
Moja ya kitu siwezi kunywa ni hii juice ya miwa.. mazingira ya utengenezaji wake sio rafiki kabisa
 
Siwezi kwenda kkoo niondoke bila kunywa juice ya miwa na urojo.

Huwa napenda kunywa sehemu ambayo naona watu wengi wamejaa najua juice ya hapo ni nzuri.
Daah vile vinyama na kachori urojo uheshimiwe.
 
Back
Top Bottom