juisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dogoli kinyamkela

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣
  2. D

    Maajabu hayatokaa yaishe Dunia hii; nimekaribishwa juisi ya muhogo Leo!

    Ajabu ni nzuri balaa. Hizi blenders zimeleta shida bongo haki ya nani!! Mmatumbi anataka kujaribu Kila kitu aone kinanogaje ikiwa juisi.
  3. Kijana Mpole

    INAUZWA Mashine ya kukamua juisi ya miwa zinauzwa

    Hello wana jamvi kama unataka kuongeza kipato chako nakukaribisha machine za kukamua juisi ya miwa inazipata kwetu Sifa zake inakamua na kuchuja yenyewe ni machine kutoka China Pia ulaji wa umeme ni mdogo sana Gharama ya machine 1350000 tu nipigie kwa maelezo zaidi 0774150519 Napatikana...
  4. Aaliyyah

    Jinsi ya kutengeneza Juisi ya tikiti maji(watermelon juice)

    Natumaini mkopoa na mna afya njema na wagonjwa Mungu awape shufaa Leo nashare na nyinyi jinsi ya kutengeneza juis tamu ya tikiti maji nzuri na yenye faida nyingi kiafya Mahitaji Tikitimaji kias inategemea na kias unachotaka Vipande vya barafu(ice cubes) Hatua Kata tikiti maji vipande...
  5. Shanily

    Kuanzia sasa wewe ni Azam cola

    Kijana mmoja alikuwa mlevi sanaaa, hali hiyo ya ulevi ikawa imemchosha akaamua aende kanisani ili akaombewe aache pombe. Alipofika kanisani akaona ni vyema akae viti vya mbele iwe rahisi kwake kuona matukio ya kiibada vzrii. Siku hiyo kulikuwa na ubatizo wa watoto kanisani. Padri akaanza...
  6. J

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM Inauzwa Tsh 700,000/ Phone: 0675336219 Mashine bado ipo wadau
  7. Meshaki Richard

    INAUZWA Tunauza Mashine za kukamua juisi ya miwa

    Hello tunauza mashine za kukamua juisi ya miwa Sifa kuu inakamua na kuchuja yenyewe Huna haja ya kusumbuka Pia Hutumia Umeme kidogo karibu sana Tupo kariakoo mtaa wa masasi na ndanda 0774150519
  8. passion_amo1

    Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi ya MILKSHAKE

    WAkuu habari za usiku huu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi aina ya milkshake, vitu vinavyowekwa humo mpaka inakamilika kwa ajili ya kunywewa. Mbali na hilo naomba kufahamishwa mchanganyiko mzuri wa juisi inayopendwa na nzuri kwa ajili ya...
  9. S

    INAUZWA Mashine ya miwa mpya na ya kisasa zaidi

    Mashine ya kukamua na kuchuja juisi ya miwa inauzwa Ipo Mbeya Mjini popote inatumwa Bei yake: 1.6 M. 📞📞 & Whasap 0757687358 Whasap & call 0757687358 Specification zake 1.size 48*38*78 2 voltage 220/50hz 3. Three crushing rollers (Stainless) 4. Ipo na 3HP electric...
  10. Jitume Biashara

    INAUZWA Mashine ya kukamua juisi ya miwa (inatumia umeme)

    Bei 1,180,000/= mashine ni mpya Mashine ya kukamua juisi ya miwa (Ya umeme) 🔴Ina uzito 65kg 🔴Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani 220V, motor 0.75KW 🔴ukubwa wake 430*350*920mm 🔴material yake ni stainless steel inayodumu kwa muda mrefu 🔴Inaweza kukamua juisi 300kg kwa saa 🔴bei 1,180,000/= Kwa...
  11. Mjanja M1

    Video: Waumini waogeshwa juisi zenye upako

    Angalia hapa jinsi Waumini wanavyomwagiwa juisi zenye upako kutoka kwa Mchungaji. Nini maoni yako?
  12. Melki Wamatukio

    Juisi ya miwa husafisha figo, kibofu cha mkojo, mzunguko wa damu na kutibu U.T.I

    Hivi kuna ukweli ndani yake ama tunapigwa tu porojo ili tunywe kwa wingi wapate hela?
  13. warzone

    Natafuta kijana wa kuuza juisi za matunda

    Habari za humu jf, nina tafuta kijana (akiwa wa kike itakuwa vizuri) kwaajili ya kuuza na kutembeza juisi za matunda maeneo mbalimbali. Umri: Chini ya miaka 24 Location Dar es Salaam (Kigamboni) Mshahara: Makubaliano kima cha chini ni 150,000/= kwa mwezi (kwa kama akiweza kuuza angalau dumu 3...
  14. warzone

    Natafuta frem nzuri iliyo eneo zuri kwa biashara ya juisi za matunda

    Habari wakuu,natafuta frem kwaajili ya kuweka biashara ya juisi ya matunda ,na location ikiwa nzuri kwa uuzaji wa juisi ya matunda itakuwa vizuri zaidi. pm kwa mawasiliano zaidi
  15. anti-Glazer

    Bia bila kelele ni juisi, kipara bila hela ni kovu na kitambi bila hela ni uvimbe!

    Si maneno yangu, ni Mkuu wenu mpya Mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa kama kiongozi chunga sana maneno yako. Tunajua kitambi ni kiribatumbo, ni ugonjwa, kipara sijui ila kiongizi lazima uwe na staha.
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenister Mhagama: Tumebaini Uwepo wa Cake, Juisi na Biskuti Zenye Bangi

    Watumiaji wa bangi nchini Tanzania wameibuka na mbinu mpya ya kuchanganya kilevi hicho na vyakula mbalimbali kama vile majani ya chai, keki, biskuti, juisi pamoja na asali. Kutokana na hilo serikali kupitia kwa Waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu Jenista Mhagama akiwasilisha taarifa ya hali ya...
  17. Nyendo

    Unapendelea juisi ya tunda gani?

    Nawasalimu wote, Mimi napenda sana kunywa jusi ya nanasi na parachichi natupia na pasheni inanukia na inakuwa tamu sana. Juisi hii huwa siweki sukari hata kidogo kutokana na utamu wa nanasi nasaga matunda hadi yanalainika sana, nachuja naweka kwa kipozeo tayari kwa kunywa taratibu. Wewe...
  18. Jitume Biashara

    INAUZWA Nauza Mashine ndogo ya kukamua juisi ya miwa (Mashine ya manual)

    Mashine ya kukamua juisi ya miwa Mashine ya manual Bei 550,000/= Hii mashine unaweza kutumia binafsi kuanzisha biashara ya juisi ya miwa au ukaikodisha kwa mtu mwengine Sifa za mashine 🔸️uzito ni 34kg 🔸️haitumii umeme 🔸️ukubwa wake 46*36*46 🔸️haitumii umeme yani ni manual 🔸️material yake ni...
  19. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Juisi ya msumbiji na kiti Binafsi kanisani!Ni dhahiri Ndugu yetu ana hofu!!anaogopa Nini!?

    Wakuu kwa wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!? Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza! Kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida! Juzi kwenda na kiti chake! Haamini kiti cha upako!? Ina maana haamini viti vya washirika hadi awe na chake!? Anaogopa...
  20. figganigga

    Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    Salaam Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani? Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu. Kiprotocal hii...
Back
Top Bottom