Hizi habari za soft drinks na juisi tumeiga tu kwa wazungu lakini watu weusi hazitufai kabisa.
Kwanza metabolic rate ya mzungu ipo juu kuliko ya mtu mweusi. Pengine sababu ni wao kuishi maeneo ya baridi. Hivyo mzungu anachakata chakula haraka kuliko mtu mweusi.
Pili magonjwa yatokanayo na...
Hivi kwa wale wenye uhitay wa hivi vitu je mmewahi kutumia juisi ya tembele kwa ajili ya nguvu za kiume aisee ni hatari hiyo kitu kama ujajaribu ebu leo nenda kajaribu utakuja niambia pia madhara hakuna kabisa hiyo nichakula
Habari za pande zote.
Naomba kuuliza watu wa kipande hiyo(mo-town)
Yule babu muhindi pale dabo rodi alikuwa anauza juisi bado yupo??
Nilikuwa nikipita mitaa hiyo lazma niende kunywa juisi pale zilikuwa tamm sana.
Nilikuwa napenda ukifika pale ukataka juisi,basi anafungua friji anatoka na...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamesema sharubati(Juisi) ya Ceres ambayo ilitahadharishwa kuwa na sumu kuvu haijaingia nchini Tanzania
Mamlaka ya Kimataifa ya Kudhibiti Usalama wa Chakula(INFOSAN) ambayo ipo chini ya FAO na WHO walitahadharisha kuhusu juisi hiyo
TBS walichukua hatua ya...
Habari wanajukwaa.
Kwa muda kidogo nimekua nikifuatilia sana biashara ya juice na maziwa imekua ikinipendeza sana na nataka kuona kama naweza nikaimudu! Naomba msaada wa kujua vitu muhimu vinavyohitajika kwa hiyo biashara na gharama zake kwa ujumla!
Ahsanteni
Habari wana jukwaa,
Kama mada inavyojieleza. Ni ipi ladha ya juisi huwezi kuichoka hata unywe mara nyingi.
Kwa upande wangu mchanganyiko wa nanasi, parachichi na pasheni. Kwa kweli napenda sana mchanganyiko huu na ile harufu ya pasheni ndio naburidika kabisa.
Hii hata uandaaji wake sio mgumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.