julai

Julayi (transl. Wanderer) is a 2012 Indian Telugu-language action comedy film written and directed by Trivikram Srinivas, and was produced by S. Radha Krishna under Haarika & Hassine Creations banner and was presented by DVV Danayya. The film stars Allu Arjun, Ileana D'Cruz, Sonu Sood, and Rajendra Prasad. The soundtrack was composed by Devi Sri Prasad, with cinematography handled by Chota K. Naidu and his brother Shyam K. Naidu, and editing done by Prawin Pudi.
The film was released worldwide on 9 August 2012 to positive reviews, and was commercially successful. The film has garnered the Nandi Award for Best Popular Feature Film. It was remade into Tamil titled as Saagasam.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo

    Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp #kaziiendelee #tumejipatanamama
  2. Mkalukungone mwamba

    EWURA yatatua migogoro 258 kati ya Julai 2023 hadi Juni 2024

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema kati ya Julai 2023 hadi Juni 2024 imefanikiwa kutatua migogoro 258 ya malalamiko kuhusiana na sekta inazozisimamia. Hayo yameelezwa na Meneja Uhusiano na Mahusiano wa EWURA, Titus Kaguo wakati wa mafunzo ya udhibiti wa huduma za...
  3. Stuxnet

    CHADEMA Someni Tena Thread Yangu ya Julai 2021; Sitisha Maandamano ya 23/09, Mnakosea Sana

    Hata kama wana sababu 1,000 za kuandamana wasitishe tu. Huu siyo wakati mwafaka wa kuandamana. Maandamano yapo kwenye JF na Twitter tu, ila mitaani watu wana mishe zao. Narudisha ushauri wangu wa Julai 2021, anagalieni mnapokosea...
  4. U

    TANZIA: Padre Dkt Fidelis Mgimwa kuzikwa leo jumatatu Julai 29,2024

    Wadau hamjamboni nyote? Tumsifu Yesu Kristo Roho ya Marehemu ilale mahala pema peponi
  5. Roving Journalist

    Muliro: Clip ya anayedaiwa kuiba mtoto eneo la Goba ni ya Julai, 2022

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam tarehe 25 Julai, 2024, Saa 3:20 asubuhi ilipata taarifa kuwa eno la Goba Matosa, Kinondoni kulikuwa na tukio la mauaji yaliyotokana na ugomvi kati ya watu wanaodaiwa kuwa ni wapenzi Polisi baada ya kufika eneo la tukio walibaini kuwepo kwa mwili wa...
  6. Informer

    Polisi: Marufuku kufanya Maandamano jijini Nairobi leo Julai 18

    Jeshi la Polisi limemepiga marufuku maandamano yanayotarajiwa kufanywa na Gen Z leo katikati ya jiji la Nairobi. Kipeperushi kilichosambazwa na vijana wameonesha kunuia kufanya maandamano makubwa zaidi leo na wakiwa wamepania kuelekea Ikulu. Polisi imetoa onyo kali na huenda nguvu kubwa...
  7. U

    Tabora: BAKWATA wamng’oa sheikh anayedaiwa kufungisha ndoa mara mbili

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Tabora. Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) katika Kata ya Mtendeni, Manispaa ya Tabora, limeazimia kumuondoa katika nafasi yake, sheikh wa kata hiyo, Bakari Sikonge kwa madai ya kufungisha ndoa mara mbili pamoja...
  8. K

    KERO TAMISEMI Dodoma Kuna nini, naomba kujuzwa wadau

    OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti kituo kipya mwezi Oktoba 2023, bado CHEKI namba kwenye MFUMO wa UTUMISHI (ESS) inasoma kwa Mwajiri...
  9. Jamii Opportunities

    Dereva Daraja II - nafasi 4 Karagwe - Julai, 2024

    POST DRIVER CLASS II – 4 POST EMPLOYER Karagwe District Council APPLICATION TIMELINE: 2024-07-09 2024-07-22 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Checking the vehicle before and after the trip to determine the vehicle’s safety condition; Sending employees to different places on business...
  10. Roving Journalist

    Baraza la Habari Tanzania (MCT) linazindua Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania 2022/23 leo Julai 4, 2024

    LICHA YA UHURU VYOMBO VYA HABARI KUONGEZEKA TANZANIA, BADO KUNA SHERIA KANDAMIZI Ripoti ya Hali ya Sekta ya Habari Tanzania kwa mwaka 2022/23 imeonesha pamoja na kuongezeka kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia Madarakani Machi 2021, bado utafiti kuna Sheria...
  11. BARD AI

    Mikoa 15 kukosa umeme Julai 3 na 4 kutokana na umaliziaji njia Umeme wa SGR Msamvu - Dodoma

    NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33 Mikoa itakayoathirika...
  12. BARD AI

    Kati ya Julai 2023 hadi Aprili 2024 kulikuwa na Kesi 1,034 za Watu wasiotunza Watoto wao

    Kuhusu huduma za Mahakama kwa watoto, Wizara imeendelea kuratibu huduma za Ustawi wa Jamii katika Mahakama za Watoto 133 nchini. Katika kipindi cha Julai 2023 hadi Aprili 2024, mashauri 4,462 yalipokelewa yakijumuisha mashauri 1,034 ya matunzo (maintenance), 952 ya uangalizi wa mtoto (custody)...
  13. Roving Journalist

    Jumla Migodi ya Madini 21,686 yakaguliwa katika kipindi cha Julai, 2023 hadi Aprili 2024

    Kati ya migodi hiyo, migodi mikubwa ni nane, migodi ya kati 56 na migodi midogo 21,622. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Msafiri Mbibo akimwakilisha Waziri wa Madini, Anthony Mavunde katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wakaguzi wa Migodi kutoka Tume ya Madini uliofanyika...
  14. JanguKamaJangu

    Uchaguzi Mkuu wa Rwanda kufanyika Julai 15, 2024

    Tume ya uchaguzi ya Rwanda imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais na Wabunge unatarajiwa kufanyika Julai 15, 2024 ambapo Rais Paul Kagame anatarajiwa kuwania mhula wa nne. Tume hiyo kupitia ujumbe wa X imesema kwamba uchaguzi wa rais pamoja na wajumbe 53 waliochaguliwa na vyama vya kisiasa, au...
  15. Replica

    Rukwa yaongoza uwekezaji mwezi Julai, yazitimulia vumbi Dar na Mwanza. Uwekezaji wa wazawa waporomoka nchini

    Mwezi Julai, kituo cha uwekezaji nchini(TIC) kilitoa takwimu mbalimbali kuhusu hali ya uwekezaji nchini huku Rukwa ikishangaza kwa kuongoza kuwa na uwekezaji mkubwa zaidi. China imeendelea kuwa nchi ya kigeni inayowekeza zaidi nchini huku sekta ya kilimo ikitia fora kwa ukubwa wa mtaji...
  16. Sildenafil Citrate

    Tundu Lissu: Hakuna Rais kwenye nchi hii amewahi kutufanyia kitu mbaya kama Rais Samia

    Wakuu, tupo live leo kutokea Viwanja vya Uhuru, Bukoba kwenye uzinduzi wa Operation 255 Katiba Mpya okoa Bandari Zetu ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiongozana na Tundu Lissu na John Mnyika pamoja na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho watakuwa wanazungumza. === Chopa...
  17. JanguKamaJangu

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) linazungumza na Wanahabari, leo Julai 27, 2023

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Kaimu Abdi Mkeyenge anazungumza na Wanahabari kufafanua mambo mbalimbali yanayohusu taasisi hiyo.
  18. Roving Journalist

    Utoaji wa Tuzo za Waandishi wa Habari za EJAT, Ukumbi wa Mlimani City, Julai 22, 2023

    Mgeni rasmi katika utoaji wa Tuzo hizi ni Balozi Ombeni Yohana Sefue. 1. Tuzo ya Mafanikio ya Maisha katika Uandishi wa Habari (Life Time Achievements Award) Tido Mhando Mshindi wa Tuzo ya Mafanikio ya Maisha katika Uandishi wa Habari (Lifetime Achievement in Journalism Award - LAJA 2023) 2...
  19. OKW BOBAN SUNZU

    FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

    Uwanja bado ni mweupe ndugu msikilizaji. Tuendelee kusubiri, tuwe na subira Hapa hapa JF, itakuijia mechi ya kirafiki kati ya Yanga na Kaizer Chiefs mishale ya saa moja usiku. Hakuna kukimbia
  20. P

    Kukatika umeme kwenye baadhi ya maeneo leo ni maandalizi ya kutunyima taarifa juu ya kitakachoendelea kesho Julai 23?

    Wakuu, Baadhi ya maeneo leo umeme umekatika mapema asubuhi mpaka sasa hola. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa juu ya kukatwa kwa umeme kwa baadhi ya maeneo. Je, haya ni maandalizi ya kutunyima taarifa kwa yale yatakayojiri kesho? Haishindwi kutokea na mitandao yote ya kijamii ikawa chini...
Back
Top Bottom