Ilikuwa kwamiaka 23 au nazaidi sikumbuki, ninachokumbuka nikwamba ulifanya kila uwezalo kuipatia nchi uhuru, ukaweka jitihada kubwa za kuliunganisha Taifa na mwisho mikakati madhubuti yakuleta maendeleo. Mwalimu; uliwachukia maadui watatu waletao udhalili; umaskini, ujinga na maradhi...
JULIUS KAMBARAGE NYERERE ALIPOKUWA MWALIMU WA SHULE 1953
Ilikuwa wakati huu kwa mara ya pili Abdul Sykes alimshauri Nyerere kujiuzulu kufundisha ili ashughulike na kazi za TAA.
Wazo hili halikumvutia Nyerere kama vile ambavyo halikumvutia Chifu Kidaha Makwaia miaka minne iliyopita.
Lakini...
Mwaka 2011 nilipewa kazi ya kutafuta almasi na kumtumia mfanyabiashara mmoja wa Ulaya. Katika harakati za kutimiza jukumu hilo nikajikuta nalazimika kwenda nchini Namibia ambako kuna wauzaji wa almasi ambao mfanyabiashara huyo alikuwa ameshaonana nao na akanituma nikakague almasi zao na...
Hivi ni baadhi tu ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bahati Mbaya vingi ni magodauni na magofu vijana inawezekana mmesahau
1. TANGANYIKA PACKERS - usindikaji,upakiaji na usambazaji wa nyama ya ng'ombe. Kiwanda hiki kilikuwa Kawe na kingine mkoani...
Kushoto ni Brian Wills kutoka Conservative Party ya Uingereza akisimamia uchaguzi wa UTP huyo pembeni yake ni Sheikh Hussein Juma aliyekuwa Makamu wa Rais wa UTP.
TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA MWALIMU NYERERE
WIZARA ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na wadau imeandaa na kuzindua programu ya Maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ikiwa ni sehemu ya kuenzi na kusherehekea urithi wa maisha yake...
MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA1961: RASHID MFAUME KAWAWA, KENNETH DAVID KAUNDA NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE NDANI YA NYARAKA ZA SYKES
Nimekutana na picha hiyo hapo chini kushoto Rashid Mfaume Kawawa, Kenneth David Kaunda na Julius Kambarage Nyerere.
Hii picha bila shaka ni ya miaka ya mwishoni...
HISTORIA FUPI YA MWALIMU NYERERE MPAKA MAUTI YALIPOMFIKA
Tarehe ya kuzaliwa: 13 Aprili 1922
Mahali pa kuzaliwa: Butiama
Tarehe ya kifo: 14 Oktoba 1999
Rais wa kwanza wa Tanzania: Alingia ofisini 1964 - 1985
Alifuatwa na: Ali Hassan Mwinyi
Dini: Mkristo Mkatoliki
Elimu yake Chuo Kikuu cha...
Hotuba ya kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere mara tu baada ya kuwa Waziri Mkuu kufuatia ushindi wa TANU ambao ulikipa ridhaa chama hicho kuunda Baraza la Kwanza la Mawaziri wa Serikali ya Tanganyika mwaka 1961.
HOTUBA YA KWANZA YA MWALIMU NYERERE
Gazeti-Mtanzania; Ijumaa Oktoba 14, 2005.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.