Wadau,
Natumaini mnaikumbuka ile stori ambayo ilitrendi hapa JF kwa miezi kadhaa kuhusu Mtanzania ambaye ni Dereva wa magari makubwa ya mizigo, Juma Ally Maganga (45).
Alikuwa amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela na faini kadhaa kwa kumgonga mtu na kusababisha kifo chake nchini Sudan...