Dereva Mtanzania Juma Ally Maganga aliyehukumiwa miaka mitatu jela nchini Sudan aachiwa huru

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Juma Ally Maganga 12.jpg

Wadau,

Natumaini mnaikumbuka ile stori ambayo ilitrendi hapa JF kwa miezi kadhaa kuhusu Mtanzania ambaye ni Dereva wa magari makubwa ya mizigo, Juma Ally Maganga (45).

Alikuwa amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela na faini kadhaa kwa kumgonga mtu na kusababisha kifo chake nchini Sudan Kusini. Napenda kuwajuza kuwa sasa ameachiwa huru.

——
Ilipoanzia stori hii:
~
Dereva Mtanzania anashikiliwa Sudan Kusini baada ya kugonga mtu, inadaiwa Polisi wagoma kumuachia wanataka hela

~ Dereva Mtanzania Juma Ally Maganga aliyeshikiliwa Sudan amehukumiwa miaka mitatu jela

~ Familia ya Juma Maganga yamlilia Rais Samia awasaidie ndugu yao atolewe Jela Sudan Kusini

Leo Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameandika na kuweka picha kadhaa kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu sakata hilo:

Mwezi September 2025 nikiwa katika Mtaa wa Sogeambele, Kata ya Chihanga-Dodoma kwenye Kampeni ya Mtaa kwa Mtaa nikakutana na mama mmoja ambaye aliomba kuniuliza swali lakini baada ya kupewa 𝙈𝙖𝙞𝙠𝙞 hakuuliza swali na badala yake aliangua kilio kikali akiniomba nimsaidie mwanaye Juma Maganga aliye gerezani Juba, Sudan Kusini arejee uraiani na kuja kuungana na familia yake.

Juma ni dereva wa magari makubwa ambaye akiwa Sudan Kusini Tarehe 14.02.2025 alipata ajali ya kumgonga Mwanajeshi mmoja ambaye alipoteza maisha yake na hivyo kupelekewa Juma kushikiliwa na vyombo vya sheria Sudan na kuhitajika kulipa faini ya ng’ombe 51 sawa na Tsh. Milioni 36,000,000 kwa mila na desturi ya Sudan inapotokea ajali inayosababisha kifo kwa kuwa marehemu alikuwa ameacha wake watatu na hivyo lazima wote wafikiwe na mgao pamoja na wazazi wake.

Taratibu za kuchangishana ziliendelea na kupitia watanzania waliopo Juba na hapa nchini tulijitahidi kumchangia kumaliza changamoto hiyo lakini fedha hiyo haikufika lengo na kumfanya Juma aendelee kusota gerezani kwa miezi 10 huku akiwa amefungwa minyororo muda wote.

Sikujua kama yule ni mama mzazi wa Juma lakini nikamjulisha Mama kwamba nalifahamu tatizo la mwanaye na tunaendelea kumsaidia, nikampa taarifa tu kwamba kwa muda wote akiwa gerezani;

SnapInsta.to_609844196_18548176840052966_7152352289432636830_n.jpg

SnapInsta.to_610710908_18548176843052966_8225232052488995206_n.jpg
-Namsaidia Chakula chake kule Sudan

-Naisaidia Familia yake iliyopo hapa Dodoma kupata mahitaji muhimu.

Nikamtia moyo Mama kwamba Juma atatoka tumepata ushirikiano mkubwa wa serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na wakati huo Juma aliniambia inahitajika Dola 2000 ili aachiwe huru fedha ambayo tuliituma Mahakamani Sudan kumsaidia kutoka lakini kwa bahati mbaya fedha ile haikusaidia kumtoa Juma na aliendelea kushikiliwa.

Wiki iliyopita Mtanzania mmoja aitwaye Nickson alinipigia simu na kunijulisha kwamba wamejiridhisha kwamba ikipatikana Dola 1500 ziada ya ile ya awali Juma ataachiliwa.

Tulifanya malipo ya Dola 1500 kule Mahakama ya Juba, Sudan tarehe 29.12.2025.

Jana Tarehe 31.12.2025 Juma ameachiliwa na sasa yupo njiani kurejea Nyumbani Dodoma, Tanzania.

Natumai Mama na Mke wa Juma siku ya leo itakuwa siku kubwa ya kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyowatendea.

====================

Mke wa Juma Maganga azungumza:
Amesema “Nawashukuru sana wote waliochangia hadi hatua ya mume wangu kutoka jela, naishukuru Serikali kwa kuingilia kati, namshukuru Waziri Mavunde kwa msaada wake na ninashukuru sana JamiiForums kwa kuwa taarifa yao ndiyo ilikuwa ya kwanza kusambaa na ilichangia watu wengine wengi kufahamu kilichokuwa kikiendelea.

“Taarifa ya JamiiForums ilichangia nikafuatwa na vyombo vingine vingi vya Habari ikiwemo Millard Ayo, Azam TV, Mwananchi na wengineo.

“Juma anatarajiwa kuwasili nyumbani Dodoma Januari 2, 2026 majira ya Saa nne Asubuhi akitokea Sudani Kusini kwa sasa yupo njiani.”

Pia soma:
 
Juma kushikiliwa na vyombo vya sheria Sudan na kuhitajika kulipa faini ya ng’ombe 51 sawa na Tsh 36,000,000 kwa mila na desturi ya Sudan
Hio hela dereva hajawahi kufikia tokea aanze kuendesha mpaka anakwenda jela.
 
Mwenyezimungu ni muweza
 
Gari lipo wapi?
Mwenye gari alishiriki kwenye mchakato wa kumsaidia dereva?
 
Juma Pole
Tulizana Dodoma Kwanza Ule Maisha
 
Serik

ali ya Rais Samia ni sikivu na ina utu.
 
Back
Top Bottom