juma maganga aachiwa huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dereva Mtanzania Juma Ally Maganga aliyehukumiwa miaka mitatu jela nchini Sudan aachiwa huru

    Wadau, Natumaini mnaikumbuka ile stori ambayo ilitrendi hapa JF kwa miezi kadhaa kuhusu Mtanzania ambaye ni Dereva wa magari makubwa ya mizigo, Juma Ally Maganga (45). Alikuwa amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela na faini kadhaa kwa kumgonga mtu na kusababisha kifo chake nchini Sudan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…