Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kufahamu ni nani mkali wa machorus na colabo bongo kati ya hawa wasani wawili juma nature raia wa temeke na gnako chali ya chuga.
juma Nature
Juma Kassim Kiroboto 'Nature'. Tukumbuke chorus hizi
Ugali
Sonia
Msela
Ugali
Radhia
Sitaki Demu
Kisa Demu
Hatuna kitu...
Miaka 15 iliyopita, Juma Kassim Nature kutoka Temeke alikuwa moja kati ya wasanii watatu wenye majina makubwa zaidi kwenye mkondo mkuu wa Bongo Fleva.
Albam yake ya kwanza, ‘Nini Chanzo’ pamoja na vibwagizo vikali kwenye nyimbo za wasanii wengine wakubwa zilikuwa chanzo.
Nature, ambaye...
Katika mazungumzo ya Kikwete na Mwanahabari maarufu alieleza jinsi alivyopata ushindi mwaka 2005, akaeleza mchango wa wasanii katika siasa za Tanzania.
Anaeleza kwamba kwa kiasi kikubwa alisaidiwa na kundi la Wanaume TMK kuteka hisia za vijana kwa kipindi hicho.
Nililipenda kundi lile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.