jumaa aweso

Jumaa Hamidu Aweso (born 22 March 1985) a young Tanzanian politician and a member of the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) from 2012. He has been a Member of Parliament representing the Pangani Constituency in Tanga Region since 2015. He is the current Minister for Water and Irrigation.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Aweso: Rais ametoa maelekezo ni marufuku kumkatia maji mwananchi wa Mwanga, Same kipindi cha sikukuu na wikiendi!

    Wakuu, Kwahiyo huduma ya maji tunapewa kama hisani, yaani tunabembeleza kupatiwa huduma bora na stahiki! Kwamba kupata maji siku za sikukuu na weekend ni mpaka maelekezo yatoke kwa Rais?:BearLaugh::KEKLaugh: Kwahivyo huo mradi hautakuwa unajitosheleza, maji yatakuwa yanakatika kama kawaida...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Mawaziri Aweso, Bashungwa wakicheza muziki stejini wakiwa na vikapu Kichwani

    Wakuu Mawaziri wakisakata rhumba :BRUHMM: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa wakicheza muziki Jukwaani huku wakiwa na vikapu kichwa wakati wa ziara ya Rais Samia Mkoani Tanga. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
  3. dorge

    Mh. Jumaa aweso hapo ulipo "Unamuangusha mama Samia"

    Ndugu jamaa na marafiki wa Mh Jumaa. Huyu kijana wenu anamuangusha Rais, maji hakuna. Sio kwa walala hoi tu hata wanyama hawapati maji. Ndh Aweso unamuangusha huyu mama yetu. Imagine watu wanatajabhata majina ya mitaa yao. Kimya . Hakuna ufumbuzi
  4. figganigga

    Pre GE2025 Jumaa Aweso inadaiwa ndio anayepigiwa Chapuo kuwa Waziri Mkuu 2025-2030 kama CCM itashinda

    Rais wetu Dokta Samia Suluhu Hassan, inadaiwa anataka kuchanganya damu changa sababu kazungukwa na wazee wakina Wasira na Mizrengo Pinda. Jumaa Aweso ameonekana ni Mchapakazi, sio mla Rushwa wala hana Biashara katika Soko la Kariakoo. Hivyo hawezi kuhujumu Uchumi kwa cheo chake Hivyo inadaiwa...
  5. P

    KERO Krismasi imeisha tumerudi kwenye mgao wa maji! Kama tulipata huduma vizuri Krismasi ina maana mgao huu ni makusudi?

    Wakuu, Msemaji wa Mbezi Beach nimekuja kwa mara nyingine. Kwa Mbezi maji yanakatika kila siku na wakati mwingine inaweza kuwa siku mbili na zaidi. Muda wa kukatika ni kuanzia jioni (kwenye saa kumi hivi) mpaka kesho yake kwenye saa nne au tano hivi. Kwahiyo kwa siku mara mnyingi maji hutoka...
  6. Mama Edina

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso

    Waziri wa maji Aweso. Naandika barua hii kila mtanzania anakusikia. Mnamo mwezi wa 7 mwaka 2024 itembelea Kinyerezi ukasikiliza adha kubwa shida maji. Ukaongea na eneo hili likabaki chini ya uangalizi. Mh. Aweso ni aghalabu sana kushindwa kutekeleza maneno yako lakini kwa masikitiko makubwa...
  7. Suley2019

    LGE2024 Tanga: Waziri Aweso ajitokeza kupiga Kura

    Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Pangani Mhe Jumaa Aweso akipiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa katika kijiji chake cha Sakura kwaKibuyu Kata ya Kipumbwi jimboni Pangani Mkoa wa Tanga.
  8. A

    KERO Waziri Aweso ni lini Mwanza tutapata maji ya uhakika? Tumechoka matamko na ahadi za uongo

    Mimi ni mkazi wa Buswelu, manispaa ya Ilemela mkoa wa Mwanza. Imenibidi nihame nyumba yangu nikapange sababu ya ukosefu wa maji. Ndani ya wiki maji yanaweza kutoka mara moja tu, ikitokea yametoka mara mbili hyo ni bahati, kuna muda maji yanatoka asubuhi muda wa kwenda kazini na ukirudi unakuta...
  9. P

    KERO DAWASA Mbezi Beach mnatuona manyani tu, Aweso pita na huku tafadhali kuna shida pahala inahitaji kunyooshwa

    Wakuu, Nishachoka kuja kulalamikia maji hapa, mnatufanya kama watoto tunapewa pipi tumun'unye halafu mnatupokonya. Yaani kama vile sasa hivi tupo kwenye mgao, na maji bado yana harufu mbaya, ukiwatafuta majibu ni yale yale, maji yameruhusiwa yatatoka! Ahhh Wizara ya Maji embu pitia huko nyuma...
  10. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohamed Ashiriki Ziara ya Kikazi ya Jumaa Aweso Aliyofanya Mkoa wa Simiyu

    SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI ZIARA YA KIKAZI YA MHE JUMA AWESO ALIYOFANYA MKOA WA SIMIYU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shamsa Mohammed, ameshiriki ziara ya kikazi ya Mhe. Jumaa Hamidu Aweso, Waziri wa Maji, katika Mkoa wa Simiyu. Lengo la ziara hii lilikuwa kukagua...
  11. Pfizer

    Tanzania na Hungary kushirikiana katika kuboresha sekta ya maji nchini

    Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Eng Mwajuma Waziri wamekutana na Balozi wa Hungary mwenye makazi yake Nairob Kenya Mh.Zsolt Meszaros akiwa na ujumbe kutoka Hungary. Kikao hicho kilichofanyika katika ofisi za DAWASA Dar Es Salaa kimelenga kupanua wigo wa Mashirikiano...
  12. Cute Wife

    Chalamila: Kwenye vyanzo vya maji Dar hatuna ukame tatizo kwenye mitambo ya kuchuja na kusukuma maji

    Wakuu salam, Chalamila ameelezea kinachopelekea ukosefu wa maji kwa wakazi wa mkoa wa Dar katika ziara ya Majaliwa wilaya wa Temeke iliyoanza leo Oktoba 5, 2024. "Mahitaji ya maji katika mkoa wa Dar kwa siku ni mita za ujazo laki sita na themanini na tano sawa na lita milioni sit ana themanini...
  13. Waufukweni

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso alivyomzawadia Diamond Platnumz kwenye birthday yake

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alimzawadia Diamond Platnumz KEKI kwenye kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake hapo jana Oktoba 2 na kula pamoja diko la birthday nyumbani kwa Staa huyo wa Bongo Fleva. Diamond alishukuru Waziri kwa heshima hiyo na kutoboa siri kuwa Waziri alihusika kupendekeza wimbo...
  14. Roving Journalist

    Dar: Emmanuel Kalungwana kortini kwa wizi wa Mita za Maji za DAWASA

    Emmanuel Kalungwana mkazi wa Mbezi Africana, amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shtaka la kuingilia miundombinu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ambalo ni kosa la uhujumu uchumi Kalungwana amefikishwa Mahakamani hapo na kusomewa shtaka...
  15. Pfizer

    Kamati ya Bunge yaipongeza Wizara ya maji kwa ubunifu wa hatifungani ya Tanga UWASA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Jackson Kiswaga imetoa pongezi kwa Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso na Menejimenti ta Wizara ya maji pamoja na kuimwagia sifa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (TANGA UWASA ) kwa ubunifu na uuzaji wa...
  16. Roving Journalist

    Chato: Waziri Aweso asikitishwa na Mkurugenzi mtovu wa nidhamu, amuweka pembeni

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amesikitishwa na tabia ya isiyo njema ya kinidhamu ya ulevi ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Chato Eng.Mari Misango ambaye amefika kwenye mkutano wake leo akiwa katika hali ya ulevi na kwa ujumla akiwa ameshindwa kutekeleza majukumu...
  17. USSR

    KERO Waziri Aweso, DAWASCO Mbezi Mwisho hakuna maji wiki ya pili sasa tatizo nini? Kesho tunaandamana hadi kwa DC wa Ubungo

    Pale njia panda ya goma maji yapo yauzwa kwenye magari na kuzungushwa mitaani ila bombani hakuna mnatuona wajinga? Ile ziara yako nasikia ulifukuza watu pale DAWASCO kimara ndio hawa wanafanya hujuma, wanafanya maksudi haiwezekani majumbani hakuna maji wiki mbili ila wauzaji wako Bize na maboza...
  18. peno hasegawa

    Waziri Aweso anaagiza wahandisi wa Maji kusimamishwa kazi ila baada ya miezi mitatu wanarudishwa kazini. Huu ni usanii mkubwa

    Ukifuatilia usimamishwaji kazi wa wahandisi wa maji unaofanywa na Jumaa Aweso, ni usanii mtupu! Unakuta mhandisi anasimamishwa kazi kwa ubadhilifu wa mali ya umma au uzembe, baada ya miezi mitatu kupita mhandisi anahamishiwa wilaya nyingine. Aweso ni msanii. Pia soma Meneja wa usambazaji...
  19. Mkalukungone mwamba

    Meneja wa usambazaji maji MORUWASA asimamishwa kazi

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Waziri Aweso ametangaza uamuazi huo leo Jumanne tarehe 23 Julai 2024 akiwa kwenye ziara ya...
  20. chiembe

    Morogoro: Waziri wa Maji Jumaa Aweso awaumbua mamlaka ya maji Morogoro, tangu mwezi February hawajaweka dawa ya kutibu maji katika matenki yao

    Hii kwa kweli inashangaza, tangu mwezi February mwaka 2024, jamaa wanasambaza maji kwa wananchi yakiwa hayajatibiwa (treated). Kwa hiyo kwa muda wote wananchi wamekuwa wakinywa maji yenye vimelea vya magonjwa. Si ajabu mkoa wa Morogoro una maambukizi makubwa sana ya magonjwa ya matumbo, hasa...
Back
Top Bottom