jumaa aweso

Jumaa Hamidu Aweso (born 22 March 1985) a young Tanzanian politician and a member of the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) from 2012. He has been a Member of Parliament representing the Pangani Constituency in Tanga Region since 2015. He is the current Minister for Water and Irrigation.

View More On Wikipedia.org
  1. saidoo25

    Kwanini Jumaa Aweso anaonekana kukubalika zaidi?

    Kwanini Waziri wa Maji, Jumaa Aweso anaonekana ni moja ya Mawaziri wanaoongelewa vizuri zaidi ana nini hasa cha ziada tofauti na wenzake? Itakumbukwa kuwa Aweso ni moja ya mawaziri wapya ambaye alianza majukumu ya Naibu Waziri wa Maji mwaka 2017 na baadaye kuja kuwa Waziri kamili wa Maji. Huku...
  2. M

    Jumaa Aweso mtoto wa mama n'tilie pokea maua yako

    Kaka pokea maua yako uyanuse ukiwa bado una pumzi na akili timamu, Mnyonge ananyongwa haki yake anapewa. Wewe unastahili kuipokea haki yako kwa weledi wako mengine yatakuwa mapungufu ya kibinadamu tu. Sikuwahi kupata nafasi ya kumjua sana huyu jamaa hadi pale nilipokutana na marafiki zangu...
  3. S

    MWAUWASA mjitafakari

    Toka mmetoa hilo tangazo zaidi ya wiki 2 zilizopita, Kuna maeneo ya Jiji la Mwanza maji hayajawahi kutoka kabisa hata tone. Hivi kweli tumefika Huku? mnategemea watu wanaishije mjini tena bila maji? Inachukua muda gani kutengeneza Pampu ya maji? Kwenu hii sio dharura? Nadhani mnahitaji...
  4. beth

    Wizara ya Maji yaomba Bajeti ya Tsh. 709,361,607,000

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameomba Bunge kuidhinisha Fedha hizo kwa Mwaka 2022/23 ambapo Matumizi ya Kawaida ni Tsh. 51,462,269,000 Akiwasilisha Hoja yake Bungeni Waziri Aweso amesema "Jumla ya Bajeti ya Maendeleo ni Tsh. 657,899,338,000. Kati ya hizo, Tsh. 407,064,860,000 ni Fedha za Ndani na...
  5. Rebeca 83

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso: Wachawi kikwazo maji kufika vijijini

    Hello JF Hii habari imenichekesha sana ---- Waziri wa Maji, Jumaa_Aweso ameeleza kupitia alipokuwa katika ziara ya kukagua miradi ya maji Vijijini moja ya kituko alichokutana nacho kwenye kijiji kimoja alipomuuliza mkandarasi sababu ya maji kutokuwepo kwenye kijiji hicho licha ya kujengwa tank...
  6. robinson crusoe

    Rais Samia acha kumbeba Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Hakuna cha maana kinachofanyika nchi hii

    Huyu Waziri, anajionesha sana kwenye vyombo vya habari na kila anapopewa mic., lazima ataje jina la Samia Suluhu Hassan kama kibwagizo cha shairi. Tunachotaka ni matokeo chanya na kukataa wizi kwenye miradi ya maji ktk nchi hii. Huu ni msimu wa mvua baada ya ukame mrefu. Kipindi cha ukame...
  7. LUS0MYA

    Tatizo la maji: Mtambo Ruvu Juu na usanii wa Dawasa, Waziri Aweso ingilia kati

    Kwa takribani wiki tatu kumekuwa na tatizo kubwa la maji kwa maeneo yanayohudumiwa na mtambo wa Ruvu Juu hususan Kibaha, Mbezi Luis, kimara nk. Cha kushangaza tarehe 12/01/22 Dawasa wametangaza kukosekana kwa huduma kwa masaa 16 kuanzia tarehe tajwa wakati tayari watu hawana maji kwa muda...
  8. K

    Kwako Waziri wa Maji: Tatizo la maji eneo la Mwananchi jijini Mwanza

    Kwanza nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Leo ni tunasherehekea miaka 60 ya kumbu kumbu ya uhuru wetu. Kwa masikitiko Mhe. Waziri hapa Mwanza maeneo ya Mwananchi tuna siku ya tatu hakuna tone la maji bila hata MWAUWASA kutoa taarifa. Nimesikia likisemwa kuwa wewe ni kati...
  9. Analogia Malenga

    Jumaa Aweso anatunikiwa shahada ya uzamili ya uongozi, Zanzibar huko

    Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi. Wengine wanaopata shahada za uzamili ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Aidha Mume wa Tulia Ackson anajipatia...
  10. M

    Mtangazaji wa ITV na Radio One Farhia Middle umepewa Shilingi ngapi kwa Sifa ulizompa leo Waziri wa Maji Aweso?

    Yaani Dada yangu Farhia Middle hivi Waziri wa Maji Awesso kuwa 'Field' kuangalia Changamoto za upatikanaji wa Maji Mkoani Dar es Salaam ndiyo hadi Umsifu mpaka utake hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu katika Kipindi chenu Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha leo ukiwa na Pacha wako Aboubakary Sadick...
  11. Countrywide

    Hawa wanafaa kuandaliwa kwa ajili ya Urais 2040, siyo dhambi tuwajenge tufaidike

    Moja ya sababu kubwa ya nchi nyingi kutoendelea ni kutoandaa viongozi kwa ajili ya vizazi vijavyo na vijavyo. Leo Mimi countrywide msomi ninatoa maoni yangu kuhusu kuandaa watu Hawa kwa ajili ya uraisi 2040. Ningeweza kusema 2030 lakini naona ni karibu sana kiasi ambacho itakua sio Tena...
  12. Chachu Ombara

    Jumaa Aweso: Nilipomaliza Chuo, kazi yangu ya kwanza ilikuwa Ubunge lakini niliaminiwa

    Mimi nimemaliza chuo kazi yangu ya kwanza ni Ubunge, lakini wewe na Hayati Dkt. Magufuli mliniamini kuwa Naibu Waziri leo ni Waziri wa Maji sio jambo jepesi, mimi Mama yangu ni Mama ntilie kabisa lakini umeniamini na kunipa dhamana hii kubwa Mh. Rais uliniita na kuniambia Aweso naomba...
  13. JF Member

    Waziri wa Maji, Umepambwa sasa Jipambe Mwenyewe

    Aweso wewe ni kijana, Unao uwezo kabisa wa kufanya mambo makubwa na kuwa mtu mhimu sana katika hii nchi. Nimeona Mama amekupamba na ukapambika, kiufupi tunaelewa kazi yako hasa ukiwa na msimamizi mzuri yaani waziri mkuu, rais na makamu wa rais. Maji ni kero kubwa sana kwa wana nchi. Kwa...
  14. matunduizi

    Mawazo yangu: Waziri wa Maji ndiye kiongozi anayehangaika sana awamu hii

    Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana. Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua. Wote wangekuwa...
  15. Kurunzi

    Mwarobaini wa kudhibiti kubambikiziwa bili ya maji waja

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemuagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Anthony Sanga kutoa taarifa kwa mamlaka zote za maji nchini kuanza kutumia mfumo wa malipo kabla ya matumizi (LUKU) ili wateja walipe maji kutokana na matumizi yao. Aweso amesema hayo leo Mei 31,2021 mkoani Arusha, wakati...
Back
Top Bottom