Nilizozipata hadi muda huu ni kwamba Mambo ni Magumu na sikuwahi kujua kuwa kumbe hata Waarabu ( hasa wa Algeria ) na Wao mambo ya Unyangindo ( Ulozi ) wanayajua.
Kuna Mtu Mmoja wa Insider 259 Hopeless and Useless Passenger Team kanitonya kuwa Usiku wa Kuamkia Mechi yao ya Temeke Mvua Stadium...
Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers.
Harusi ni Jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la...
Kuanzia May 19 - 21, 2023, vilifanyika vikao viwili vikubwa na muhimu. Mikutano hiyo ni ya G7 na C5.
Mkutano wa kwanza ulijadili usalama wa Ulaya na US, na wa pili ulijadili usalama wa Asia.
Urusi haikuwaalikwa katika mkutano wowote kati ya hiyo.
Nawatakieni katikati ya Wiki njema.
Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Butiama Vijijini, Nimrod Mkono aliyefariki April 18 unatarajiwa kuwasili nchini May 27.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao Kigori Buswege Wilaya ya Butiama mkoani Mara.
Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi.
Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa waydad.
Tuandae matanga kama taifa kuishusha bendera nusu mlingoti ni balaa tupu kule morocco.
Waislamu wengi kesho watafungua ila kuswali mpaka Jumamosi. Kesho ni Eid ya kwanza halali kabisa.
Kenya, Rwanda na Uganda, eid kesho halafu eti Tanzania ni Jumamosi.
Wasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe.
Umafia waliofanyiwa Wanaoujua Mpira ( ambao baadhi yake MINOCYCLINE nimeushuhudia hii Leo ) Klabu ya Wydad Casablanca FC ambao...
Uvivu na Kupenda kula Bata unawaponza. Mliitaka iwe Alhamisi ya leo ili Siku za Kula Bata ziwe Nne ( Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili )
Mlivyoona Kimahesabu kula Eid Alhamisi ( yaani Leo ) haiwezekani mkataka sasa Kulazimisha kuwa Eid iwe Kesho Ijumaa ili kama Kawaida ya kuwa Kwetu Wavivu...
Simba Jumamosi saa 10 jioni itacheza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Wydad. Simba itashinda mechi hiyo kwa sababu zifuatazo.
1. Simba haina cha kupoteza kwenye mechi hiyo kwa ivo itacheza kwa kila njia bila ya kuwa na hofu ya kufungwa.
2. Simba haina tena shinikizo kwenye Ligi ya ndani...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa wastani wa saa 16 siku ya Jumamosi , Aprili 15, 2023.
Muda: Kuanzia Saa 12 jioni hadi Saa 4...
Simba tuingalie mechi ya Vipers vs Horoya kazi ipo sana. Katikati ya kiwanja Horoya waliweka watu 5 na wamepata sare kwa hiyo St Mary, sio kitu rahisi kwa Simba tujiandaeee.
Saidio na Chama kucheza pamoja ni kansa kwetu, lifanyiwe kazi
Pongezi nyingi ziende kwa wapambanaji wote kuanzia mashabiki, viongozi, benchi la ufundi na wanachama wote wa Dar es Salaam Young Africans kwa ushirikiano mkubwa wa kuisapoti timu yao.
Walistahili ushindi kwakuwa wameupiga mwingi mpaka ukamwagika, Master Nabi ni bingwa wa kumsoma mpinzani na...
CuF- chama cha wananchi wilaya ya kinondini
Mkutano mkuu wa hadhara
Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia prof.Lipumba.
Usipange kukosa njoo tuisimamishe kinondoni, njoo tuijaze magomeni.
#ChamaMakini
#ViongoziMakini
1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu.
2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha.
3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano.
4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua )
5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa...
Huenda mwisho wa Kufurahi kwa hiyo Timu na Mashabiki wao ukawa ni Weekend ijayo ( hii ya sasa ) na baada ya hapo Kununa (kwa Kufurumushwa kabisa Michuanoni ) Kukaanza ama kutokea Sudan au Ethiopia.
Wakati serikali ikiwa haina akili tena ya kupata vyanzo vya mapato na kuishia kwenye kuweka Tozo mpk za Ndoa, ni wakati mwafaka sasa Manispaa kupitia think tank wao wakabuni vyanzo ambavyo havimuumizi mwananchi.
Serikali ilipochukua vyanzo vyote vya Manispaa walibuni uwepo wa Stendi za magari...
Wanabodi.
Mbona naona kama wabongo hatuna kabisa mzuka na hamasa kwa timu yetu ya Taifa? Shida ni nini? hakuna uzi nyingi humu why?
Wangapi tuna mpango wa kuiombea na kuishangilia timu yetu ya Taifa ikiipasua Niger jumamosi hii?
Samatta mechi za kirafiki ameonesha ni mzuri sana kwa assist...
Huku joto la watani wa jadi likizidi kupamba moto kuelekea nusu fainali Asfc jumamosi hii, mapema leo mwamuzi atakayechezesha mtanange huo amewekwa wazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.