Wakala wa mchezaji Ellie Mpanzu anayefahamika kwa jina la Papida amesema mchezaji wake bado anadai sehemu ya malipo yaliyobakia ambapo inadaiwa mpaka sasa kuwa hayajakamilishwa.
Papida ameweka ngumu kwamba kama malipo hayo kama hayatakamilishwa mpaka kufikia Ijumaa hii basi wasitarajie kumuona...
Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
🚨🚨WAPENDWA HII NI TAHAJUDI YA JUMATATU NAOMBA MZINGATIE🚨🚨
👉Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho.
👉Malaika ni Gabriel
👉Chakra: root chakra
👉Nambari: 9
👉Kipengele: Maji
👉Rangi: Mpya: Nyeupe...
Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄
Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe.
Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani Utaenda kanisani kwa ajiri ya ibada.
Walio Nyumbani na watakao toka mochwali tutakutana kanisani, Baada ya ibada Ni safari ya kuelekea Tunduma kwa...
Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa
Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya...
Hivi dhamana si haki ya kikatiba?
Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ?
Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?
Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa.
Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha...
Siku ya Dunia ni siku inayotengwa kwa ajili ya kuadhimisha masuala yanayohusu mazingira, uhifadhi wa asili, na uelewa wa changamoto za kimazingira zinazokabili ulimwengu wetu leo. Kila mwaka, tarehe 22 Aprili, watu duniani kote hushiriki katika shughuli mbalimbali kama vile kufanya usafi wa...
Leo jua litapatwa yaani mwezi utafunika jua na kufanya mchana giza litande na uonekane kama usiku lakini kwa asilimia kubwa maeneo watakayofaidi ni marekani Canada na Mexico. Nchi nyingine tutaona angalau kupatwa kwa jua Kwa sehemu tu.
Kutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na nani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais...
Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara.
1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury
2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza.
3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara
4. Hotel gani nzuri na yenye...
Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.
Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.
Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara)...
Baada ya Wadau wa JamiiForums.com kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro na Kilindi Mkoani Tanga kudai kuwa wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) hawajalipwa malipo yao pamoja na wengine kudai wazee wanatumikishwa kufanya kazi, mamlaka ya TASAF imefafanua.
Mkuu wa Kitengo cha Habari na...
Tumechoka. Kila mwaka CAG anasoma hasara ambazo taifa linaingizwa kutokana na kodi za wananchi maskini hawa wanaoishi maisha magumu.
Viongozi wao wanatumia magari ya gharama kubwa ya kifahari. Wananchi hawana madawa hosp, hawapati matibabu bila kuwa na pesa. Shule hazina madawati, walimu...
Chama tawala nao wamesema:
Hiki angalau kimtindo, kitakuwa kimeumana.
Ngoja tuone.
-----
Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Serikali kuwachukulia hatua kwa waliohusika kwenye ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka katika taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
Kesho ni jumatatu nyingine:
Hili sasa ni lenye kuhitaji akili kubwa:
Wenye busara wapo:
Lakini siyo huyu bwana:
Kwetu wapigania haki au Uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho.
Inafahamika elimu kama hii kutokuwa na maana kwa walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo...
Nadhani jirani zetu hawa wana jambo lao ambalo inaonekana ni tofauti na siasa.
Nilisema kama ni siasa basi wafungue server ila hawataki na hiki wanachotambiana kina nwisho mbaya.
DP Rigathi anasema ‘Jumatatu itakuwa siku ya mwisho’ kwa Odinga kufanya maonyesho nchini Kenya, anasema haitakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.