"Katikati ya lindi la yaliyotukuta Kagera, Mola atufanyie wepesi janga hili lituepuke."
Hata hivyo maisha lazima yaendelee.
Kutokea kwa majirani zetu:
Ilikuwa wiki yenye mengi kutokea Jumatatu iliyopita iliyoshuhudia kimbembe cha kufa mtu, pata shika nguo kuchanika.
Miamba miwili kila mtu...
Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa Marais wa Nchi hizo.
Maandamano hayo yameitishwa na makundi mbalimbali ikiwemo Vyama vya Upinzani...
Habari wakuu,
Kama kuna yeyote anayesafiri kwa usafiri binafsi (Noah au gari nyingine yenye nafasi ya kutosha) kutoka Dar kwenda Moshi mchana kuanzia saa tisa siku ya jumatatu tarehe 20/03/2023 na ana nafasi ya watu wawili tafadhali tuwasiliane inbox.
Shukran.
Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini.
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji...
Naona Elon amedhamiria kupafanya twitter uwe uwanja fair, sio kama zamani uongozi wa watu wenye woke agenda ukiona mtu flani yupo kinyume na agenda yao wanamfungia
Anaandika Trump
Pongezi ziende kwa Elon Musk kwa maamuzi ya kuinunua Twiter, Watu wengi wanasema mabadiliko yalihitajika kwa...
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Rebecca Kadaga, Mawaziri watafundishwa Kiswahili kila Jumatatu kabla ya Kikao cha Baraza chini ya Rais Museveni.
Waziri Kadaga amesema hatua hiyo inalenga kuwawezesha Mawaziri kufanya mikutano ya ndani na ya Jumuiya kwa lugha ya...
Tunashukuru kwamba serikali hatimae imesikiliza kilia cha wananchi cha siku nyingi juu ya kuweka watu mahabusu bila kuwapa haki yao ya dhamana.
Udhaifu wa hili ulikuwa pande zote mbili, polisi na mahakama, kwa sababu mahakimu nao pia walikuwa wakiwaendekeza polisi kwa kuachia watu warudishwe...
Weekend inaanza Ijumaa na watu wanakuwa na stress za kutosha.
Mitundi ya kutosha ndo suluhu ya karaha za maisha haya ya kibongo. Leo hii Kg 1 ya mchele imefikia 3500, kodi za nyumba ndio kero maana miezi inakatika kama barafu inayeyuka.
Unakula mabia ya kutosha na uzuri unapiga Mackotail ya...
Naam ile nchi jirani iliyojipambanua kwamba ina majaji wenye akili timamu na judiciary yenye nguvu jumatatu inaweka historia nyingine kwa kuendesha kesi nzito ndani ya siku chache na kutoa maamuzi
Kesi hiyo ambayo kuna baadhi ya nchi majaji kama wangepewa waisikileze basi kila dakika...
RC MAKALLA: MSAKO WA MIFUKO YA PLASTIKI KUANZA JUMATATU YA AUGUST 29.
- Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Ameelekeza msako wa mifuko ya Plastiki ufanyike Mikoa yote.
- Awataka Viongozi wa Masoko yote kutoa tangazo la katazo la uuzaji wa Mifuko hiyo.
- Wenyeviti wa Masoko waahidi kushirikiana...
Haya haya mambo ni mengi muda ni mchache caf champions league hatua ya awali itafanyika mapema mwezi huu.
Ikumbukwe kuwa Yanga sc ni miongoni mwa timu zitajazoanzia hatua ya awali, huku Azam, Geita gold nazo zikianzia hatua ya awali kwenye Kombe la shirikisho barani Africa.
HUKUMU YA MZEE SADALLA JUMA SADALLA (74) ALIYEMBAKA MSICHANA WA KAZI ZANZIBAR,ITASOMWA SIKU YA JUMATATU 21 MACHI 2022 KATIKA MAHAKAMA UA VUGA,UNGUJA.
Mzee Sadalla Juma Sadalla (74)mkazi wa Bububu,Unguja anayeshitakiwa kwa kosa la kumbaka mshichana wake kazi (jina limeifadhiwa) atarajiwa...
Ukraine imekubali kushiriki mazungumzo ya amani na Urusi, ambapo wajumbe wa pande zote mbili wamepanga kukutana katika eneo la mpaka kati ya Belarus na Ukraine.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa ofisi ya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, inaelezwa kuwa hakuna masharti yoyote yaliyowekwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.