jumatatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Mchezaji Ellie Mpanzu amegoma kuhudhuria mazoezi tangu Jumatatu akidai 25% ya malipo yake yaliyobakia

    Wakala wa mchezaji Ellie Mpanzu anayefahamika kwa jina la Papida amesema mchezaji wake bado anadai sehemu ya malipo yaliyobakia ambapo inadaiwa mpaka sasa kuwa hayajakamilishwa. Papida ameweka ngumu kwamba kama malipo hayo kama hayatakamilishwa mpaka kufikia Ijumaa hii basi wasitarajie kumuona...
  2. Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

    Wakuu niombeeni nimechaguliwa kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
  3. Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho

    🚨🚨WAPENDWA HII NI TAHAJUDI YA JUMATATU NAOMBA MZINGATIE🚨🚨 👉Jumatatu ni siku nzuri ya kuvaa mavazi meupe, kuelekeza nguvu zako za kike, na kufanyia kazi hisia, nguvu za kiakili na hali ya kiroho. 👉Malaika ni Gabriel 👉Chakra: root chakra 👉Nambari: 9 👉Kipengele: Maji 👉Rangi: Mpya: Nyeupe...
  4. Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄 Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe. Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani

    Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄 Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe. Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani Utaenda kanisani kwa ajiri ya ibada. Walio Nyumbani na watakao toka mochwali tutakutana kanisani, Baada ya ibada Ni safari ya kuelekea Tunduma kwa...
  5. G

    Maandamano ya chadema hayatakuwa na uzito, Jumatatu topic kubwa ni simba na Yanga kwenye mashindao ya Caf ya weekend hii.

    Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya...
  6. M

    Chadema watoa njia za maandamano zitakazotumika Jumatatu

    👇
  7. Kwanini Mtu akikamatwa Ijumaa anapata dhamana Jumatatu? Hii imekaaje wasomi?

    Hivi dhamana si haki ya kikatiba? Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ? Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?
  8. U

    TANZIA: Padre Dkt Fidelis Mgimwa kuzikwa leo jumatatu Julai 29,2024

    Wadau hamjamboni nyote? Tumsifu Yesu Kristo Roho ya Marehemu ilale mahala pema peponi
  9. MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

    Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa. Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha...
  10. Leo tarehe 22, Aprili ni Maadhimisho ya Siku ya Dunia

    Siku ya Dunia ni siku inayotengwa kwa ajili ya kuadhimisha masuala yanayohusu mazingira, uhifadhi wa asili, na uelewa wa changamoto za kimazingira zinazokabili ulimwengu wetu leo. Kila mwaka, tarehe 22 Aprili, watu duniani kote hushiriki katika shughuli mbalimbali kama vile kufanya usafi wa...
  11. Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

    Leo jua litapatwa yaani mwezi utafunika jua na kufanya mchana giza litande na uonekane kama usiku lakini kwa asilimia kubwa maeneo watakayofaidi ni marekani Canada na Mexico. Nchi nyingine tutaona angalau kupatwa kwa jua Kwa sehemu tu.
  12. Ligi ya Mabingwa Ulaya: Droo ya 16 Bora kufanyika leo Jumatatu Mchana

    Kutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na nani
  13. Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Agosti 21, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha. Mwenyeji wa Rais...
  14. Jumanne safari kuja Mtwara. Haya mambo wadau tuwekane sawa

    Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara. 1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury 2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza. 3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara 4. Hotel gani nzuri na yenye...
  15. Hey naombeni ramani ya kufika maeneo haya nakuja Dar Jumatatu

    Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe. Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale. Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara)...
  16. TASAF yasema dirisha la malipo kwa wanufaika limefunguliwa kuanzia Jumatatu Juni 5, 2023

    Baada ya Wadau wa JamiiForums.com kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro na Kilindi Mkoani Tanga kudai kuwa wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) hawajalipwa malipo yao pamoja na wengine kudai wazee wanatumikishwa kufanya kazi, mamlaka ya TASAF imefafanua. Mkuu wa Kitengo cha Habari na...
  17. Jumatatu tunaanza Maombi kwa wale Viongozi wote majizi/mafisadi

    Tumechoka. Kila mwaka CAG anasoma hasara ambazo taifa linaingizwa kutokana na kodi za wananchi maskini hawa wanaoishi maisha magumu. Viongozi wao wanatumia magari ya gharama kubwa ya kifahari. Wananchi hawana madawa hosp, hawapati matibabu bila kuwa na pesa. Shule hazina madawati, walimu...
  18. B

    CCM yatoa maagizo waliotajwa ripoti za CAG, Takukuru

    Chama tawala nao wamesema: Hiki angalau kimtindo, kitakuwa kimeumana. Ngoja tuone. ----- Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Serikali kuwachukulia hatua kwa waliohusika kwenye ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka katika taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
  19. B

    Kenya kesho labda kwa busara za Museveni siyo za Gachagua

    Kesho ni jumatatu nyingine: Hili sasa ni lenye kuhitaji akili kubwa: Wenye busara wapo: Lakini siyo huyu bwana: Kwetu wapigania haki au Uhuru kwa jina la ukombozi elimu haina mwisho. Inafahamika elimu kama hii kutokuwa na maana kwa walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo...
  20. RAILA: Jumatatu Ndiyo Itakuwa Mama wa Maandamano, Gachagua Kasema Ndiyo Mwisho wa RAILA

    Nadhani jirani zetu hawa wana jambo lao ambalo inaonekana ni tofauti na siasa. Nilisema kama ni siasa basi wafungue server ila hawataki na hiki wanachotambiana kina nwisho mbaya. DP Rigathi anasema ‘Jumatatu itakuwa siku ya mwisho’ kwa Odinga kufanya maonyesho nchini Kenya, anasema haitakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…