Ukraine imekubali kushiriki mazungumzo ya amani na Urusi, ambapo wajumbe wa pande zote mbili wamepanga kukutana katika eneo la mpaka kati ya Belarus na Ukraine.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa ofisi ya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, inaelezwa kuwa hakuna masharti yoyote yaliyowekwa katika...