Mvutano ulizuka katika Bunge la Kitaifa baada ya Mbunge wa Suba North Millie Odhiambo na mwenzake wa Suna East Junet Mohammed kutofautiana kuhusu matumizi ya neno "sexy" kumwelezea Mwakilishi wa Wanawake wa Kaunti ya Nairobi Esther Passaris, aliyeadhimisha siku yake ya kuzaliwa ya miaka 62...