Orodha ya wasanii na watu maarufu waliopita kwa Diddy imezidi kuwa ndefu sana, lakini katika wote hao bwana Mdogo Justine Bieber hadithi yake inasikitisha zaidi, na inaumiza pia.
Justin Bieber anadaiwa kuzungumzia wakati wake na Diddy, akisema, “Kabla ya kutembelea au kwenda kwenye sherehe...
Moja kwa Moja..
Msanii maarufu Justin Bieber ameshea video kwenye account yake ya instagram akieleza hali hiyo iliyompata inayosababishwa na virus aitwae 'Varicella zoster' ambao hushambulia nerves za sikio na uso.
Kutokana na ugonjwa huo Justin Bieber upande mmoja wa uso hawezi kutabasamu na...
Justin Bieber amepewa jina jipya 'Prince of Pop' baada ya muziki wake kupata wasikilizaji Milioni 83.3 ndani ya mwezi mmoja katika mtandao wa Spotify na kuweka rekodi mpya ya msanii aliyesikilizwa zaidi ndani ya mwezi mmoja.
-
Rekodi hii awali ilishikiliwa na Ariana Grande. Wasanii wanaofata...
Album mpya ya Justin Bieber 'Changes' imeshika namba moja kwenye chart za Billboard 200 na kuvunja rekodi aliyoiweka mkongwe Elvis Presley miaka 59 iliyopita
Justin Bieber ameweka rekodi ya kuwa msanii mwenye umri mdogo zaidi kuongoza chart hizo kubwa zaidi za album Marekani mara 7, Justin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.