Tanzania imepokea ndege kutoka Jeshi la Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambayo imetolewa kwa ajili ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Mapokezi hayo yameshuhudiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Stergomena Tax, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...