jwtz

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni jeshi la ulinzi wa wananchi nchini Tanzania linalolinda na kutetea maslahi ya Taifa la Tanzania.
  1. M

    TANZIA Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Bugozi Musuguri afariki dunia

    Jenerali Musugiri ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania [JWTZ], amefariki dunia leo Oktoba 29, 2024 jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwake, Butiama mkoani Mara. ===== WASIFU Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali...
  2. GENTAMYCINE

    Naomba kuuliza kwani Siku hizi tunavishana Nishani za JWTZ kwa Unguja na Pemba au ni kwa Utanzania wetu kumaanisha Umoja wetu?

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali majenerali, maafisa na askari wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kutoka Pemba na Unguja - Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Oktoba 25, 2024 ...
  3. yunus75

    Recruting ya JWTZ inaanza lini?

    Baada ya kutuma maombi ya jeshi la wananchi tanzania ni kwa mda gani majibu yanatolewa na kwa njia gani
  4. Wakujibwea45

    Ajira JWTZ

    JWTZ walitoa ajira kama mara 2 hivi lakini hakuna hata moja niliyoona watu wakiitwa kwenye usaili. Ya kwanza kuna ile ambayo walitoa wakasema ni kwa ajili ya watu ambao mkataba wao umeshaisha na wapo majumbani ambayo ilikuwa mwaka jana 2023 mwishoni au mwaka huu 2024 mwanzoni kama sikosei na ya...
  5. K

    Uajiri Ndani ya JWTZ Bado Una Utata na Ukakasi.

    Masiku kadhaa ulipita mjadala juu ya mchakato wa ajira ndani ya JWTZ,mchakato ambao umeonekana kugubikwa sana na walakini kutokana na ulivyoendesha. Tangazo la ajira lilitolewa,ila baada ya watu kuomba hakukuwa na taarifa yeyote kuhusiana na waliochaguliwa.Zaidi tu tulipata taarifa kwamba...
  6. chiembe

    Kwa kuwa kile chama kinaonekana kujihusisha na wanajeshi (JWTZ) wastaafu, nashauri pia shughuli zao za maandamano JWTZ wasiwe wanakaa mbali.

    Mwanajeshi mstaafu ni askari wa akiba mpaka kifo, ana kiapo kwa Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Majeshi, muda wowote anaweza kupewa amri afanye shughuli za kijeshi. Vinginevyo anahesabika muasi. Nimeona wanajeshi wenye mafunzo maalum waliofukuzwa au kustaafu Jeshi wanajihusisha na hicho chama...
  7. Nyani Ngabu

    JWTZ cyber warfare unit

    Nauliza tu… Mara nyingi sasa tumeziona mbwembwe za makomandoo wa JWTZ. Tumeona jinsi wanavyovunja matofali kwa mikono. Tumeona jinsi wanavyovunja vibao kwa mateke. Tumeona jinsi wanavyobeba mabegi ya mgongoni makubwa na mazito. Pia, tumeona na kumsikia msemaji wa jeshi letu akisema kuwa...
  8. Heparin

    Rais Samia: JWTZ halina mpango wa kuvamia nchi yoyote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Miaka ya 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, leo tarehe 1 Septemba 2024. https://www.youtube.com/live/osYsFlm-yM4?si=1Cpa3zDEHIfIEkcn "Jeshi letu...
  9. jingalao

    Miaka 60 ya JWTZ Tanzania iwekeze kwenye kinu cha nyuklia

    Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi. Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka. Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu na kwa haraka ili tujitosheleze kwa nishati lakini pia tujiwekeze kiulinzi. Zama za kutegemea URUSI...
  10. sanalii

    Nashauri Wanajeshi mnapokuja kwenye biashara za kiraia msije kikundi na kuvaa magwanda

    Mimi binafsi naona ni ubabe wa usiofaa wa baadhi ya wanajeshi, mtu anakuja ofisini kwako kavaa kiraia. Mnafanya biashara vizuri, Ikitokea biashara imeenda kinyume siku akija kueleza matatizo anakuja na kikundi cha wenzake wawili au watatu huku amevalia nguo za kijeshi na vitisho kibao, kwanini...
  11. K

    Mfumo wa Uajiri JWTZ umepitwa na wakati, ufanyiwe maboresho

    Nimejaribu kufuatilia michakato ya usajili na uajiri wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama. Kikubwa nilichokigundua ni kwamba mfumo wa uajiri wa JWTZ bado ni wa kizamani sana, jambo ambalo linaweza kusababisha kuwepo kwa mianya ya rushwa. Mpaka leo kwa taasisi kubwa kama JWTZ kuendelea...
  12. Meneja CoLtd

    Ajira za JWTZ - Vijana waliopo JKT na waliomaliza mkataba wa JKT

    Wakuu Leo nimeliona tangazo la nafasi ya kujiunga JESHI LA WANANCHI TANZANIA lakini naombeni ufafanuzi kwenye masharti yake kama UMRI NA CHETI CHA JKT WANAZINGIATIA SANA AU TUFANYE MAOMBI TU POTELEA KARIBU? ---
  13. Matulanya Mputa

    Mkuu wa mkoa wa Mtwara kuonekana kavaa nguo za chama cha Mapinduzi wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ ni sahihi?

    Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi. Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
  14. D

    Mipaka yetu ina shida ndio maana vitu feki vimejaa nchini

    The borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani. Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi halifanyi kazi yake ipasavyo. Au kazi yao ni nini jamani?
  15. Cute Wife

    Pre GE2025 Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu Salam, Naanzisha uzi huu maalum kwaajili ya kupata matukio yote ya kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Tunajua mambo mengi hutokea na kashkash huwa nyingi, hivyo uzi huu utatumika kama record ya matukio hayo yote, na kuja kusaidia Gen Alpha kuwa na sehemu itakayowaweza kupata matukio...
  16. The Supreme Conqueror

    Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ

    Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ wamalize mchezo.Watoto wa St Petersburg nani awafute machozi? Ni kheri kumuenzi Keneth Kaunda na...
  17. Hakuna anayejali

    Kwenu JWTZ mbona sasa inakuwa hivi?

    Miongoni mwa majeshi ninayo ya heshima ni JWTZ lakini mbona baadhi ya askari wenu wanadhalilisha jeshi? wanazinguwa bar na sare za kazi ama unamwona mtu kalewa chakari ndani ya sare.Askari kama huyu huko kambini hachunguzwi na kudhibitiwa ili kuleta nidhamu kwa jeshi?
  18. Roving Journalist

    Waziri Tax: Hakuna malimbikizo kwa wastaafu wanaohusiana na JWTZ

    Akijibu swali la Mbunge Esther Matiko aliyehoji kuhusu uwepo wa malalamiko ya Wastaafu kucheleweshewa mafao yao kutokana na sababu mbalimbali, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesema Wastaafu wanaohusiana na Wizara yake hakuna malimbikizo na wanaendelea...
  19. GENTAMYCINE

    Hongereni sana Tanzania Millitary Academy kwa Mafunzo yaliyotukuka kwani Wanajeshi wa Uganda

    Kila Mwanajeshi ninayekutana naye wa Uganda (hasa Maafisa) na wengi wao walioko katika Kikosi cha Ulinzi cha Rais Museveni na wakubwa wao walikoko Makao Makuu yao ya Mbuya na wale walioko katika Vyuo vyao vya Kijeshi kama Kawaweta, Jinja na Kabamba wanasema wanakipigia Saluti Chuo cha TMA na...
  20. w0rM

    DOKEZO Miaka 45 tangu Majeshi ya Tanzania yashinde vita Uganda dhidi ya Iddi Amini: Wazee wetu wanakumbukwaje?

    Juni 9, mwaka 1979 Kamanda aliyeongoza Vita vya Uganda dhidi ya Iddi Amin alitamka kuikamata Ngome ya mwisho ya adui. Haikupita muda Amiti Jeshi Mkuu, Julius Kambarage Nyerere akatangazia Taifa na Dunia kuwa ngome ya mwisho ya adui imeanguka. Ikiwa ni miaka 45 sasa tangu ushindi wa Vita hii...
Back
Top Bottom