kabila

Joseph Kabila Kabange ( kab-EE-lə, French: [ʒɔzɛf kabila]; born 4 June 1971) is a Congolese politician who served as President of the Democratic Republic of the Congo between January 2001 and January 2019. He took office ten days after the assassination of his father, President Laurent-Désiré Kabila in the context of the Second Congo War. He was allowed to remain in power after the 2003 Sun City Agreement ended the war. He was elected as president in 2006 and re-elected in 2011 for a second term. Since stepping down after the 2018 election, Kabila, as a former president, will be a senator for life, according to the Constitution of the DRC.Kabila's term was due to expire on 20 December 2016, according to the terms of the constitution adopted in 2006. Officials suggested that elections would be held in November 2016, but on 29 September 2016, the nation's electoral authority announced that the election would not be held until early 2018. Talk focused on the need for a census before holding elections. In August 2018, Kabila announced that he would step down and not seek reelection in the December 2018 general election. He was succeeded by Félix Tshisekedi in the country's first peaceful transition of power since independence.
While in power, Joseph Kabila faced continuous wars in eastern Congo and internal rebel forces supported by the neighboring governments of Uganda and Rwanda.

View More On Wikipedia.org
  1. CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

    January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo kusaidia wananchi WANAJUA watachsguliwa Tena wakipitidha mambo yaooo Sio hivyo iliwafanya HATA...
  2. Hivi ni kabila la kirangi pekee linaloongoza kwa mabinti kumpeleka watoto kulelewa na Bibi zao vijijini baada ya kukorofoshana na waliowapa mimba?

    Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto vizuri tu Mdogo wake naye hivyo hivyo baada ya kugombana na mwanaume wake akachukua mtoto akampeleka...
  3. T

    Chimbuko na Asili ya kabila la wa Chagga

    Chimbuko na Asili ya kabila la wa Chagga inaonyesha kua walitokea Afrika kaskazini upande wa Mashariki mwa Afrika yaani pande za Ethiopia/Uhabeshi, asili yao kuu waliitwa wa salsha hilo ni neno la kiyahudi ikimaanisha wayahudi wa kale ambao walichanganyika na wakushi walioondolewa uyahudi...
  4. Inawezekanaje (baba)Laurent Kabila atofautiane kimtazamo na(mwana) Joseph Kabila?

    Habari wakuu Laurent Kabila alikataa kuwatambua Banyamulenge na watutsi wengine kama raia wa Congo kiasi alisema mkataba waliokubaliana ulikuwa wa vichochoroni Jana Joseph Kabila anamlaumu Tschekedi kukataa kuwatambua watutsi na Banyamulenge Hii imekaaje?
  5. Who is worse, Mobutu or Kabila?

    Comparing Mobutu Sese Seko and Laurent-Désiré Kabila, both leaders of the Democratic Republic of the Congo (DRC), involves examining their respective regimes, impacts on the country, and legacies. Mobutu Sese Seko (1965-1997) Authoritarian Rule: Mobutu ruled with an iron fist, establishing a...
  6. M23 Conflict: Kabila Says Poor Governance, Not Rwanda, Is the Real Issue in DRC

    Former Democratic Republic of Congo leader Joseph Kabila stated on Sunday that the poor governance of his successor, President Felix Tshisekedi, significantly intensified the conflict in eastern DR Congo. Kabila’s comments provide a critical perspective on the ongoing DR Congo conflict and offer...
  7. Tshisekedi amshutumu Joseph Kabila kwa kuwafadhili M23 ili kumpindua

    Fungua hii hapa: https://youtu.be/lElMstEAAww?si=0nAu1Paai2oo95i8
  8. Moja baada ya mambo yaliyomgharimu Tsishekedi baada ya kuchukua uongozi kutoka kwa Kabila, ni kuiamini Kenya, akaiacha Tanzania

    Mara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Kabila mtoto, Tsishekedi alikuwa na mahaba makubwa kwa Kenya, akaitelekeza Tanzania. Tanzania ni moja kati ya "watu wa kazi" Walioidhibiti amani ya Congo Mashariki. In fact, Tanzania ni Godfather wa ulinzi na usalama wa ukanda huu. Kosa hilo...
  9. Hima ni kabila kubwa ambalo historia yake inaweza kuwa kweli.

    Hima ni kundi la watu wa asili ya Kibantu na Nilo-Hamitic linalopatikana hasa katika maeneo ya Afrika Mashariki na Kati, hasa Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Historia yao ya kuingia katika nchi hizi inahusiana na harakati za uhamaji wa makabila...
  10. Kutoka Kilimanjaro Wapare ndo Kabila ambalo lina Waislamu wengi kwa Mkoa huo

    Yes ni wapare. And we are proud to be wapare. Tupo wapambanaji na tumezoea maneno yenu hayatuzuii kitu. Mkisusa kuwaoa wapare wao wanaoana na wala hamna shida kwani lazima kuolewa na ninyi? Mambo ya roho mbaya na ukatili ni ya kufikirika tu. Ni myths. Maana watu wamekuwa wakipakaza sana juu ya...
  11. Wahadzabe ni kabila ambalo ni zaidi ya kivutio cha Utalii ila hawapewi kipaumbele kama tunavyowapa Maasai

    Kusema kweli saiz kabila la kimasai halina maajabu tena ya kufanya tuwape kipaumbele kama kivutio cha watalii kwa kuwa maisha yao ni maisha ya kawaida kabisa, ukiachana na ufugaji wao na uvaaji wao hakuna kingine cha maajabu kinachofanya kutangazwa kama kivutio cha watalii. Katika filamu ya...
  12. Ukitaka kuoa usiangalie kabila wala Nyash bali chunguza kama Baba wa mkeo mtarajiwa ni mkoloni, utakuja kunishukuru

    Malezi ya mtoto ni conditioning, na kama tunaongelea mtoto wa kike basi uhusiano wake na baba yake utakupa ishara bora jinsi utakavyokuwa ndani ya ndoa na wewe Kuna wale mababa ambao huwaita watoto wao wa kike maneno ya kiutani utani; utasikia "my little angel", "Sweetheart" na ukurutu...
  13. Kabila la Kiarabu la Druze huko Syria milimani Golan wanataka eneo lao lichukuliwe na Israel.. Wasema bora kuishi na Shetani umjuaye kuliko usiyemjua

    Habari inayosambaa Mitandaoni: Wadruze wa Syria wanaomba wao wenyewe kuunganishwa eneo la Milima yao ya Golan yote iwe ndani ya taifa la Israeli. Jumuiya ya Wadruze wa al-Hader nchini Syria wameamua Israel iwatwae, Israel 'wanauovu mdogo' mbele ya uwezekano wa kunyakuliwa na waasi wa Syria...
  14. Nini kinafanya kabila fulani kuwa watani wa kabila lingine?

    Huwa nasikia watu wa kabila fulani anasema kabila fulani ni watani zake, mfano utasikia msukuma anasema mgogo ni mtani wake n.k Nini kinachopolekea kabila fulani kuwa watani wa kabila lingine? Unajuaje kabila fulani ni watani wa kabila fulani ?
  15. S

    Tatizo la lugha kwa waandishi wa habari; Gazeti la Guardian la IPP Media ladokeza kwamba Joseph Kabila, Kikwete, Uhuru Kenyata hawapo tena duniani!

    Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai! Haya ndiyo waliyosema Guardian. Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
  16. Hivi siwezi kabisa kuanzisha Kabila langu?

    Mfano, nikiamua kuanzisha misemo yangu tofauti na Kabila langu la sasa na nikaanza kuwafunza watoto wangu tokea utoto wao na nikajitenga kabisa na jamii yangu kwa mda wa miaka japo mitano je siwezi kufanikisha nia na madhumuni yangu?
  17. maombolezo kwa maandamano ni utamaduni kutoka kabila gani hapa Tanzania?

    Hivi maombolezo imekuwa ni dhihaka kiasi hiki??Maombolezo sio ibada ...?? Eti maombolezo kwa kuingia barabarani na slogan ya SAMIA MUST GO.... hawa vibaraka wa mabeberu wanatuletea tamaduni za nchi gani?? #KATAA WAHUNI
  18. U

    Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu?

    Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni
  19. M

    Mambo ya kuulizana dini na kabila hospitalini hayafai

    Kama serikali Haina dini Wala kabila Kuna haja gani ya kuulizwa taarifa kama hizi, nilienda hospitali kutibiwa na Kadi ya NHIF nikawa naulizwa mambo haya imeniuma sana kwa kuwa mimi sioni kama kabila langu na dini yangu kuwa ni vitu vya kujivunia sana naamini kama watu wote ni sawa.
  20. U

    Je Zakayo Mtoza ushuru wa kwenye Biblia alikuwa na ufupi wa aina gani? wa kawaida au wa mbilikimo ? alikuwa ameoa? alikuwa kabila gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Wenye elimu mtuelimishe zaidi kuhusu ndugu yetu huyo aliyepata umaarufu baada ya kubahatika kutembelewa na Bwana wetu Yesu Kristo nyumbani kwake. Karibuni tujifunze
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…