kabila

  1. T

    UTAFITI: Mkoa gani mwezi huu wa December watu wake hurudi sana kwao.?

    Ni kile kipindi cha mwaka ambacho watu hupotea jijini, nafanya kautafiti kadogo kujua mkoa gani watu wake hurudi kwa wingi kushinda mkoa mwingine. Karibuni
  2. B

    #COVID19 Corona: Wasiochanjwa ni kichocheo kwa Virusi Hatari zaidi

    Sayansi ya virusi ni mtambuka kama zilivyo zingine. Virusi vinafahamika kubadilika hata kuwa hatari zaidi, visipotokomezwa mapema. Virusi vya corona katika miili ya wasiochanjwa ndiko yaliko maeneo wezeshi ya kupatikana aina konki zaidi. Kwa kuutambua ukweli huu wenye kuelewa wanaelekea...
  3. polokwane

    Mwalimu Nyerere aliona mbali madhara kuruhusu kabila kubwa kushika madaraka ya Urais

    Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano. Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita...
  4. W

    Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi

    Wamachinga, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi. Lugha yao ni Kimachinga. Inasadikiwa asili ya kabila hili ni kandokando ya ziwa Mkoe, hasa mto Mbwemkuru unapoingia baharini. Wamachinga katika biashara. Kwa kipindi cha karne ya 20...
  5. chizcom

    Miaka milioni ijayo kutakuwa na kabila na tutakuwa na mchanganyiko nchi zote

    Suala la leo na tafakari baada kusoma maswala ya viumbe vilivyo potea miaka milioni na bilioni iliyopita kama wataalamu kutuambia. Sisi wanadamu umri wa kuishi muda mrefu ni ngumu na dunia ya sasa ya miaka 2021 kama magonjwa yenye nguvu, ajali, teknolojia, mabadiliko ya hewa na n.k Katika vitu...
  6. Sky Eclat

    Malkia wa Madagascar kutoka kabila la Sakalava

    Hawa ndiyo watu asili wa Madagascar kabla ya ujio wa Wakoloni. Wareno na Goa walioana na wenyeji kabla ya utawala wa Kifaransa.
  7. N

    Tofauti ya kabila na kabila

    Mimi nikiwa nje ya Tanzania najitambulisha kama Mtanzania, maana ndiko baba zangu walitoka au kuzaliwa au kuishi au waliamua wenyewe au mimi mwenyewe kuwa ni nchi yangu. Ukiwa ndani ya Tanzania ni mara chache utaamuliza mtu wewe ni Mtanzania, labda awe wa rangi nyingine unaweza kushuku anatoka...
  8. beth

    Dodoma: Rais Samia awaapishwa viongozi wateule leo Oktoba 11, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwaapisha Viongozi Wateule watatu walioteuliwa Oktoba 08, 2021. Jaji Mustapha Siyani ameteuliwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Omar Othman Makungu ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Pia, Sophia Edward...
  9. lee Vladimir cleef

    Hakuna kabila Malaya Tanzania

    Merry Christmas Kumekua na maneno ya kashfa Sana dhidi ya baadhi ya makabila hapa Tanzania.kuwa "wanawake wa kabila fulani Ni Malaya Sana,hawafai". Mtazamo huu Mimi Lee sikubaliani nao. Sikubaliani nao kwa sababu kila mtoa lawama hulaumu kutokana na wanawake wa kabila fulani aliokutana nao. Na...
  10. B

    Lijue Kabila la Waluguru na utamaduni wao

    Asili: asili ya waluguru husemekana kuwa imetokana na watu kutoka maeneo ya chini(low land) kuhamia katika mlima kwasababu mbalimbali kwa mfano mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na njaa na pia kukwepa utumwa wakati wa enzi za utumwa , mfano kuna mapokeo miongoni mwetu kuwa waluguru walikuwa...
Back
Top Bottom