Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa.
Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika sana kiuwendeshaji.
Wamejitahidi sana katika kufanya sajili bora kitaalamu na siyo kuokota okota...