kabudi

Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (born February 24, 1956) is a Tanzanian lawyer who currently serves as the country's Minister for Constitution and Legal Affairs since April 2021 appointed by President Samia Suluhu. He was a Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation appointed by President John Pombe Magufuli since 2020 to 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Prof. Kabudi aufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kutokana na tuhuma mbalimbali

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na wadau wa mchezo wa ngumi. Taarifa kutoka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza...
  2. Waziri Prof. Kabudi anazindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Machi 3, 2025

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeanzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229, ikiwa na jukumu kuu la kutoa ithibati kwa waandishi wa habari hapa nchini. Bodi hii ni chombo muhimu katika kusimamia viwango vya taaluma ya Uandishi wa Habari...
  3. B

    Waziri Kabudi kuzindua bodi ya ithibati ya waandishi wa habari machi 3

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa imeeleza kuwa uzinduzi huo...
  4. J

    Inakuaje Kabudi anatangaza nyimbo zinazohamasisha usodoma kuwa alama ya taifa? Maadili yetu yanaelekea wapi?

    Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa hii ndio alama ya Tanzania?
  5. PROFESSOR KABUDI HUJAFANYA HOME WORK YAKO VIZURI, SINGELI KWELI?

    Ni kweli Tanzania tunahaja ya kujitanabaisha kimuziki na kuwafanya watu wajue utambulisho wa muziki wa Tanzania. Kuna mirindimo inapaswa kuwa utambulisho wa muziki wetu ila kiukweli hapa kwa singeli haujawaza sawa sawa. Mziki inapaswa kutambuliwa ni muziki wenye mirindimo na midundo yenye staha...
  6. K

    Kwa singeli Kabudi unatukosea Watanzania huujui vizuri huo mziki. Bongo Fleva ndio mziki rasmi unaoitambulisha Tanzania

    Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio sahihi kwa sababu zifuatazo: Kwanza kabisa tayari Tanzania ina mziki unaoitwa Bongo fleva...
  7. Waziri Kabudi: Tutazungumza na NSSF kuhusu hatma ya mafao ya uzeeni ya Waandishi wa Habari

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palagamba Kabudi amesema kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia suala la mafao ya Uzeeni ya Wanahabari kutokana na baadhi yao kupitia changamoto ya kiuchumi wanapozeeka. Amesema hayo katika Mkutano wake na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji...
  8. Mkutano wa Waziri, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji, Desemba 18, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=-yZfMNUBE8U Mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji jijini Dar es Salaam. Gerson Msigwa: Kuna Vyombo vya Habari 1,023 vilivyosajiliwa Nchini Katibu Mkuu Wizara ya Habari...
  9. S

    Hotuba ya Mwisho ya Profesa Kabudi ndani ya masaa 24 akahamishwa Wizara

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuanzisha chombo cha kuratibu na kusimamia mikataba ambayo Serikali inaingia. Prof. Kabudi ameeleza kuwa kuanzishwa kwa chombo hicho kutaisaidia nchi kutokuingia mikataba yenye masharti hasi na...
  10. Rais Samia: Kabudi nimeipitia vizuri CV yako, wewe ni mwanahabari mzuri

    Wakuu, Kama ulikuwa unajiuliza kwanini Kabudi amechaguliwa kwenye Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo hivi leo Rais Samia ametoa sababu ya kumchagua Kabudi kwenye nafasi hiyo. Rais Samia akiwa anawaapisha viongozi wapya leo, amesema kuwa ameipitia CV ya Kabudi na ameona kuwa yeye ni...
  11. Watu wengi hawajui kwamba Prof. Palamagamba Kabudi aliwahi kuwa mwanahabari kipindi kile cha vita vya Kagera

    Prof Kabudi pamoja na Harrison Mwakyembe waliwahi kuwa waandishi wa habari wa magazeti ya uhuru na mzalendo(if I am not mistaken). Hii ilikuwa kabla, wakati na baada ya vita vya kagera. Kwa maneno mengine, walikuwa wanajeshi walioongoza mapambano dhidi ya nduli Idd Amin kwa silaha ya kalamu...
  12. Waziri mpya wa Sanaa na Michezo (Prof. Kabudi) naona hatoshi huku

    Naheshimu sana mamlaka za uteuzi wake Naheshimu taalumu, wasifu na uwezo wa Professor Paramagamba Kabudi ila nadhani huku hapamfai Natoa tu maoni na mtazamo wangu wala neno langu sio sheria Waziri Paramagamba Kabudi ana umri wa miaka 68, na wizara anayokuja kutumikia inashirikisha vijana yaani...
  13. Prof Kabudi ni mtu ambaye ukimwambia aelezee ubora au faida za Nzi ni nyingi kuliko Nyuki anaweza shawishi watu wengi

    Ni moja katika ya ma profesa wachache wenye kujua kuzungumza na kujua kuchezea lugha ya Kiswahili. Huwa namsifu. Ni profesa ambaye unaweza ukampa kazi awaelezee watu faida za kufuga Nzi ni nyingi kuliko kufuga Nyuki. Na akaelezea kwa mbwembwe sana na wengi wakafurahia sana na kuanza kuangalia...
  14. Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  15. B

    Profesa Kabudi alipokisokota kimasai Ngorongoro!

    Bila shaka ilikuwa katika kuitumia falsafa ya Mandela: "If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his own language, that goes to his heart." -- Nelson Mandela. Asijue kumbe kama nyati waliojeruhiwa, wamasai walikuwa hawana cha mswalia...
  16. J

    Ujio wa Lukuvi ( Bunge), Prof Kabudi ( Katiba) na Makonda ( Utawala Bora) kunaifanya CCM kukamilika Idara zote kuelekea 2025

    Kama unabisha shauri Yako. Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo. Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi 😂😂 Pale Bungeni ndugu Lukuvi ataweka kila kitu sawa. Huku kwa akina Mwabukusi na Matata sasa watakutana na nguli mwenyewe wa Katiba Prof...
  17. mnataka kunambia uteuzi wa kabudi na lukuvu ulibeba taswira ya ukombozi wa ngorongoro?

    nimeliona hili baada ya kuteuliwa hawa jamaa na je,hii presidency decree itakaa kwa muda gani?huwenda ni kwa mwaka mmoja but after election wamasai wanarudi kwenye maandamano. but all in all,CCM wana wajinga wengi wa kufikiri,
  18. Pre GE2025 Mwaka 2025 baada ya Mama Samia kushinda uchaguzi, unapendekeza nani awe Waziri wa Sheria?

    Kati ya manguli hawa wawili wa sheria, unapendekeza Samia amuweke nani pale Wizara ya Sheria?
  19. Kabudi na Lukuvi kurudishwa kwenye Baraza la mawaziri: wamepandishwa vyeo au wameshushwa?

    Alipowaondoa, alisema kawapandisha vyeo ili wawe viranja wa mawaziri wote isipokuwa Waziri Mkuu. Sasa kawarudisha tena. Hiyo inamaanisha nini? 1. Kazi ya kuwasimamia mawaziri imeisha(wameshuka) 2. Wameongezewa majukumu hivyo wataendelea nayo yote(wamepanda)
  20. R

    Prof Kabudi usiyarudie tena haya ya kujidhalilisha

    1. Kujidhalilisha kuwa umetoka, umeokotwa Jalalani 2. Mheshimiwa Mungu Jihadhali usije ukayarudia tena.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…