kabudi

Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (born February 24, 1956) is a Tanzanian lawyer who currently serves as the country's Minister for Constitution and Legal Affairs since April 2021 appointed by President Samia Suluhu. He was a Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation appointed by President John Pombe Magufuli since 2020 to 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. ubongokid

    Rais Samia, kwa hili la Kabudi na Lukuvi, ungetumia staili ya Mkuchika

    Mheshimiwa Rais; Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano; Mhesihimiwa, sijui mshauri wako ni nani katika kuteua baraza la mawaziri ambalo umelitangaza juzi ila ulichofanya kuhusu Ndugai, Kabudi na Lukuvi kwa kweli inabidi nikupe ushauri wa haraka. Kwanza kabisa Hawa watu watatu hasa Kabudi...
  2. troiker

    Alichokifanya Rais Samia dhidi ya Lukuvi na Kabudi kuwaweka kwapani ni kudhibiti kundi la urais 2025 dhidi yake, atafanikiwa?

    Ukitizama kwa jicho la ndani zaidi, Lukuvi na Palamagamba, kwa watanzania makini, na wazalendo wa kweli, bila ushabiki wa milengo ya kisiasa, watu hawa ni makini na weledi katika utendaji wa kazi ,na hili limedhihirika kwa michango ya watanzania wote kupitia mabadiliko ya baraza la mawaziri...
  3. Zanzibar-ASP

    Kikatiba, Waziri Mkuu ndiye Msimamizi wa Mawaziri wote. Sasa Lukuvi na Kabudi watasimamia Mawaziri vipi?

    Rais Samia leo amesema amewaondoa kwenye baraza la mawaziri Lukuvi na Kabudi ili wabakie ikulu kuwasimamia (kuwachapa viboko!) mawaziri wengine wote. Pia Rais Samia amesema nafasi za Kabudi na Lukuvi haziko popote kwenye muundo wa serikali (yaani haziko kikatiba). Sasa hoja iko hapa. Katika...
  4. figganigga

    Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  5. B

    Lukuvi, Chenge, Kabudi kubalini mmezeeka acheni kujipigia kampeni za uspika, vijana kama Steven Masele kachukueni fomu wakikata jina freshi tu

    Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani? Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi...
  6. This is...

    Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

    Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha. Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo...
  7. B

    Profesa Kabudi atoa Somo la Uzalendo

    Mh. Waziri wa Sheria na Katiba amesikika leo akitoa somo: Hii ikiwa hata vumbi la kuangushiwa jumba bovu lingali halijatulia: Kuna haja ya tafsiri za neno hili "uzalendo" kupitiwa vyema ila kuwa na tafsiri moja. Tulipo leo haieleweki. Kwa jina la uzalendo Polepole anananga anaowaita...
  8. B

    Tunakubaliana Profesa Kabudi aliua Diplomasia yetu, lakini hatukubali kwamba hafai kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

    Kwa Hali ilivyo ni wazi CCM wameanza kukubaliana na watu wenye akili timamu kwamba tuliua Diplomasia ya Kimataifa. Ni Jambo la Wazi kwamba hata wale waliowakamata wapinzani waliokosoa sera ya mambo ya nje wanajiona wajinga kwamba wameshiriki kutufikisha hapa tulipo. Watu wale wale walioelekeza...
  9. The Boss

    Wakati wa Kabudi kupumzishwa ulishafika, Rasi Samia amsaidie tu

    Kwenye kila utawala kuna Viongozi ambao wanawakilisha utawala huo zaidi ya wengine. Na utawala wa Magufuli huyu Prof. Kabudi aliuwakilisha zaidi ya wengine.. Ubabe.. Vitisho... Amri.. Na Sura za kuogofya kwa watawaliwa na wananchi...huyu Kabudi alikuwa anawakilisha vyema kabisa. Alipokuja...
  10. middo lulyheart

    Hotuba ya Waziri Kabudi Umoja wa Mataifa - UN, kwa niaba ya rais Magufuli - 27 Septemba 2019

    Leo Mh Paramagamba Kabudi amehutubia mkutano wa 74 wa Umoja 2a Taifa jijini NewYork marekani. Tanzania tumedhamiria kubadili maisha ya watu wetu: Kabudi Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania akihutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa...
Back
Top Bottom