kaburi

Kaburi is a Papuan language of the Bird's Head Peninsula of West Papua.

View More On Wikipedia.org
  1. Mvutano wa NHIF na watoa huduma za afya ni kaburi la afya za Watanzania wengi

    Hizi heka heka za mivutano baina ya serikali kupitia NHIF na watoa huduma za afya wa vituo binafsi sio jambo lenye kheri, mwisho wake utakuwa mbaya sana. Haijarishi nani ataibuka mshindi lakini mwisho wa siku afya za watanzania zinakwenda kupuputika vibaya. Ni kweli NHIF inazilipa fedha nyingi...
  2. Maranja Masese atembelea kaburi la Lowassa. Akutana na familia

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi, Wilayani Monduli. Bwana Masese amekutana na Familia ya Lowassa na kuteta nayo Mambo kadhaa, ikumbukwe kwamba Maranja Masese ni miongoni mwa Team...
  3. Makonda azuru kaburi la Benjamin Mkapa

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amezuru kaburi la Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara. Mwenezi Makonda aliyesitisha ziara yake Mkoa wa Ruvuma na Mtwara kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Edward...
  4. Wasabato majibu mnara wa freemason kwenye kaburi la nabii wenu Bi Hellen G White una maana Gani?

    Hili ni kaburi la Bi Hellen G White lina mnara wa Obelisk.Ukiona mnara wowote round about unamaanisha kiungo cha uzazi Cha kiume Cha Nimrodi. Nimrod mtoto wa haramu ndie aliyejenga mnara WA babel kisha Mungu akawachanganyia lugha wakasambaa duniani. Baada ya Nimrodi kuuwawa kwa kukatwa katwa...
  5. Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

    Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Yemen Meja Jenerali Mohammad al-Atifi: Amesema kuwa Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vitageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo muungano huo utaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen. ====== 🇾🇪🇺🇸 Yemeni Defense Minister...
  6. Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

    Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea. Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo. Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza
  7. Bima ya Afya kwa wote huenda likawa ni kaburi la afya za Watanzania

    Muswada wa Bima ya afya kwa wote ulifanikiwa kupitishwa bungeni mwezi uliopita, na tayari umetiwa saini na Rais wa Tanzania kuwa sheria rasmi, hivyo mchakato wa kutengeneza kanuni na taratibu za ufanyaji kazi kabla ya kuanza kutekelezwa umeanza rasmi. Bahati mbaya sana watu wengi hawajui mifumo...
  8. NADHARIA Iringa: Mzee Kiyeyeu alizikwa na mtu aliye hai na kaburi lake lilizuia umeme wa TANESCO kuwaka

    Kando ya barabara ya Iringa - Mbeya maeneo ya Njia panda ya Mlolo kuna Kaburi la mtu aliyekuwa maarufu katika fani ya Uganga wa jadi mkoani Iringa na alifahamika kama Mzee Martin Kiyeyeu. Inaelezwa mzee huyu alifariki mwaka 1974 na kuzikwa lakini muonekano wa Kaburi hilo ni kama alizikwa hivi...
  9. Tundu Lissu atembelea kaburi marehemu Alphonce Mawazo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameitembelea familia ya aliyekuwa wanachama wa chama hicho marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Chikobe Wilaya ya Geita mkoani Geita. Pia soma > TANZIA - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa...
  10. W

    Naomba picha za Tundu Lissu akihiji kaburi la marehemu Hayati Magufuli

    Kama tujuavyo kuwa mheshimiwa sana upande ule, ndugu Tundu Lissu, aliitangazia nchi kuwa anaenda Chato kuhiji kaburi la JPM. Hilo lilitokea juzi kama sio majuzi. Alisema 'lazima' afike. Baadae tukasikia UVCCM imepiga marufuku 'madange' hayo na kutoa tamko kwa chadema kuwa 'mdako' huo au 'kidali...
  11. K

    Tundu Lissu umebakiza kutubu kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Binafsi nilikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu. Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM...
  12. F

    Azma ya Lissu kwenda kwenye kaburi la Magufuli yakaribia, akifika Chato kesho tarehe 02.08.2023 huenda itatimia

    Viongozi wa wilaya wamefika nyumbani kwa familia ya mwendazake kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya Mh. LISSU kufika hapo. Familia kwa unyenyekevu mkubwa wameridhia kwa masharti ya kupata baraka za Mkuu wa wilaya ya Chato. Baada ya viongozi kuwasiliana na Mkuu wa wilaya naye ameridhia tukio...
  13. Familia ya Magufuli isikubali Chadema wakafanye Siasa kwenye kaburi la Magufuli, wawafukuze

    Nawashauri familia ya JPM wasimruhusu Lissu na genge lake lisiende katika kaburi la JPM kufanya Siasa. Japo Mimi sio mnazi wa JPM, lakini inaonekana wamejipanga kisiasa katika kuzuru kaburi Hilo, na wanaweza hata kutoa matusi mazito, hasa Lissu, wakati wakijifanya kumuombea. Pia baadhi wamesema...
  14. Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Malawi hayati Kamuzu Banda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amezuru na kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Malawi, Hayati Kamuzu Banda Nchini Malawi.
  15. Sitalisahau kaburi lako Madalitso

    SITALISAHAU KABURI LAKO MADALITSO Mwandishi:Saadala Muaza --- Ilikuwa ni saa kumi na mbili takribani na dakika arobaini na saba za jioni.Sauti yako ikapenyeza hadi kwenye ngoma za sikio langu na kunishtua toka usingizini ambako nilikuwa nimelala fo!fo!fo! "Chima! Chima! Chima mme wangu tumbo...
  16. K

    Rais, Waziri wa Fedha na TRA wanakuchimbia kaburi. Chukua hatua za haraka

    Leo Wafanyabiashara wametoa ya moyoni kutokana na kero zinazowakabili katika biashara zao. Wafanyabiashara wamezungumza mengi ila nashauri yafuatayo: (1) Vituo (gates) zilizopo njiani zitolewe mara moja njia yote toka nchini na kwenda nchi zote za jirani. Kituo kinachoongoza kwa Rushwa ni...
  17. SoC03 Sitalisahau kaburi lako Madalitso

    SITALISAHAU KABURI LAKO MADALITSO Mwandishi: Saadala Muaza --- Ilikuwa ni saa kumi na mbili takribani na dakika arobaini na saba za jioni. Sauti yako ikapenyeza hadi kwenye ngoma za sikio langu na kunishtua toka usingizini ambako nilikuwa nimelala fo!fo!fo! "Chima! Chima! Chima mme wangu...
  18. Serikali ijenge kaburi "fake" la Hayati Magufuli pale Nyerere Square Dodoma sehemu ya wazi ili kila mtu apate kulitembelea

    Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa. Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka...
  19. Kaburi la Mtoto lafukuliwa, mwili na Jeneza vyaibwa

    WAKAZI wa Kitongoji cha CCM-Senta, Kijiji cha Lwamugasa wilayani Geita mkoani hapa wamekutwa na sintofahamu baada ya kaburi la mtoto aliyezikwa kukutwa limefukuliwa na watu wasiojulikana. Akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio hilo, baba wa mtoto, Dismas John (35) alisema mwanawe wa...
  20. Chato: Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, atembelea kaburi la Hayati Magufuli

    Katika picha na Video ni Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Katika uwanja wa Ndege wa Chato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…