Hii dhana ya kujinunulia majenezo au kujijengea makaburi kabla ya kifo chako, kwa kisingizio eti ukifa usije kusumbua watu katika michango.
Hii imekaaje wakuu? Ni sawa kufanya hivyo?
RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli.
Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote...
Nimeshtushwa kidogo kutoka kwa huyu ndugu Kimaro.
Mkoa wa Kilimanjaro, katika kijiji cha Mbosho, wilayani Machame, kutana na Patrick Kimaro, mwenye umri wa miaka 59, ambaye amejingea kaburi lake.
Kimaro amesema ni sehemu tu ya kujiandaa na maisha ya baadae na kuongeza kusema amefanya hivyo...
Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
Watu wanne wamefariki dunia papo hapo na mwingine kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati wakichimba kaburi katika Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya.
Watu hao walipigwa na radi Jumapili Januari 9, 2022 wakichimba kaburi kwa ajili ya kumzika ndugu yao aliyefariki Januari 7.
Mkuu wa Wilaya ya...
Hapo chini ni picha ya kaburi la Dossa Aziz lililopo kwenye hodhi ya familia yao Mtoni Kwa Aziz Ally.
Kuna kisa cha kusikitisha sana na siku hii ya mkasa wa Dossa na kwa hakika ni mkasa wa wazalendo wote.
Naikumbuka siku hii kwa kuwa ilitangazwa kuwa Mwalimu Nyerere atatoa nishani kwa...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akitoa heshima mbele ya kaburi la Hayati Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, lililopo nyumbani kwake, Chato mkoani Geita leo Jumatatu. Magufuli alifariki dunia 17 Machi 2021, Dar es Salaam.
Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
Salaam Wakuu
Rais Museven wa Uganda, atembelea Chato.
Kwenye Ziara hiyo, atatembelea Kaburi la Hayati Magufuli, atatembelea Shule ya Museveni aloijenga Chato kama msaada kwa Wananchi wa Chato, Pia atamtembelea Mjane wa Hayati Magufuli
Hayati Magufuli alifariki siku ya Jumatano jioni...
Kuna simulizi alikuwa anatoa mzee mmoja mstaafu, kwamba kwenye moja ya uchaguzi sikumbuki ni wa mwaka gani uliofanyika enzi za Serikali ya kikoloni, wajumbe wa halmashauri ya TANU walikuwa wamekubaliana kwamba wasusie uchaguzi kutokana na kutokubaliana na utaratibu mbovu wa kura tatu, ambao...
Majirani mtaacha lini haya mambo, halafu dunia yote yapo kwenu tu, nyie pekee yenu ndio wenye sifa hizi za kusaka viungo vya albino.
=========
Jeshi la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia watu watatu wa familia moja kwa madai ya kufukua mwili wa kijana mwenye ualibino, Heri Kijangwa (45)...
Assallaam aleykum!
Imepita siku moja toka siku ya kuzaliwa mwamba wa Africa mwendazake John Joseph Pombe Magufuli
Pamoja na wasiompenda kuzungumza mengi sana juu yake, kwa upande wangu nimeona nimkumbuke kwa wema alioutendea umma wa watanzania hasa wasiokua na sauti.
Katika kipindi chake nchi...
Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya...
Ilikuwa ni kawaida msanii wa bongo kupata views milioni hata kwa wasanii wa level za kati tukiachana na zile lebo 3. Ilikuwa ni kawaida msanii akiweka video intagram basi hakosi kutazamwa walau na watu laki
Ilikuwa kawaida msani kupata streams kibao huko boomplay, audio mack, n.k. Yote hii...
Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye kaburi lile lile, kama lengo lilikuwa kuzima mwenge kwa nini wasingeitumia siku ya leo kwa shughuli...
Kitendo cha kufanya sarakasi za kisiasa na kumfanya Lowassa mgombea mwaka 2015 ni laana ambayo haitamuacha Mbowe.
Watu tuliyoa uhai kwa ajili ya chama lakini tamaa ya pesa ikamfanya akaribishe uchafu
Tuhuma lukuki za kifisadi kutafuna michango ya makamanda hii nayo ni laana.
Hii laana...
Amina (siyo jina halisi)mwanafunzi wa kidato cha tatu katika mojawapo ya shule za sekondari wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kila siku anaamka saa 11 ili awahi kwenda shule,shule iliyopo umbali wa kilometa sita kutoka nyumbani kwao.Kila siku anaenda na kurudi kwa miguu, nyumbani hapati kifungua...
Friends and Enemies,
Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti?
Katiba mpya ni suala la mchakato, ni suala mtambuka na jumuishi kwa makundi mbali mbali ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.