Binafsi naona yule Bwana anaedaiwa kutekwa huenda atakuwa amegusa wanasiasa na kilichomtokea huenda ni kutekeleza matakwa ya wanasiasa na ndio maana kinachoendelea katika hili sakata kwa sasa ni kama mchezo wa kuigiza kwani hata weledi wa wahusika kulishughulikia umekosokena na sasa ni full...
Baadhi ya Vitabu nilivyosoma mwaka 2019 – Zitto Kabwe
Mwaka 2019 nimejaaliwa kusoma vitabu 34 (2018:49 na 2017:36+3). Ni sahihi kuwa idadi imepungua sana, hii ni kwa sababu shughuli nazo zimekuwa nyingi, haswa masuala ya ujenzi wa chama na kuhami demokrasia. Mwaka 2019 ndio mwaka nimekanyaga...
Chama cha CHADEMA kimeelemewa kwa salaam za Pongezi kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi kutokana na uchaguzi mkuu wa kihistoria uliyomrejesha madarakani Freeman Mbowe.
Salaam za Karibuni ni kutoka kwa Chama cha ACT Wazalendo mshirika wa Chadema katika upinzani.
Kiongozi wa ACT...
Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli.
Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe amesema chama chake hakijafanya mazungumzo yoyote na mzee Sumaye kuhusu Waziri mkuu mstaafu huyo kujiunga na chama chao.
Zitto amesema mzee Sumaye ameweka wazi msimamo wake wa kupumzika siasa za vyama na kwamba atabakia kuwa mshauri kwa vyama vyote...
“Wananchi hawana furaha, hawana amani, wamejaa hofu, hawawezi kukaa kwa kukosa furaha muda wote, ndio maana tunasema kazi na bata, watu wafanye kazi wale na bata” @zittokabw
Je, Zitto Kabwe ni mmoja wao? Nimeona anavaa kama communist Mao, anahubiri anarchy kama communist wa South America, alikutana na Corbyn wa Uingereza ambaye ni certified communist.
Je, huyu jamaa ni kweli communist au ni communist wanna be, communist ni watu hatari sana, Communist Mao Zedong...
Zitto alisema Rais John Magufuli ameongelea bei ya unga kupanda yupo sahihi kwa wakulima wanapaswa kupata bei nzuri ya mazao na serikali haipaswi kuingilia.
“Amejifunza makosa ya korosho? Lakini sababu za bei kwa walaji kupanda ni serikali kutonunua chakula cha akiba
Zitto aliandika ujumbe huo...
Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe.
ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
Kila kitu anachozusha Zitto serikali huwa haitoki kukanusha kuanzia ripoti za uchumi IMF, kuongezeka kinyemela kwa figa ya mishaara ya wafanyakazi, kuuwawa na kuzikwa watu kule Kigoma, na mambo mengine kibao ila waliposema hayahaya wakina Lema na Sugu walikamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu...
Buriani Mzee James Mapalala, Wajibu umeutimiza
Zitto Kabwe
James Kabalo Mapalala ametangulia mbele ya haki. Mwenyezi Mungu ndiye anajua amali zake duniani na yeye ndiye atampima kwa matendo yake. Lakini Mzee huyu alitimiza wajibu wake kwa sisi wanadamu tunaoishi Tanzania.
Mimi sikuwa...
Kuzuia siasa za Majukwaa na uminyaji wa Demokrasia kwa miaka minne hakujaokoa ccm hata chembe , bado tegemeo lao kubwa litabakia kuwa Polisi na dola kwa ujumla .
Ushahidi huu hapa
Nimesikiliza Press conference ya Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Mhe Zitto leo na kukubaliana na hoja za wengine kuwa Zitto is a well informed person na yuko vizuri sana kuelezea. Ripoti ya 1.5 Trln ni moto sana.
Sikiliza hapa.
Go Zitto. Mie naamini huyu jamaa atatusaidia sana nchi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.