kagame.

  1. kagoshima

    Wanaoisifia Rwanda na Kagame either kwa makusudi au kutojua kuna jambo mhimu hawalisemi na ndio weak point ya kagame.

    1. Wahutu wanahisi kukaliwa kimababu, mkono wa chuma na Kagame, hivyo kikipigwa Rwanda sio wamoja 2. Uchumi wa Rwanda ni fragile 3. Population ndogo All in all vita ni mbaya maana ukiachana na vifo na wakimbiI, hufanya nchi maskini kuwa maskini zaidi.
  2. S

    Maswali ninayojiuliza kuhusu vita ya mashariki mwa DRC

    Habari zenú, niende moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na kuwa mimi si mtaalamu kuna maswali najiuliza kuhusu kinachoendelea mashariki ya DRC lakini nakosa majibu. Naomba mwenye utaalamu/ ufahamu anisaidie kujibu. 1. Kwanini jumuiya ya Afrika mashariki ipo kimya na haikemei kile kinachofanywa...
Back
Top Bottom