Wakuu
Rais wa Rwanda Paul Kagame ni kama anabariki mwenendo wa baadhi ya mapinduzi yanayotokea barani Afrika ikiwemo yale ya Guine Bissau na amesisitiza kama hadi mapinduzi yanatokea ni ishara kuwa kuna kitu hakiendi sawa kwenye hilo Taifa.
Kagame ameyazungumza haoyo akiongea na waandishi wa...