Kagame: Ninaamini Mahali kunakofanyika mapinduzi lazima kuna kitu kisicho sahihi kimekuwa kikiendelea

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wakuu

Rais wa Rwanda Paul Kagame ni kama anabariki mwenendo wa baadhi ya mapinduzi yanayotokea barani Afrika ikiwemo yale ya Guine Bissau na amesisitiza kama hadi mapinduzi yanatokea ni ishara kuwa kuna kitu hakiendi sawa kwenye hilo Taifa.

Kagame ameyazungumza haoyo akiongea na waandishi wa habari mjini Kigali, Rwanda

Source DW
 
Huyu ana sifa na uwezo wa kuiongoza afrika mashariki yote kwa pamoja zikiwa zimeungana.

Mataifa mengine yanabarikiwa viongozi mahiri wenye maono, halafu yananyimwa rasilimali..

...sisi huku tumebarikiwa rasilimali halafu tukanyimwa viongozi wa maana, tukapewa viongozi vilaza na majizi yasiokuwa na maono wala uzalendo, yanachojua ni kufanya teuzi kwa kupachika familia zao ndani ya system hili kila mmoja aitafune nchi... ovyo sana
 
Kwenye suala la maono tu, huyu jamaa apewe maua yake. Ila anavyo wafanya watesi wake, hana tofauti na hawa wengine tu.
 
Kagame ndio kiongozi pekee wa kiafrika mwenye uwezo wa kuliongoza taifa kama Russia au Israel.

Akili nyingi mno yule mtu, niambie kiongozi mwingine wa kiafrika aliyeweza kuimarisha uchumi wa taifa lake kwa kutumia rasilimali za nchi nyingine?

Kiongozi gani wa kiafrika mwenye uwezo wa kuikoromea jumuiya ya nchi zaidi ya 10 kama SADC na kisha wakaufyata?

Kiongozi gani mwingine wa kiafrika anayeweza kwenda kutoa msaada wa kijeshi kwenye taifa lingine wakati mipakani kwake kuna vita inaendelea?

Kagame is the smartest african leader in our modern times, hayo ya kuwafinya wapinzani wake kama ni kwa ajili ya maslahi ya taifa basi yanasemeheka....

...tofauti kabisa na hili shetani la kizanzibari tulilonalo hapa ambalo linawateka na kuua wapinzani kwa ajili ya maslahi ya familia yake,
 
Sisi kama wa kongomani kutoka DRC tume sisitiza kwa viongozi wa dunia walio nauwezo wa kumaliza vita vya muda mrefu nchini kongo kwamba tumechoka, kila aina ya unyanyasaji tumevumilia lakini tumeshindwa! sasa tunaomba UN,USA,EU,AU wakusanye pesa wanunue nuclear warushie inchi hiyo sote tufariki na pengine tatakua tumepumzika. halafu mutapata raha zaidi kwani ni kwamba kongo tumechukiwa duniani pote.
 
Tatizo ni wakongo wenyewe hawajielewi Tshekedi kaka madarakani miaka kibao kashindwa kuunda jeshi yeye ni kula bata tu ufaransa huku akiendelea kuwanyanyasa wakongo wa east
 
Sisi kama wa kongomani kutoka DRC tume sisitiza kwa viongozi wa dunia walio nauwezo wa kumaliza vita vya muda mrefu nchini kongo kwamba tumechoka, kila aina ya unyanyasaji tumevumilia lakini tumeshindwa! sasa tunaomba UN,USA,EU,AU wakusanye pesa wanunue nuclear warushie inchi hiyo sote tufariki na pengine tatakua tumepumzika. halafu mutapata raha zaidi kwani ni kwamba kongo tumechukiwa duniani
Mkuu you're your own enemy but, hivi inakuwaje nchi inaingia agreement but mtu kama waziri anasimama ktk public kutangaza tofauti na hizo agreement wanazo sign? Halafu muache ku worship wazungu hii ya kusema mfe ni wewee kuna watu wanatamani waishi milele in the same country. Nchi zetu za Africa ziache kutafuta mchawi nje ya nchi kwa sababu matatizo yetu yapo ndani zaidi kuliko nje.
 
Mpaka pale hamuja nipajibu sahihi, mimi sio kiongozi wa nchi lakini ni raia masikini wa kawaida, lakini nyote hakuna hata wa kunitia moyo, munajibu kama munajadili na tshisekedi mwenyewe! Mimi hata kumjua simjui namuona tu kwa ma taswira za mtandaoni pia nimezaliwa hapanorth kivu ishasha drc, sijui hata kinshasa naisikia kama wewe! Lakini cha ajabu tu ni kwamba sisi ndio tumeuziwa wakati wengine kinshasa wana faida zote za mali ya nchi. Samahani munielewe tu!
 
Hamieni kinshasa mkuu,, wakiona chaka lao la kula bata limevamiwa na wazilankende ndiyo watashtuka, tena mnalala hadi barazani kwa tshisekedi nalaabuk!
 
Mpaka pale hamuja nipajibu sahihi, mimi sio kiongozi wa nchi lakini ni raia masikini wa kawaida, lakini nyote hakuna hata wa kunitia moyo, munajibu kama munajadili na tshisekedi mwenyewe! Mimi hata kumjua simjui namuona tu kwa ma taswira za mtandaoni pia nimezaliwa hapanorth kivu ishasha drc, sijui hata kinshasa naisikia kama wewe! Lakini cha ajabu tu ni kwamba sisi ndio tumeuziwa wakati wengine kinshasa wana faida zote za mali ya nchi. Samahani munielewe tu!
Ombeni msaada kwa kagame awakomboe
 
Ombeni msaada kwa kagame awakomboe
Umeongea mambo mawili tofauti yenye kufanana.

Kuomba msaada ni sawa, lakini ukombozi ni kwa kutumia nguvukazi yetu wenyewe.

Hawezi kutoka huko kuja kuwakomboa, kufanya hivyo atakuwa kaanzisha vita visivyokuwa na faida.
 
Back
Top Bottom