Kagame: Ninaamini Mahali kunakofanyika mapinduzi lazima kuna kitu kisicho sahihi kimekuwa kikiendelea

Umeongea mambo mawili tofauti yenye kufanana.

Kuomba msaada ni sawa, lakini ukombozi ni kwa kutumia nguvukazi yetu wenyewe.

Hawezi kutoka huko kuja kuwakomboa, kufanya hivyo atakuwa kaanzisha vita visivyokuwa na faida.
Mtamlipa pesa ya damu atakayopoteza hakuna vita isiyo na faida
 
Wakuu

Rais wa Rwanda Paul Kagame ni kama anabariki mwenendo wa baadhi ya mapinduzi yanayotokea barani Afrika ikiwemo yale ya Guine Bissau na amesisitiza kama hadi mapinduzi yanatokea ni ishara kuwa kuna kitu hakiendi sawa kwenye hilo Taifa.

Kagame ameyazungumza haoyo akiongea na waandishi wa habari mjini Kigali, Rwanda
View attachment 3508547

Source DW
Watu hawapindui kwa kujifurahisha
 
Unaongea kimzaha kwenye issue kubwa, au siyo!
Kuomba silaha kujilinda dhidi ya mitekaji na miuaji ya ccm na mipolisi yenu ni mzaha?

Hivyo una furahi tukiendelea kutekwa na kuuwawa kama kuku?

Iko siku silaha zitapatikana humu humu nchini, halafu tukutane ndio utajua ni mzaa au la.
 
Mpaka pale hamuja nipajibu sahihi, mimi sio kiongozi wa nchi lakini ni raia masikini wa kawaida, lakini nyote hakuna hata wa kunitia moyo, munajibu kama munajadili na tshisekedi mwenyewe! Mimi hata kumjua simjui namuona tu kwa ma taswira za mtandaoni pia nimezaliwa hapanorth kivu ishasha drc, sijui hata kinshasa naisikia kama wewe! Lakini cha ajabu tu ni kwamba sisi ndio tumeuziwa wakati wengine kinshasa wana faida zote za mali ya nchi. Samahani munielewe tu!
Na yote yanayojiri yanachagizwa na mawazo kama yako, it's now or never. Imagine if your population of more 100m of your country think in this way! Mtakwisha ibaki story kama ya dinosaur 🦕.
 
Kuomba silaha kujilinda dhidi ya mitekaji na miuaji ya ccm na mipolisi yenu ni mzaha?

Hivyo una furahi tukiendelea kutekwa na kuuwawa kama kuku?

Iko siku silaha zitapatikana humu humu nchini, halafu tukutane ndio utajua ni mzaa au la.
Kwa nini hukuongea namna hii tangu mwanzo ili nikuelewe upo upande gani?

Kusema Kagame apewe Ngara, nikaona mzaha huu sasa!

Kuna jambo nililotaka kukupa tips namna bunduki za kivita(AKs)zinavyouzwa kama njugu Burundi, ni malaki tu, hata milioni haifiki.

Hapa tunaangalia kwanza Serikali hii haramu itarespond vipi trh9/12.
Vinginevyo zipo mbinu chekwa za kupata zana.

Ninasikitishwa sana na namna vijana wanavyoangamizwa kama mchezo kisa kudai haki za kidemokrasia.

Baada ya 9D kama Serikali haitawasikiliza vijana sasa, kila mtu amiliki mchuma na debe lake la njugu ili heshima irudi.

Wito wa kusalimisha silaha huwaga ni siasa, una hiyari ya kuitii au kukataa.
 
Munaongea mambo yaku chekelea! Mumelewa amani za huko kwenu njo munarusha mabomu za maneno bila ya kufikiri kwanza. Lakini mukumbuke kwamba malipo ni hapahapa. Mutu yeyote anahusika ktk kumwanga damu ya wa kongo wasio na hatia wajue kama kuna muhukumu juu. Gadaffi, sadam hussen, mobutu ama habyarimana hawapo tena! Siku moja waongozi wote iwe wavamizi iwe wenyeji wa nchi siku moja hawatakuwapo tena nao! Anacho panda mtu ndicho atavuna, haya mabaya yote yatarudilia familia zao kwa ajili ya historia zao mbaya! Watoto wao watakosa uhifadhi... Asante!
 
Wakuu

Rais wa Rwanda Paul Kagame ni kama anabariki mwenendo wa baadhi ya mapinduzi yanayotokea barani Afrika ikiwemo yale ya Guine Bissau na amesisitiza kama hadi mapinduzi yanatokea ni ishara kuwa kuna kitu hakiendi sawa kwenye hilo Taifa.

Kagame ameyazungumza haoyo akiongea na waandishi wa habari mjini Kigali, Rwanda
View attachment 3508547

Source DW
Kuna siku atayakumbuka maneno yake yatakapomrudia. Gaddfi aliwahi kulewa madaraka kama kagame akasema kama asemavyo huyu nyuumbu muuaji
 
Munaongea mambo yaku chekelea! Mumelewa amani za huko kwenu njo munarusha mabomu za maneno bila ya kufikiri kwanza. Lakini mukumbuke kwamba malipo ni hapahapa. Mutu yeyote anahusika ktk kumwanga damu ya wa kongo wasio na hatia wajue kama kuna muhukumu juu. Gadaffi, sadam hussen, mobutu ama habyarimana hawapo tena! Siku moja waongozi wote iwe wavamizi iwe wenyeji wa nchi siku moja hawatakuwapo tena nao! Anacho panda mtu ndicho atavuna, haya mabaya yote yatarudilia familia zao kwa ajili ya historia zao mbaya! Watoto wao watakosa uhifadhi... Asante!
"Emotions over intelligence”,lakini kaka yangu kutoka Congo nipende kukutia moyo kila kitu hutokea kwa sababu flani na matokeo hua ni tamati ya jambo au mtiririko wa ma mambo flani na suluhisho la kitu flani ni kinyume cha mambo flani yaliyosababisha tatizo flani
 
Kwa nini hukuongea namna hii tangu mwanzo ili nikuelewe upo upande gani?

Kusema Kagame apewe Ngara, nikaona mzaha huu sasa!

Kuna jambo nililotaka kukupa tips namna bunduki za kivita(AKs)zinavyouzwa kama njugu Burundi, ni malaki tuhata milioni haifiki.

Hapa tunaangalia kwanza Serikali hii haramu itarespond vipi trh9/12.
Vinginevyo zipo mbinu chekwa za kupata zana.

Ninasikitishwa sana na namna vijana wanavyoangamizwa kama mchezo kisa kudai haki za kidemokrasia.

Baada ya 9D kama Serikali haitawasikiliza vijana sasa, kila mtu amiliki mchuma na debe lake la njugu ili heshima irudi.

Wito wa kusalimisha silaha huwaga ni siasa, una hiyari ya kuitii au kukataa.
We leta mchongo huo,huna serikali ya kusikiliza mtu hapa.

Na kaingia ki hsram hawezi kitoka ki demokrasia, bali atatoka ki haram.

Mwiba hutokea ulipoingilua.
D9 ni amsha amsha tu, sidhani kama atatoka.

Kutoka mpaka njugu zitembee bungeni, tuwalaze kama nusu.

Tuchome lile jengo, na mali zao kadhaa, hapo watafunguka masikio.

Niliwahi kupata bunduki mpya kwa jamaa, lakini akaniambia nisingeweza kuisajiri, nikaiacha kama ilivyo.
 
Ukimiliki bunduki bila kibali usiwe na kiherehere cha kutoka nayo ovyo ovyo, hata jirani hatakiwi kuelewa hiyo ishu.

Ukisubiri siku maalumu, utaitumia kwa ufanisi bila majungu.

Bila haya mambo haki haitopatikana kwa kubembelezana!
 
Munaongea mambo yaku chekelea! Mumelewa amani za huko kwenu njo munarusha mabomu za maneno bila ya kufikiri kwanza. Lakini mukumbuke kwamba malipo ni hapahapa. Mutu yeyote anahusika ktk kumwanga damu ya wa kongo wasio na hatia wajue kama kuna muhukumu juu. Gadaffi, sadam hussen, mobutu ama habyarimana hawapo tena! Siku moja waongozi wote iwe wavamizi iwe wenyeji wa nchi siku moja hawatakuwapo tena nao! Anacho panda mtu ndicho atavuna, haya mabaya yote yatarudilia familia zao kwa ajili ya historia zao mbaya! Watoto wao watakosa uhifadhi... Asante!
Mkuu mkimbizi analindwa na sheria na hapewi uhifadhi kwa hisani, labda kama unaongelea watakao omba hifadhi nyumbani kwako.
 
Back
Top Bottom