kagera sugar

Kagera Sugar is a football club from Bukoba, Tanzania. They are a professional football team who play at the top level of Tanzanian professional football, the Tanzanian Premier League. They play at 5,000 capacity Kaitaba Stadium.[1][2]

View More On Wikipedia.org
  1. Juma Kaseja kocha mkuu Mpya Kagera Sugar

    Club ya Kagera sugar imemtambulisha Juma Kaseja kama kocha mkuu atakuwa akisaidiana na Temmy Felix Juma Kaseja anachukua nafasi ya Melis Medo alifukuzwa kazi na kutimkia Singida Black Stars Juma Kaseja ana Jukumu la kuinusuru Kagera Sugar na dhahama ya kushuka daraja Kila la heri Juma
  2. Kagera Sugar yamfuta kazi kocha wake Mellis Medo

    Klabu ya Kagera Sugar imefuta kazi kocha wake Mellis Medo baada ya matokeo mabaya ya timu hiyo msimu huu. Kagera imechukua maamuzi hayo baada ya kocha huyo kuongoza timu hiyo kwenye mechi 14 za Ligi Kuu Bara tangu alipotangazwa kuwa kocha wa timu hiyo, Oktoba 17,2024. Medo ambaye alitua Kagera...
  3. Panda Shuka Na Anguko La Kagera Sugar Football Club

    KAGERA SUGAR KUMALIZA NAFASI YA TATU 2017, MSTARI WA KUSHUKA DARAJA SASA NA ANGUKO LA MISIMU SITA NYUMA KAGERA SUGAR FOOTBALL CLUB kuanzia msimu wa mwaka 2018/19 hadi sasa wanashuka, hapa nitakupa Tathmini yao ya MISIMU SITA kuanzia alama zao kisha idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa pamoja...
  4. Umeme wakatika wakati mchezo kati ya Kagera sugar na Tabora utd ukiendelea!

    Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wachezaji wa Kagera sugar na Tabora utd wamejikuta wakipoteana na kupapasana katika giza nene mara baada ya taa zinazotumika katika dimba la Kaitaba kyzima ghafla! Ikumbukwe hii ni Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika! Je, Viwanja hivi havina standby...
  5. Kagera sugar vs Tabora united | NBC Premier League | Kaitaba | 11 Februari, 2025

    Hivi ni mimi tu ndo naangalia yanayoendelea uwanjani mechi ya Kagera vs Tabora united.... πŸ˜†πŸ˜†
  6. FT: Yanga SC 4-0 Kagera sugar | NBC premium League | 1 Feb,2025 | KMC Complex

    Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera SugarπŸ”°πŸ’ͺ🏽 Dakika ya 15 Mzize anakosa goli la wazi Dakika ya 17 Yng 0 -0 kgr Dakika ya 20 Kagera sugar wanapata Free kick Dakika ya 21 Yanga SC wanapata kona ya kwanza Dakika ya 29 bado ni 0 kwa 0 Dakika ya 31 Mzize kambaaa Dakika ya 41 Yng 1-0 kgr...
  7. Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Kagera sugar

    1. Hii ni moja kati ya mechi bora kushuhudiwa katika ligi ya NBC msimu huu, Simba wamecheza vizuri na Kagera wamecheza vizuri pia. 2. Elie Mpanzu ni mtu, kama asipofanyiwa mambo ya kiswahili atatupa burudani tamu wapenda soka. 3. Fabrice Luamba Ngoma amezaliwa upya, yule aliyekua akicheza...
  8. FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

    Mtanange mkali sana leo. 21/12/2024. MCHEZO WA LIGI KUU TANZANIA BARA. Uwanja : Kaitaba Stadium Kagera. Mwenyeji : Kagera Sugar FC Mgeni : Simba SC ya Dar Es Salaam Muda : 10 jioni. KIKOSI. KIKOSI CHA SIMBA
  9. Kengold wangekamia SBS, KMC au Kagera Sugar kama walivyomkamia Yanga wangevuna walau alama moja

    Hizi timu za Ligi kuu zinasikitisha sana, kumfunga Yanga au kutoa sare haikufanyi upate alama tatu muhimu! Bali nguvu mbinu na mikakati mnayowekeza kukabiliana na Yanga mngewekeza kwenye vilabu vingine hakika mngevuna alama nyingi Sifahamu huwa wanafundishwa nini huko kambini, Ila laiti kama...
  10. M

    Nipo Bukoka mjini, nafikaje kiwanda Cha Kagera sugar?

    Habar wakuu Niko Bukoba mjini nataka kufika kiwandani Kagera sugar nipeni muongozo ...maana Kuna ishu yakaajira naenda fukuzia uko kiwandani
  11. FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Kagera sugar FCπŸ†šYanga Sc saa 11 kamili jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko mpira umeanza dakika ya 5 dube anakosa goli la wazi dakika ya 10 kagera sugar 0-0 yanga sc dakika ya 19 dube anakosa goli la wazi...
  12. Tafadhali Mzize asianzishwe kesho mechi na Kagera Sugar

    Speed ya Mzize ni habari nyingine uwanja wakaitaba vipimo vyake ni vidogo mno kesho mzize tafadhali hasianzishwe tusije kumkuta nje ya uwanja.
  13. Mashabiki wa Yanga Kagera wapiga supu wakiisubiri Kagera Sugar kesho mchezo wa Ligi kuu

    Mashabiki wa Yanga SC mkoa wa Kagera leo wamejumuika na kupata supu kama utamaduni wao wakifurahia na kusherekea ubingwa wa Ngao ya Jamii na kusubiri kuanza kucheza michezo ya ligi kuu ya NBC hapo kesho. Yanga kesho watakuwa katika dimba la Kaitaba kucheza mchezo wao wa kwanza wa ligi msimu...
  14. U

    Ratiba ligi kuu yanga kuanzia ugenini na Kagera sugar agosti 29, Simba nyumbani na KMC agosti 18

    Wadau hamjamboni nyote? Yanga ugenini dhidi ya Kagera sugar 29 August na Simba ataanzia nyumbani uwanja wa KMC 18 August dhidi ya Tabora Swali langu kwanini simba acheze tarehe 18 na kisha yanga akaevwiki 2 ndiyo acheze? Hii imekaaje? Ratiba hiyo hapo
  15. M

    Kiwanda cha Kagera Sugar kipo Kagera sehemu gani?

    Habar wakuu nauliza kiwanda cha Kagera Sugar kipo Kagera sehemu gani. Vipi kiwanda kinaruhusu mtu kununua sukari kiwandani?
  16. Serikali inaagiza sukari nje karibu kila mwaka wakati Tanzania inaweza kuwa inaongoza kwa uzalishaji wa muwa unaoachwa ufie shambani

    Serikali inaagiza sukari nje karibu kila mwaka wakati Tanzania inaweza kuwa inaongoza kwa uzalishaji wa muwa unaoachwa ufie shambani kwa maslahi ya wachache. Mwaka 2022 nimechoma zaidi ya tani elfu moja kwa kigezo cha muwa umepitiliza muda wa kutengeneza sukari. Tani elfu moja ni tunaongelea...
  17. FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

    VS Tukutane saa 10 jioni kwa updates zaidi kuelekea Ubingwa 2023/2024. Nguvumoja# VIKOSI VYA LEO Kagera Sugar FC Simba SC UPDATES.... 2' Simba wanakosa goli la wazi kabisa hapa. Kupitia kwa Freddy Michael. Alikuwa ameshamtoka hadi Kipa. Mpira ukaenda nje. 7' Game on. Mashambulizi...
  18. Kagera Sugar vs Simba SC

    Team zipo kwenye maandalizi. Kagera Sugar wamejipanga vizuri kuweza jipigia Simba hii mbovu ambayo kila atakaye anajipigia. Kagera wametamba kuwa ushindi kwao ni lazima. Yaani wakimkosa kosa sana Simba basi ni draw. Simba inaingia uwanjani ikiwa na woga siku zote inapopambana na Kagera huwa...
  19. FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young AfricansπŸ†šKagera sugar FC πŸ“† 08.05.2024 🏟 Azam complex πŸ•–01:00 usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar mpira umeanza dakika ya 5 0-0 dakika ya 10 0-0 dakika 13 yanga sc wanafanya shambulizi aziz k ananaswa kwenye mtego wa offside dakika...
  20. FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

    ⚽️ Kagera Sugar Vs Young Africans SC πŸ“† 02.02.2024 🏟 Kaitaba πŸ•– 10:00 Jioni Mungu ibariki Yanga SC Kikosi cha Yanga SC Dakika ya 1 Kagera Sugar 0-0 Yanga. Dakika ya 17 Kagera Sugar 0-0 Yanga. Dakika ya 31 Kagera Sugar 0-0 Yanga. 𝐇𝐀𝐋𝐅 π“πˆπŒπ„β±οΈ| #NBCPremierLeague Kagera Sugar 0-0 Young...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…