Kagera Sugar is a football club from Bukoba, Tanzania. They are a professional football team who play at the top level of Tanzanian professional football, the Tanzanian Premier League. They play at 5,000 capacity Kaitaba Stadium.[1][2]
Rejea headline hapo juu,
Kulingana na mechi iliyochezwa leo pale uhuru Simba vs Kagera Sugar kuna namna imefanyika hata ukiangalia wachezaji wa Kagera wanavocheza kama vile wamepewa vyanzo vya kuzidi ili wacheze tu ilimradi kuwa vutia mashabiki wa Simba kwenye mech ijayo dhid ya Wydad wawepo...
Ni kivumbi tena, Kagera Sukari wakiwa wenyeji kuwakaribisha wajelajela wa Tanzania.
Hadi sasa Dakika ya 45 Wakata Miwa wanaongoza kwa goal 1 lililotupiwa na Chirwa Obrey kwa mkwaju wa penati, dhidi ya Prisons wakiwa na Sifuri
Mjomba mtata wa Oman,Mmiliki wa Superdoll anaacha kulipa kodi Tanzania anaenda kuwekeza Afrika kusini, je, huu ni Uzalendo?
NBC mliipiga mkapata mtaji,lakini hamlipi fadhila kwa Taifa letu.
Kila siku danadana ila kwenye majarida ya kimataifa anaandikwa kwa wino mweusi "billionaire" sasa...
Karibuni katika mtanange mwingine wa NBC Premier League kati ya mabingwa watetezi Young Africans SC dhidi ya Kagera Sugar FC katika dimba la Estadio de Azam Complex muda wa saa moja kamili usiku
Kikosi cha Young Africans 👇👇👇
▪️Vikosi vinaingia uwanjani hapa
▪️0' Mpira unaanza
▪️03' Mayele...
Sitaki kuiamini sababu kuwa Kusafiri kwa Basi kwenda Kagera ndiyo kumesababisha Uchovu ule Uliioonekana kwa Wachezaji walipocheza na Kagera Sugar FC.
Ila nikiambiwa moja wapo ya Sababu hizi za Kiuchunguzi nilizozifanyia Kazi nitaaziamini tena kwa 100%.
1. Posho za Wachezaji Kulimbikizwa huku...
Nilitegemea sana Yanga leo kucheza chini ya kiwango na hilo limeonekana dhahiri shahiri wachezaji wamechoka sana ratiba ya ovyo ovyo hii sijawai kuona, Pamoja na yote wachezaji wamecheza kikubwa na kushinda kikubwa cha muhimu leo ilikuwa ni point 3 na zimepatikana ashukuriwe Mungu.
Pongezi sana...
𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 | 𝗙𝗥𝗔𝗡𝗖𝗜𝗦 𝗕𝗔𝗥𝗔𝗭𝗔
Uongozi wa Kagera Sugar Football Club umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Fransic Otieno Baraza.
Uongozi wa klabu unapenda kumshukuru Kocha Fransic kwa mchango wake mkubwa aliyouonesha ndani ya klabu kwa muda wote wa utumishi wake...
Wafuatao ni wasanii kumi ambao hawajawahi kuwa namba moja kwenye muziki lakini pia hawajawahi kupotea kabisa kwenye muziki yaani kwenye mpira tunaweza kuwafananisha na Kagera Sugar FC. Kama mjuavyo huwa Kagera haichukui kombe lakini pia haishuki daraja.
1. Ambwene Yesaya (AY)
2. MwanaFA
3...
Wakuu Habari ya Wakati.
Hivi Kigezo gani kimetumika timu kubwa zote kucheza Mechi zao za Kombe la FA nyumbani?
Na kama kigezo ni ukubwa wa timu je Coastal Union ni kubwa kuliko Kagera Sugar, Polisi na Geita?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayawiii Hayawiii, Siku Imewadia, Ni mtanange wa Kukata Na Shoka Katika Ya Kagera Sugar na Yanga, Timu hizi Zinakutana zote zikiwa na Wachezaji Wengi Wapya.
Uwanja Mzuri, Teams Nzuri Zikicheza leo Pale Kaitaba Kagera.
Je Timu ya Wananchi Itaanza Vizuri Mchezo wake wa Kwanza Wa Ligi Kuu? Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.