Wajomba na mamshangazi twende Direct!
Ukigundua mke wako kajenga nyumba kwa usiri na imeisha anakula kodi kimya kimya Ilhali bado mmepanga na mnalipa kodi...maamuzi gani utayachukua?
Kumbuka kuwa mmepanga naye kajenga nyumba bila wewe kujua.
Mhusika anahitaji mawazo yenu.