Utaamua vipi ukigundua mke wako kajenga nyumba kisirisiri bila wewe kujua?

Youbettersleep

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2019
Posts
955
Reaction score
1,672
Wajomba na mamshangazi twende Direct!

Ukigundua mke wako kajenga nyumba kwa usiri na imeisha anakula kodi kimya kimya Ilhali bado mmepanga na mnalipa kodi...maamuzi gani utayachukua?

Kumbuka kuwa mmepanga naye kajenga nyumba bila wewe kujua.

Mhusika anahitaji mawazo yenu.
 
Attachments

  • -q5m803.jpg
    -q5m803.jpg
    72.7 KB · Views: 32
Wajomba na mamshangazi twende Direct!

Ukigundua mke wako kajenga nyumba kwa usiri na imeisha anakula kodi kimya kimya Ilhali bado mmepanga na mnalipa kodi...maamuzi gani utayachukua?

Kumbuka kuwa mmepanga naye kajenga nyumba bila wewe kujua.

Mhusika anahitaji mawazo yenu.

Nitampenda zaidi, maana ni mwanamke haswa, hizo ndo tabia zao
 
Wajomba na mamshangazi twende Direct!

Ukigundua mke wako kajenga nyumba kwa usiri na imeisha anakula kodi kimya kimya Ilhali bado mmepanga na mnalipa kodi...maamuzi gani utayachukua?

Kumbuka kuwa mmepanga naye kajenga nyumba bila wewe kujua.

Mhusika anahitaji mawazo yenu.
Naongeza mke mwingne
 
Nyamaza kimya
Kisheria Ruksa na yeye kuwa na mali zake binafsi acha ujinga

Hqlafu mali za mwanamke hazipotei huwapa watoto wake tofauti na wanaume huhonga mahawara

Wewe kama hujui wanae waweza jua vizuri tu ila wamekula kiapo kutokwambia wao na mama yao kwa sababu wazijuazo wenyewe vizuri kukuhusu wewe

Mpaka ufichwe lazima ujihoji wewe binafsi sio mtu mwingine
 
Hili suala ni mtambuka sana na linahitaji nguvu ya akili na mwili kuamua nini cha kufanya, umenena vyema na sahihi na ninakubaliana na wewe 100%.
 
Wajomba na mamshangazi twende Direct!

Ukigundua mke wako kajenga nyumba kwa usiri na imeisha anakula kodi kimya kimya Ilhali bado mmepanga na mnalipa kodi...maamuzi gani utayachukua?

Kumbuka kuwa mmepanga naye kajenga nyumba bila wewe kujua.

Mhusika anahitaji mawazo yenu.
Kuna yule mwamba aliyekuwa amepanga kwenye nyumba ya mkewe bila kujua kwa miaka 10 sijui nae anasemaje.
 
Back
Top Bottom