Ulienda kwenye ndoa kufuata mali zake au yeye? Mali zake ni zake.Kwa hiyo kila anachomiliki mwanamke unataka uwe.sehe ya hizo mali zikiwemo chupi na sidiria zake?Wewe sio sehemu ya hiyo familia na haupo kwenye mipango Yao ya muda mrefu.
Anza taratibu za kuvunja hiyo ndoa, huku ukimsaka laazizi wako
Mali iliyopatikana ndani ya ndoa ni ya wanandoa.Ulienda kwenye ndoa kufuata mali zake au yeye? Mali zake ni zake.Kwa hiyo kila anachomiliki mwanamke unataka uwe.sehe ya hizo mali zikiwemo chupi na sidiria zake?
Ana hqki kuwa na vyake kwa jina lake akikwambia sawa asipokwambia sio kesi
Hiyo kwenye sababu za kuvunjika ndoa haiko kuwa ohhh mke anakuficha mali zake ndoa ivunjike hakuna kitu kama hicho