kale

Kale (), or leaf cabbage, belongs to a group of cabbage (Brassica oleracea) cultivars grown for their edible leaves, although some are used as ornamentals. Kale plants have green or purple leaves, and the central leaves do not form a head (as with headed cabbage). Kales are considered to be closer to wild cabbage than most of the many domesticated forms of Brassica oleracea.

View More On Wikipedia.org
  1. May Day

    Hivi ilikuwaje Pepe Kale akaimba ule wimbo wa "Yanga Africa?".

    Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?. Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
  2. Manuell

    Stolen african artifact/ kazi za kisanii za kale zilizoibiwa katika kipindi cha ukoloni

    Huyo ni mjusi/Dinosaur anayeamika kuishi Tanzania miaka mingi iliyopita ambaye kwa sasa mabaki yake yamehifadhiwa katika Makumbusho nchini ujerumani. hio ni moja kati ya maelfu ya kazi za kisanii, mabaki ya viumbe hai vilivyoibiwa katika kipindi cha ukoloni. katika kipindi cha ukoloni ukiachana...
  3. Kaka Ibrah

    SoC02 Vya kale vya dumisha vya sasa vya dhoofisha

    Kulingana na mada kama jinsi nilivyo itambulisha hapo juu "VYA KALE VYA DUMISHA VYA SASA VYA DHOOFIDHA", hapa nazungumzia juu ya suala la "Afya". Baadhi yetu wapo ambao wamekuwa wakiamini kuwa afya ni kuwa na mwili ulionenepa, pia wapo ambao wanaamini kuwa afya ni kuwa na muonekano mzuri...
  4. Sky Eclat

    Watu wa kale walizikwa na vito vya thamani walivyomiliki

    Hii picha ilipigwa mwaka 1970 nchini Buligaria katika mji wa Varna. Ma archeologists walichimba kaburi hili linalosadikiwa kuwa ni la miaka 500BC. Ubora wa dhahabu waliyoikuta wanasema haujawahi kuonekana tena duniani. Wana harakati wana hoji hao archeologists walipata wapi kibali cha...
  5. L

    Wachina watembelea makumbusho ya visukuku ya Chengjiang na kujionea muujiza na mvuto wa viumbe wa kale

    Tarehe 28 Juni huko Yuxi mkoani Yunnan China watu waliingia katika Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang ili kuchunguza asili ya maisha na kujionea mwujiza na mvuto wa viumbe wa kale. Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang linahifadhi zaidi...
  6. L

    Mabaki ya kale 13,000 yafukuliwa Sanxingdui nchini China

    Mabaki ya kale 13,000 ya kitamaduni yamegunduliwa kutoka katika mashimo sita kwenye eneo jipya la kazi ya ufukuaji katika eneo la mabaki ya kale la Sanxingdui nchini China. Taasisi ya Utafiti wa Mabaki ya Kale na Akiolojia ya Mkoa wa Sichuan ilitangaza hayo katika mkutano wake na wanahabari...
  7. L

    Uhifadhi wa vitabu vya kale wakumbatia teknolojia ya kidijitali mkoani Henan, China

    Juni 6, 2022, Shi Weixia, mfanyakazi wa makavazi ya wilaya ya Wenxian katika mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan, China ananakili vitabu vya kale na kubadilisha kurasa za vitabu vya kale kuwa mafaili ya picha. Kuanzia mwaka jana, Makavazi ya Wenxian imekumbatia teknolojia za kisasa katika kupanga...
  8. S

    Hivi kwa dunia ya leo mnafuata nini kwenye ndoa? Ndoa ni mambo ya zama za kale

    Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda. Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana. Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila...
  9. Mohamed Said

    Hapo zamani za kale: Historia ya Mwalimu Thomas Staudtz Plantan na Clement Mohamed Mtamila

    HAPO ZAMANI ZA KALE: HISTORIA YA MWALIMU THOMAS SAUDTZ PLANTAN NA CLEMENT MOHAMED MTAMILA Ulikuwa ukiingia nyumbani kwa Mwalimu Thomas Plantan Mtaa wa Masasi kitu kimoja ambacho kitakushangaza ni "trophy," vichwa vya wanyama vilivyotundikwa katika ukumbi mzima wa nyumba yake. Nyumba ya Thomas...
  10. Mtukutu wa Nyaigela

    Tofauti kati ya pasaka ya Agano la kale, pasaka aliyoiacha Yesu na pasaka ya sasa (easter)

    Jibu la Biblia Pasaka ni sherehe ya Kiyahudi iliyowakumbusha jinsi Mungu alivyowakomboa Waisraeli kutoka katika utumwa wa Misri mwaka wa 1513 K.W.K. Mungu aliwaagiza Waisraeli wakumbuke tukio hilo muhimu kila mwaka katika siku ya 14 ya mwezi wa Kiyahudi, Abibu, ambao baadaye uliitwa...
  11. Red Giant

    Jinsi Wamisri wa kale walivyogundua kuwa mwaka una siku 365

    Hawa wamisri wa kale ndiyo watu walioleta ustaarabu tunaouona duniani leo hii. Wagiriki walijifunza ustaarabu kutoka Misri ya kale. Moja ya mambo waliyogundua ni kuwa mwaka una siku 365. Waligundua namna hii. Ukichunguza jua kwa mwaka mzima utaona kuwa sehemu linakichomoza na kuzama hubadilika...
  12. Logikos

    Mgeni Siku ya Kwanza (Ni wapi Chimbuko la hili Shairi la Kale)

    Mgeni siku ya kwanza mpe mchele na panza; mtilie kifuani, mkaribishe mgeni. Mgeni siku ya pili mpe ziwa na samli; mahaba yakizidia, mzidishie mgeni. Mgeni siku ya tatu jumbani hamuna kitu. mna zibaba zitatu, pika ule na mgeni. Mgeni siku ya nne mpe jembe akalime. akirudi muagane, aende kwao...
  13. THE SPIRIT THINKER

    Mfumo wetu wa jua ulivyo jiumba hapo zamani za kale

    FAHAMU SAYARI ZETU 8 ZILIVYOJIUNDA 🤔 Sayari zimeanza kujiunda mara baada tu ya mfumo wetu wa Jua ulivyomaliza kuundika kutokana na mawingu mazito yenye gesi na mavumbi mavumbi yatokayo huko interstellar space Mawingu mazito yalipasuka kutokana na mvumo au twaweza kusema shockwave iliyotokea...
  14. I wish i have

    Katika Mashindano ya AGANO la Kale na Jipya

    Ikifika kwenye MASHINDANO ya kusolve matatizo ya JAMII wanasheria ni wazuri sana kwa vifungu... Miamba ya vitabu Vya dini wakiamua kupambana kwa kutumia Jamii ya watanzania kujua lipi AGANO ni zuri AGANO JIPYA au AGANO LA KALE huwa mnasolve matatizo vipi:?
  15. Red Giant

    Meli za kale zaidi duniani

    Pesse canoe, Uholanzi. Miaka 10,000 iliyopita. Urefu mita tatu upana cm 44. Dafuna Canoe, Nigeria.Miaka 8000 iliyopita. Hii waliikuta chini kama mita 5 mchangani huko Nigeria. Urefu mita 8 upana nusu mita.
  16. Bushmamy

    TANZIA Hidaya wa Pepe Kalle afariki dunia jijini Arusha

    Mwanamama maarufu na mrembo Hidaya Khamis Mtumwa almaarufu Hidaya wa Pepe Kalle amefariki Dunia leo asubuhi jijini Arusha, msiba upo nyumbani kwake Kaloleni. Hidaya alitamba miaka ya mwanzoni mwa 90 baada ya mkongwe wa mziki wa Rhumba Marehemu Pepe Kalle kumtungia wimbo wa kumsifia. Marehemu...
  17. C

    Vijana wa kale, tukumbuke enzi zile, huku vijana wa sasa wakijifunza

    Maisha yanachangamoto nyingi sana. Mara nyingine unaweza kuona dunia haikutendei haki na hata uanweza kukata tamaa. Lakini ukiangalia mapito ya waliotutangulia, unaelewa kuwa maisha ni safari tena isiyonyooka. Kikubwa ninachojifunza mimi ni kwamba, anzia unapoanzia, safari yako ikifikia mwisho...
  18. ladyfurahia

    Wako wapi wa kale

    Habari wadau wa JF NAWAULIZIA MALEGENDARY JAMANI Nawasaka wale wenzangu na mm tuliokuwa tukileta mada hapa naona kuko kimya sana wako wapi wa le wa kale jamani akina Mtambuzi , KakaKiiza , snowhite , @Jfsonwin, CharmingLady , Passion Lady , Watu8 , Lady doctor, Khantwe [huyu yupo kidogo]...
Back
Top Bottom