Habari wadau wa JF
NAWAULIZIA MALEGENDARY JAMANI
Nawasaka wale wenzangu na mm tuliokuwa tukileta mada hapa naona kuko kimya sana wako wapi wa le wa kale jamani akina Mtambuzi , KakaKiiza , snowhite , @Jfsonwin, CharmingLady , Passion Lady , Watu8 , Lady doctor, Khantwe [huyu yupo kidogo]...