kalemani

Medard Matogolo Kalemani (born 15 March 1968), commonly known as Medard Kalemani, is a Tanzanian lawyer and politician, who serves as the Minister of Energy in the Tanzanian cabinet, since 7 October 2017. Immediately prior to his appointment to his current cabinet position, he served as Deputy Minister of the combined energy and minerals ministry, which was split into two, with Angellah Kairuki, assuming the mining docket.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mbunge Medard Kalemani umeshindwa kupiga kelele ili stendi ya mabasi Chato ifanye kazi?

    Jimbo la Chato ni kama limetelekezwa na mbunge wake Medard Kalemani kwani toka atumbuliwe kwenye nafasi yake ya waziri wa nishati amegeuka bubu. Chato ilijengwa stendi nzuri sana ya mabasi lakini leo ni mwaka wa nne toka ikamilike lakini haitumiki! Yani wananchi wa Chato wanateseka kwa kuchomwa...
  2. M

    Pre GE2025 Huyu Mussa Magege anayewania ubunge Chato ataweza kupambana na miamba kama Kalemani au Katwale na wenzake? Nasikia anajipigia chapuo chinichini.

    Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini. Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamba wakifiwa .Moja ni Hilux Nyeusi. Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye...
  3. M

    DOKEZO Barabara za Chato zinaharibiwa na mkandarasi uchwara. Amejenga njia za maji za ovyo. Kalemani yupo tu hana lolote

    Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara. Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
  4. F

    Rais mrejeshe Kalemani wizara ya nishati Uchumi ukue

    Nadhani ifike mahali tukubali kama taifa kuwa tulijikwaa pakubwa (tulikosea sana) kumuondoa Mhe. Dkt. Medard Kalemani MB toka kwenye Baraza la Mawaziri na Wizara ya Nishati. Hali tuliyo nayo ya nishati ya umeme Tz ni wazi kuwa hatuwezi kuvutia uwekezaji mkubwa zaidi tu ya uwekezaji mdogo mdogo...
  5. M

    Pamoja na Mary Chatanda kumpigia debe Kalemani ili arudi bungeni wananchi wa Chato wameapa kutomchagua tena. Hawamtaki Kalemani

    Nimepigiwa simu na mdau. Kuwa huyu mama alikuwepo Chato jana. Mbaya zaidi anasindikizwa na msafara ya polisi kana kwamba ni kiongozi wa serikali. Baada ya Kalemani kumzawadia zawadi ya ng'ombe na mafuta ya Alizeti huyu mama na kiswahili chake cha Tanga akaanza kumpigia debe Kalemani. Kuwa...
  6. Medard Kalemani & Tito Mwinuka: Collaboration Iliyoongoza TANESCO kwa Mafanikio Makubwa

    Ukweli usemwe: Enzi za uongozi wa Medard Kalemani na Tito Mwinuka kukatika kwa umeme ilikuwa ni nadra sana, ma meneja wa TANESCO wa mikoa na wilaya walikuwa matumbo joto. Kitengo cha emergency kilifanya kazi mchana kutwa, usiku kucha, huko vijijini speed ya kuwasha umeme kwenye miradi ya REA...
  7. Chato wajiapiza 2025/2030 watamchagua Katwale. Kalemani hajaleta mradi wowote tangu Dkt. Magufuli afariki dunia

    Wana Chato wamejiapiza kwamba uchaguzi wa ubunge unaokuja, wanakwenda na Katwale. Wanachato wanasema kwamba Katwale alikuwa chaguo lao lakini JPM alimpandikiza Kalemani. Gumzo kubwa wilayani Chato ni kwamba miradi yote wanayoiona Chato ni kazi ya JPM. Mbunge wao Kalemani hajafanikisha mradi...
  8. M

    Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

    Mengine mkosoeni ila, mradi wa JNHP alikuwa anaenda vizuri.
  9. Uteuzi wa Katwale Ukuu wa Wilaya Chato: Kalemani kaoneshwa njia ya kuondoka? Aligombea ubunge Chato, akapachikwa Kesi za Uhujumu Uchumi

    Sijafahamu lengo la SSH kumpeleka Katwale kuwa mkuu wa wilaya ya Chato. Huyu ndugu ni mtaratibu, mpole, na aliwahi kufanya kazi NEMC kama mwanasheria, akajijenga kisiasa, akakubalika kweli kweli, ila Jiwe akawa anamtaka Kalemani ambaye alikuwa dhaifu kisiasa. Ikasukwa zengwe, akapita Kalemani...
  10. Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

    MTANGAZAJI MAHIRI nchini Tanzania, Gerald Hando amemuuliza Januari Makamba kwanini alipoingia kwenye Wizara hiyo umeme ukaanza kukatika hovyo kwanini asimuulize Kalemani aliwezaje. "Januari Makamba tumuulize swali moja dogo sana Kalemani amekaa miaka 6 umeme haujakatika yeye ameingia tu umeme...
  11. Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

    Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa. Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja...
  12. P

    Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

    Afrika tu ambapo haitoi nafasi Kwa viongozi wake watangaze kujihudhuru huku wakimlikwa na vyombo vya habari na kuelezea kila kimewasibu! Kwa Africa na Tanzania, hiyo ni dhambi kubwa na adhabu yake yaweza kuwa ni kuuwawa Kwa amri ya viongozi wa juu! Ilikuwa vigumu sana endapo ungeling'ang'ania...
  13. Tetesi: Dkt. Kalemani kupewa mifugo huku Ndaki akipigwa chini

    Duru zinatabanaisha huenda Rais Samia akafanya mabadiriko kwenye baraza la mawaziri hivi karibuni huku ikitarajiwa Dkt. Kalemani kurejeshwa kwenye baraza tarajiwa na atapewa ahudumu wizara ya mifugo wakati huohuo aliyepo sasa ikitarajiwa atafutwa kazi. Mabadiriko hayo pia yatagusa baadhi ya...
  14. Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    January nahisi nyota yake ina giza sana! Haiwezekani yeye tu kutajwa na hata kusemwa kwa ubaya tuuuu! Ukiona jamii inayokuzunguka haishi vigenge vya kukusema kwa ubaya tambua kutoboa kwako katika jambo fulani itakuwa vigumu sana. Ukweli ni kwamba 75% ya Watanzania hawamweli na zaidi...
  15. Kama ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere uko chini ya viwango, Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi

    Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango). Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili...
  16. Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

    Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia. Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko. Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda. Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu...
  17. S

    Ukiunganisha dot ndo utaelewa: Alitolewa Kakoko bandarini akatolewa Chamriho ujenzi, akatolewa Kalemani Nishati n.k

    Nasema hivo kwa sababu zifatazo: Kwanza mara tu baada ya Rais Samia kuingia alifanya mabadiliko bandarini akidaiwa kuwa Kakoko ni fisadi na akawekwa chini ya uchunguzi ambao mpaka leo hakuna kilichoelezwa kwa undani tofauti na propaganda! Naweza kuamini kuwa Kakoko alitolewa pale...
  18. Hatuhoji mamlaka za uteuzi lakini tuambiwe Kalemani alikosea nini pale Nishati?

    Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati? Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati. Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa...
  19. TANESCO isifiche kuhusu mgao wa umeme

    TANESCO wawe wawazi kuwa kuna mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini kwa hivi sasa. Pengine itakuwa ni jambo jema zaidi kama ingetoa ratiba ya mgao huu ili watu waweze kujipanga zaidi kutokana na athari zinazojitokeza. Tumeshuhudia busara kubwa iliyofanyika kupitia taarifa iliyotolewa na...
  20. Kuhusu umeme: Kalemani alimdanganya Rais Samia

    Gazeti la Mwananchi la Machi 16,2021, lilikuwa na habari kwamba Samia Suluhu Hassan, ambaye wakati huo alikuwa Makamu wa Rais, amesema kwamba tatizo la kukatika kwa umeme litafikia mwisho siku hiyo. Ukienda kusoma taarifa hiyo, utaona Rais Samia (akiwa Makamu wa Rais0 alisema kwamba amezungumza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…