kalemani

Medard Matogolo Kalemani (born 15 March 1968), commonly known as Medard Kalemani, is a Tanzanian lawyer and politician, who serves as the Minister of Energy in the Tanzanian cabinet, since 7 October 2017. Immediately prior to his appointment to his current cabinet position, he served as Deputy Minister of the combined energy and minerals ministry, which was split into two, with Angellah Kairuki, assuming the mining docket.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyankurungu2020

    Kama wanaCHATO wamefurahi Dkt. Kalemani kutenguliwa Uwaziri, je atalamba ubunge 2025?

    Mtu ambae ana mawazo mgando anaweza kuuliza huyu jamaa labda hana akili timamu! Amejua vipi akili za wanaChato? Kwa ufupi nimekaa Chato kama wiki nzima ili nishuhudie tukio la kuzimwa mwenge maana zilikuwa ni mbio maalumu. Ok zimeisha. Mimi nikasema sitageuka home(kapuni) nikapita mitaa ya...
  2. Kamanda Asiyechoka

    Kalemani: Mwenge haujawahi kuzimiwa kwenye wilaya hii ni mara ya kwanza Chato

    Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato. Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani Chato.
  3. chiembe

    Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

    Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni...
  4. Jaji Mfawidhi

    Tetesi: Sababu za Dkt. Kalemani kutumbuliwa Uwaziri, genge lamponza

    Watu wanasema, lile genge linaloitwa huko mitandaoni "Suk.... gyeng" Walijimilikisha hii nchi na yule mwendazake. Waziri Kalemani atumia kivuli cha ‘maagizo kutoka juu’Jamhuri August 18, 2021 Waziri Kalemani atumia kivuli cha ‘maagizo kutoka juu’2021-08-18T13:17:24+00:00 Na Mwandishi Wetu...
  5. N

    Waziri Medard Kalemani anadharaulika sana kuliko Mawaziri wote

    Sijajua Waziri Kalemani anakwama wapi, hivi sasa yeye ndiye Waziri anayedharaulika kuliko Mawaziri wote, Maagizo yake mengi yamekuwa yakipuuzwa sijui anacheka cheka na Raia au tatizo nini? Alianza na suala la Wananchi Vijijini waunganishiwe umeme haraka TANESCO wakampuuza, Kafuata suala la...
  6. Nyankurungu2020

    Kuna shida kubwa ya maji Chato. Waziri Kalemani hajali kitu, anachojali ni kusambaza taa za mitaani

    Kama kuna waziri anayepwaa katika uongozi basi ni Dk Kalemani. Maana hana maono ya uongozi. Kiongozi mwenye busara utasambaza taa za mitaani huku wananchi hawana uhakika wa kupata maji? Yapata wiki sasa maji hayatoki mambombani, yakitoka yanatoka usiku kidogo tu. Kama mbunge kwa nini hautatui...
  7. K

    Waziri Kalemani usikubali Mgao wa Umeme Dar

    Baadhi yetu tunalijua hili shirika vizuri sana from experience, Tangu juzi lilipotokea tatizo la kuungua substation Morogoro maeneo mengi ya jiji la Dar yana changamoto ya umeme kukatwa kwa muda mrefu (zaidi ya masaa 7). TANESCO ni wasumbufu mno. Ni shirika linalopaswa kuendeshwa kwa mkono wa...
  8. B

    Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

    Lema kupitia space anasema "Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke...
  9. Shujaa Mwendazake

    Bei Kandamizi: Waziri Kalemani azuia gharama za umeme za Sh. 2,000 hadi 3,700 badala ya Sh.100 kwa unit moja

    Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani amefanya ziara kisiwa cha Maisome Mwanza na kuagiza kampuni binafsi inayosambaza Umeme katika kisiwa hicho kutoza bei elekezi ya Serikali ya Umeme Vijijini ya Tsh 100 kwa unit moja badala ya Tsh 2,000/- mpaka 3,700/- iliyokuwa ikitozwa. My Take: Inaonekana kama...
  10. Analogia Malenga

    Dkt. Kalemani: Watazania 15000 wataajiriwa katika ujenzi wa bomba la mafuta

    Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewataka Wananchi watakaopitiwa na ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kujitokeza na kuzitumia fursa mbalimbali ambazo zitapatikana wakati wa ujenzi wa bomba hilo Dkt. Kalemani amesema watanzania zaidi ya 15,000 wataajiriwa katika...
  11. Roving Journalist

    Waziri Kalemani: Siku 100 za rais Samia, Sekta ya nishati imepeleka neema kwa wananchi, Vijiji 400 vimepata Umeme

    SIKU 100 ZA RAIS SAMIA, UMEME VIJIJI 400 Na. Georgina Misama - MAELEZO Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema katika siku 100 za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya nishati imepeleka neema kwa wananchi wa maeneno mbalimbali huku akitaja kuwa...
  12. Shujaa Mwendazake

    Waziri Kalemani: Vijiji vyote kuwa na umeme Desemba 2022 0

    Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amewataka Watumishi wa Shirika la umeme Tanzania ( TANESCO) pamoja na REA, kufanya kazi kwa kasi, kwa ubunifu na kwa usahihi ili kuhakikisha vijiji vyote nchini vimeunganishwa na umeme ifikapo mwezi Desemba mwaka 2022. ” Ni kauli mbiu ya Wizara...
  13. Influenza

    Tatizo la kununua Umeme wa LUKU: Waziri Kalemani amsimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA wa TANESCO

    Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amewasimamisha kazi kwa siku 10 Meneja wa TEHAMA na Huduma za Biashara wa TANESCO, Lonus Feruzi na wasaidizi wake Frank Mushi na Idda Nja. Ametaka watoe maelezo ya tatizo la mifumo ya LUKU, na kuagiza maelezo yao yasipojitosheleza waondolewe kazini. == Waziri...
  14. Idugunde

    Medard Kalemani: Mwenge wa uhuru kuzimwa kitaifa Chato

    Hayo yamesemwa na waziri wa nishati ambae pia ni mbunge wa Chato. Mbio za Mwenge kuhitimishwa Chato JUMAMOSI , 15TH MEI , 2021 Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2021, zenye kauli mbiu isemayo TEHAMA ni msingi wa Taifa endelevu, itumie kwa usahihi na uwajibikaji, zitahitimishwa Oktoba 14, 2021...
  15. Mkaruka

    Kazi ya kuweka Vinasaba (Marking) kwenye mafuta, TBS hawajui, Wabunge na Waziri Kalemani hajui chochote kinachoendelea. Je, kodi stahiki italipwa?

    DISCLAIMER: Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu hili suala kwa jinsi nilivyoliona na kulishuhudia. Sina maslahi yoyote na suala hili. ========= Ni maajabu juu ya maajabu. Nchi ina maajabu sana hii. Iko hivi: Hivi karibuni bungeni, Mb. Shabiby na Tabasamu waliibua hoja kwamba serikali imepigwa...
  16. moe junior

    Waziri Kalemani msaidie meneja wa TANESCO Mkoa wa Iringa

    Salaam! Nikiwa Ni mmoja wa wahanga wa kusotea huduma ya umeme katika halmashauri ya manispaa IRINGA kata ya IGUMBILO, Ni wazi kwamba Meneja wa TANESCO kazi imemshinda. Mteja analipia huduma, TANESCO wanakuja kukagua na kutoa control namba ya kulipia lakini baada ya kuwapa pesa tu mteja atasubiri...
Back
Top Bottom