kalenda

  1. John Haramba

    Mtwara: Kesi ya mauaji inayowakabili askari saba yapigwa kalenda, mshtakiwa aweka ‘POZI’ kupigwa picha

    "Mmeridhika?" ndivyo anavyosikika Ofisa Upelelezi (OC CID) Wilaya ya Mtwara, Gilbert Kalanje na mshtakiwa namba moja wa kesi ya mauaji inayowakabili maafisa saba wa Polisi mkoani Mtwara huku kesi hiyo ikiahirishwa. Kalanje na maofisa wenzake sita leo Jumanne Machi 8, 2022 wamefikishwa katika...
  2. L

    Wanyama na wadudu waamka kipindi cha tatu cha mwaka “Jing Zhe” kwa kalenda ya kichina

    Katika utamaduni wa China, watu hugawanya mwaka mzima kwa vipindi 24 kwa jumla, na tarehe 5 Machi itakuwa ni siku ya kuanza kwa kipindi cha wadudu kuamka, kwa kichina ni “Jing Zhe”, ambayo ni kipindi cha tatu katika mwaka mzima, ambapo mimea na wadudu wataanza kukua kwa kufuata mabadiliko ya...
  3. DustBin

    Elimu: Changamoto za utekelezaji wa kalenda ya mtaala

    Nawasalimu kwa jina la JMT Kazi iendelee..... Nikiwa kama mdau wa Elimu nimebaini haya yafuatayo hasa baada ya kupitia maoni ya baadhi ya watu ambao wengi wao ni walimu juu ya utekelezaji wa kalenda mpya ya mtaala inayowataka walimu wote Tanzania kuwa sawa ktk ufundishaji. Kwa maana kama leo...
  4. Lastmost

    Je, ni kweli kuna kalenda mpya ya kufundushia kwa ajili ya walimu Tanzania nzima?

    Leo Kuna mwalimu nimekutana naye akanieleza kuhusu kalenda mpya ya kufundishia shule za msingi na za sekondari. Anadai kuwa waalimu Tanzania nzima watafundisha kitu cha kufanana ktk wiki na mwezi. Yaani hakuna mwl kuwa mbele au nyuma ya wengine, iwe private au serikalini. Mada moja itafundishwa...
  5. Miss Zomboko

    Mbunge ashauri Serikali kuweka mtaala wa kufundisha Watoto kalenda ili kuzuia Mimba za Utotoni

    Dodoma. Mbunge wa Kigoma Kusini nchini Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nashon Bidyangunze ameshauri Serikali kuweka mtaala ambao utawafundisha watoto kufahamu vyema kalenda. Nashoni ameyasema hayo Oktoba 24, 2021 wakati akizungumza katika semina ya kuangalia namna bora ya kuboresha...
  6. M

    Yanga SC na GSM yenu hivi kama Kesi hii Haki ni yenu kila Siku CAS wangekuwa wanaipiga Kalenda (Danadana) tu Kimaamuzi?

    Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi March au May kama sijakosea na ikapigwa Kalenda. Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi July na ikapigwa tena Kalenda. Yanga SC mlitutangazia tena kwa Mashamsham na Kujimwambafai Kwenu kuwa Hukumu itatoka leo ( Mwezi...
  7. E

    Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.
  8. waziri2020

    Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara Salehe Salim Alamri na wenzake yapigwa kalenda

    Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara,Salehe Salim Alamri na wenzake imehairishwa leo katika mahakama ya wilaya ya Babati mkoani Manyara. Kesi hiyo nambari 11 ya mwaka 2020 imehairishwa leo na hakimu wa mahakama hiyo,Jumaa Mwambago hadi Agosti 21 mwaka huu baada...
  9. Infantry Soldier

    Kwanini mwaka ya Serikali (Julai - Juni) unatofautiana kwa mbali na mwaka wa kawaida wa kwenye kalenda (Januari - Desemba)? What's the logic behind?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini mwaka ya serikali (July - June) unatofautiana sana na mwaka wa kawaida wa kwenye kalenda (January - December)? What's the logic behind? Kwanini bajeti ya serikali sio ya kuanzia January mpaka December 2020...
  10. Lis

    Naomba elimu na ushauri kuhusu kalenda yangu, baada ya kunywa emergency pills

    Heshima kwenu doctors, naomba kuelimishwa juu ya hili tafadhali:- Binafsi Nina mzunguko wa siku 27 wa hedhi, ninautumia kujua siku zangu za hatari na salama. Lakini mwezi huu ilitokea nikafanya katika siku ya hatari, na ikanibidi ninywe emergency pills, sikuwa na jinsi. Swali langu ni je...
  11. dubu

    Ilala: Kesi ya viwanja ya wanaCCM Masunga na Abdallah Bulembo yapigwa kalenda

    Kesi ya jinai inayomkabili mfanyabiashara ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UWT-CCM Wilaya ya Kinondoni, Frolence Masunga (45) mkazi wa Kimara Suka jijini Dar es Salaam imeahirishwa tena. Kesi hiyo imetajwa kwa mara ya pili leo Machi 9,2020 ambapo ilishatajwa kwa mara ya kwanza Januari...
  12. Analogia Malenga

    Unazijua kalenda zinatofautiana miaka

    Dunia ina jumla ya kalenda 33 zinazotumika hadi hivi sasa, kalenda tunayoitumia nchi nyingi za Afrika ni hii ya Gregory mkuu, Je wazijua Kalenda nyingine? Kalenda ya kiebrania inayotumiwa na waisrael kwao huu ni mwaka 5780 – 5781. Kalenda iliyo na miaka mingi ni ‘Holocene calender’ hii...
  13. Analogia Malenga

    Fahamu: Leo ni februari 15, 2020 kwa kalenda ya Julius

    Inashangaza kwa kalenda ya Gregory mkuu ambayo wengi tunaitumia leo ni Februari 29, 2020 lakini kwa kalenda ya Julius leo ni Februari 15 Kalend tunayoitumia inaitwa Greogarian Kalenda kwa sababu ya mchango wake kuhusu ile robo ambayo inakosekana kwenye kalenda ya Kaisari Julius Papa Gregory...
  14. Dr Orb

    Je, wewe ni Mkristo au Muislamu? je, kalenda unayoitumia unaijua?

    Historia kuu inayozingatiwa kuhusu hesabu za miaka ni ile yenye mlengwa wa kidini. ambapo historia hiyo inasema miaka 2019 ilianzia mwaka 1 ambapo Yesu kristo alipozaliwa kwa mujibu wa Dionysius Exiguu. Hesabu hii haikuwa na uhakika na ilikuwa kimakadirio tu ya bwana Dionyius. Sababu kuu ya...
Back
Top Bottom