kali

  1. Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

    Wanaukumbi. Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku. Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central...
  2. Sikiliza piano kali sana kutoka Ipinda, Kyela

  3. Nazionea huruma nchi za Magharibi, hawataki kuzaliana huku wakikaribisha mamilioni ya itikadi kali kwao

    Liberals na policies zao za kufungua dunia. Immigration policies mbovu za mataifa haya kwa kudhani kupokea watafutao maisha bora, asylum na hifadhi kwamba wata adapt na misingi ya west kumbe walikuwa wanajidanganya. Sasa leo mzungu ni wa kuzaa watoto wawili au mmoja na pengine kutozaa kabisa...
  4. Watu wa kutoka mataifa ya itikadi kali ni wa ovyo sana hata kama wako ugenini

    "when you are in rome, do what romans do" Unajua cha kushangaza kuhusu hawa jamaa ni misamamo yao. Msimamo wao mkuu huwa ni wazungu, wakristo na wayahudi ni jamii ya watu wasiofaa kabisa. Lakini cha ajabu ni kwamba wanapopata matatizo nchi zao hizi mahala pa kwanza pa kukimbulia huwa ni...
  5. Kwa wale wenye komputa za kawaida, pata games kali za mpira na nyingine nyingi

    TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC XBOX GAMES 0710701361 FIFA14 PATCH 24 OFFICIAL KWA PC INAPATIKANA🔥🔥🔥 INAHITAJI RAM 4GB NA PROCESSOR KUANZIA 2...GHZ PES 17 PATCH 24 KWA AJILI YA PC INAPATIKANA 🔥🔥🔥 PC INATAKIWA KUWA NA 4GB RAM PROCESSOR ANGALAU YA 2...GHZ ,60GB STORAGE. PIA PES 24 YA PS4 ZA...
  6. Jihadi haina utakatifu wowote, ni mkakati wa matamanio binafsi ya waasisi wa itikadi kali

    Ngoja nikuambie vyema mpendwa kama hautaki kuelewa basi bishana na mizimu ya nyumbani kwenu. Hakika njia iliobaki kipindi waasisi wenu wanaijenga imani yenu na kuisambaza ilikuwa ni force na intimidation. Kipindi Muhamad anaanzisha imani yenu aliwahakikishia imani nyingine za uyahudi na...
  7. Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

    Wakuu unaweza kutana na pisi kali sana njia lakini inatembea na kuisimamisha tu inaeza ikachana mkeka ukaibika sana, maana saa nyingne unakuta ni mazingira yana watu. Ofcoz inakuwaga mziki sana kuanzisha maongezi kwenye mazingira kama haya, ningependa kwa mwenye trick atusaidie.
  8. Magharibi lazima waamke, wasikubali itikadi kali wanaoshi kwao wakanyage values za West walizozikuta

    Itikadi kali mnachekesha sana na hakuna watu wanafiki zaidi ya nyie duniani. Mnakaaga na kuwasema vibaya nchi za magharibi na kuwaita makafir lakini pale inapotokea matatizo makubwa nchini mwenu hizo zilizojaa fujo sehemu ya kwanza kukimbilia huwa ni USA, UK, Germany, France, etc. Sasa mmejaa...
  9. Msaada wa Gengetone kali

    Nimeanza kusikiliza Gengetone. Naburudika, nacheka na kushangaa. Msaada wa gengetone kali kali. Natanguliza shukrani. https://youtu.be/kfzc-JOotH0?si=UrWSjEj8YvAph9lE
  10. KWELI Upo uwezekano mdogo wa Mwanamke kupata ujauzito akisafisha uke kwa taulo yenye Shahawa

    Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake. Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
  11. Makonda na Januari wana nyota kali sana

    Kwema Wakuu! Bila kujadili ubora na udhaifu wao yaani Makonda na Januari. Kitu pekee ambacho nimekiona ni kuwa Wananyota Kali Sana. Moja ya dalili ambayo itakuonyesha wewe au mtu fulani ananyota kali basi ni mambo mawili tuu, Moja kusemwa Sana iwe kwa Mazuri au kwa Mabaya. Kusemwa sana...
  12. Kati ya 100 kilos ya Ferre Gola VS Associe ya Fally Ipupa ipi ilikuwa na bado ni ngoma kali

    Kuna hizi ngoma kali mbili za hawa miamba kutoka Congo Associe ya Fally Ipupa na 100 kilos ya Ferre Gola. Mbivu na mbichi itajulikana. Ni ngoma ya mkali gani imenyooka vizuri upande wako kati ya Associé - Fall Ipupa [Intro] Assoc, associé L'empereur Tchatcho Mbala Kashogi Ba diamants ebele...
  13. M

    Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

    Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine. Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine...
  14. Hii vita ni kali kuliko ya jamaa zetu tunaowafahamu!

    Kwa wafuatiliaji wa mitandao hasa kule X na habari za Palestine na Israel, binafsi nasoma kidogo kwa wabongo alafu naenda kwa walio karibu na eneo husika. Ni hivi; kuna jamaa naona ni Mmarekani anaitwa Jackson Hinkle huyu jamaa anashabikia sana habari za mauaji yanayofanywa na IDF na kuna...
  15. Movies 50 kali za kivita za muda wote

    Top 50 war movies. 1. Saving Private Ryan (1998) 2. Apocalypse Now (1979) 3. Full Metal Jacket (1987) 4. Platoon (1986) 5. Black Hawk Down (2001) 6. Das Boot (1981) 7. The Thin Red Line (1998) 8. Paths of Glory (1957) 9. Hacksaw Ridge (2016) 10. 1917 (2019) 11. Dunkirk (2017) 12. Patton...
  16. D

    Kati ya ZEPPELIN na AVIATOR ipi kali?

    Wapambanaji niaje? Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaocheza hii michezo ya kindege kinachopaaa halafu unakuwa unashinda pesa pale ukiwahi kutoa pesa kabla hakijalipuka. Nilianza kuijua ZEPPELIN kupitia kampuni ya Sokabet then jana kuna mshkaji akanionyesha hii AVIATOR. Binafsi naona ni...
  17. Duh hii Kali ya mwaka, nimepokea simu kutoka kwa mwana ukoo ambae ni black sheep kwenye familia yake. Alichoniambia kimenishangaza

    Black sheep ; Mdogo wangu shemeji yako ana mimba ina miezi minane sasa nakupa taarifa mapema kabisa ujue kaka mwezi ujao anajifungua so nikija kukupigia simu kukuomba msaada usishangae. Pambana pambana kaka unitafutie hela kidogo ili isaidie atakapo jifungua. Me: siko powa kaka siwezi...
  18. Hakujawahi kuwa na series kali ya kivita zaidi ya Band of brothers

    The series dramatizes the history of "Easy" Company, 2nd Battalion, 506th Parachute Infantry Regiment of the 101st Airborne Division, from jump training in the United States through its participation in major actions in Europe, up until Japan's capitulation and the end of World War II.
  19. Ni sound track gani kali kuipita hii?

    Zipo nyingi ikiwamo furaha iko wapi ila hii naipenda zaidi https://youtu.be/1ecD4YhxBFs?si=9gt_nHJi2_zprqit
  20. Ajabu na kweli: Padri wa kanisa katoliki kaoa mke na anavuta sigara kali!

    Ukistaajabu ya Musa hujaona ya Firauni. Hivi majuzi nilikuwa mitaa fulani nikapita karibu na maskani ya padre mmoja wa kanisa katoliki. Kwa mbali nikamuona mwanamke wa makamo anafanya usafi na kulisha mifugo. Haujapita muda mrefu nikakutana na kijana na kumuuliza kama padre yupo akanijibu padre...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…