kali

  1. Chizi Maarifa

    Kati ya Pacome na Chasambi ni vita kali sana

    Hawa wataingia kwenye msuguano mkubwa sana. Huyu dogo Chasambi wa Mkia na Pacome wa Yanga. Hawa ni level moja kabisa, tuone tu Chasambi atakuwa na matches ngapi kuja lingana na Pacome.
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Lipi suluhisho la kudumu kwa mtu mwenye harufu kali ya mwili?

    Nimewahi kukutana na kuishi na watu wenye harufu kali, harufu ambayo hata nguo zao zikifuliwa kwa sabuni ya kipande inaendelea kubaki kwenye nguo zao, lakini leo nimepanda boda aisee, yule boda miwili wake una harufu kali sana. Nikamuuliza vipi dogo umekesha nini akasema hapana ndio kaingia...
  3. monotheist

    Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

    Mimi ni mwanaume nina allergy na vitu vyenye harufu kali, mimoshi ya sigara na vumbi napenda sana kujipulizia perfume lakini zinanishinda naishia kupata mafua makali Je, perfume ipi ambayo imepoa itafaa kwa matumizi yangu bila kuniletea shida ya mafua makali bajeti yangu isizidi 30,000
  4. M

    Sidhani kama kuna series kali kushinda Game of Thrones?

    Najua zipo series nyingi sana ambazo waandishi walituliza akili kuziandika kama vile vikings,lord of the rings etc,ila bado sijakutana na mzigo mkali kama Game of thrones, humu mwandishi alijua watazamaji ni nini tunataka na akatupatia. Natumai waandishi bongo muvi watafikia levo hizi 1 day.
  5. Z

    Kila inapokaribia mitihani napata stress kali nashindwa hata kulala naishia kupostpone chuo. Naomba msaada

    Habari wana JF, Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam. Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini. Nifanye nini kupambana na hii hali...
  6. S

    Joto kali laporomosha soko la wanawake vibonge. Vimbaumbau wanapeta.

    Ukitaka kukutana na uvundo usioelezeka, basi tafuta demu mwenye umbo la tembo. Utajuta kwann ilimtaka. Kutokana na mijasho inayomwagika hovyo mwilini fungus wametapakaa kwenye mikunjo na michirizi yote. Vimbaumbau ndiyo mpango mzma kwa joto hili. © Sexless kungwi la kitaa.
  7. The dumb Professor

    Kwa bajeti ya milion 2 niwekeje ghetto liwe Kali?

    Wataalam, Asiwadanganyeni mbwa yeyote kukaa kwa baba mkwe jau sana...Hii nyumba nayoishi masaki ni ya baba mkwe, Sasa juzi kati luku iliisha nikampigia kumuomba anunulie nyumba yake umeme,looh hayo maneno niliyomwagiwa ni heri kumwagiwa maji ya ukoko. Sasa kwa hasira nachofanya mshahara...
  8. Roboti Wa Nape

    Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku. Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na...
  9. Mto Songwe

    THROWBACK: Demu wangu - Mchizi Mox ft Ngwair nani alipiga verses kali?

    Throwback hii hapa kwaju wa demu wangu wa Mchizi Mox ft Ngwair nani alipiga verses kali na aliflow kinyamwezi For me naenda na mwanangu Ngwair aliumiza sana humu ndani hasa kile kipande cha "niguse niku chanechane na viwembe" nakikubali sana. Wewe kwako nani aliumiza humu ndani?
  10. GENTAMYCINE

    Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Pole sana Ferre Gola kwani kila ukijitahidi kumkimbiza na kumkuta Mpinzani wako Fally Ipupa tokea mkiwa Waimbaji na Wanenguaji wa Kiume wa Koffi Olomide unakuta ameshafika mbali Kimuziki muda mrefu sana. Sauti ya Kipekee ya Fally Ipupa inaendana vyema kabisa na Nyimbo zake zote za taratibu (...
  11. Cecil J

    Ipi ni soundtrack yako kali kwenye movie au series ulizowahi kuangalia?

    ....
  12. Shining Light

    Joto Kali: Wanawake Wajawazito na Watoto Wachanga Waathirika Zaidi

    Wanawake wajawazito wanaweza kuwa hatarini zaidi wakati wa joto kali kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Joto kali linaweza kuzidi uwezo wa mwili wa kudhibiti joto la mama mjamzito, na hii inaweza kuongeza hatari ya matatizo wakati wa ujauzito na kujifungua. Muda wa kujifungua, wanawake...
  13. Kyambamasimbi

    Tujikumbushe Movie Kali Pendwa miaka hiyo ya 1980s-1990s na vibanda umiza kiingilio sh.10.

    Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
  14. A

    DOKEZO Sehemu ya kusubiria abiria Kivukoni joto ni kali na feni hazifanyi kazi

    Kuna tatizo tunaomba Serikali, Jamii na hasa mamlaka husika zifahamu ili hatua zichukuliwe, ni kuhusu kero ya joto kutokana na msongamano wa watu Kivukoni Jijini Dar es Salaam. Abiria tunaotumia vivuko tunapata shida sana wakati wa kusubiri Kivuko kwenye lounge kutokana na joto kali...
  15. kavulata

    HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000? Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu...
  16. BARD AI

    Wanne wakamatwa kwa kutengeneza Pombe Kali 'Feki' Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata Watu wanne ambao ni Ramadhani Mdoe (30) Mkazi wa Msamvu akiwa na wenzake watatu wakiwa wanatengeneza na kusambaza pombe kali feki katika kiwanda kisichosajiliwa (kiwanda bubu) kilichopo Mtaa wa Tushikamane Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro...
  17. azithromycim

    Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store. Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
  18. Nigrastratatract nerve

    Vyombo vya dola viwachukulie hatua kali sana matapeli wanaojifanya chawa kwa kumshushia hadhi yake Rais

    Serikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas Mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na mafisadi na kuamua kuleta uongo wa kiwango cha Hali ya juu kwa Hali inavyoendelea? kwani nani hajui...
  19. Pang Fung Mi

    Malipo ya Bima kwa wote itaunganisha watanzania kuanzisha vita kali dhidi ya CCM

    Umoja ni nguvu na changamoto na shida ni chachu ya kuleta umoja wenye nguvu. Maisha magumu sana sana na mpango huu wa bima kwa wote ndio ccm na serikali yao ya kidhalimu itajua haiju dadadeki kudadedeki acha vita ije haraka. Wakati wa kuukataa upumbavu ushafika. Tusubiri yajayo yana heri Wadiz
  20. central midfielder

    Ni zipi ngoma kali za Hip Hop 2023?

    WAKUU KWEMA. HABARI ZA ASUBUHI. TUKUTANE KIDOGO HAPA NDUGU ZANGU WA HIP HOP. Wakati tunaenda kuumaliza huu mwaka 2023. Nitajie Top 10 ya ngoma zako bora ambazo umesikiliza sana kwa mwaka 2023 kwa upande wa Hip Hop lakini. Sio hizo trap. Ukishindwa nitajie top 5 yako..Yale mawe makali ya HIP...
Back
Top Bottom