Mimi Mjanja M1 sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitaandika uzi kwaajili ya wanyama hususani wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa na wengine ambao tunawafuga.
Kwenye pilika zangu nimekutana na Vitoto vya Paka vikiwa vimetupwa jalalani na muhusika (Mfugaji) hajulikani. NILIUMIA SANA 😢
Ukiachana na...
Hii imekaaje kaaje wakuu kwenye vyombo vya Habari tunaona mashambulizi baina ya Russia na Ukraine sio makali kivile yaani unakuta wanarusha bomu ila linaharibu tu upande wa jengo hatusikii takwimu za kutisha watu kufa ukilinganisha na vita ya Israel pale Gaza yaani ghorofa linapigwa kweli...
Kauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu...
Hii kashfa ilikuepo siku nyingi sana sema ndo nchi haina vyombo vya habari hamna wa kureport.
---
New fears have arisen about the suitability of Rwanda as a destination to send UK asylum seekers after a damning government assessment about the prevalence of poverty and malnutrition in the...
Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama wao. Katika mwendo wao wa kuhama waliingia nchi za tambarare zilizo chini ya mlima Kilimanjaro kwa...
Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze.
Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo...
Serikali imeamuru kufungwa kwa muda usiojulikana kwa Shule zote kutokana na joto kali ambalo linalotarajiwa kufikia hadi nyuzi joto 45 (113F) na kudumu kwa Wiki 2, huku ikionya Shule ambayo itakaidi maagizo hayo itafutiwa Usajili wake.
Sudan Kusini inapitia Vipindi virefu vya Joto wakati wa...
Kwenye fomu ya CCM ya kuomba kugombea ubunge kuna kipengele kinachotamka kuwa umekifanyia nini chama.Jibu la hapo ni lazima uwe umefanya kitu kama mwana CCM kimojawapo ni kusaidia kutatua kero ya wananchi kwa kuwapa misaada jamii ya wananchi wengi
Msaada sio Kampeni ni msaada tu wana CCM wataka...
Ligi yetu inakua ila baadhi ya wachezaji na mashabiki bado Wana fikra za kipuuzi na za kizamani. Ni upuuzi kwenye ligi kuu ya nchi kuwa na wachezaji wanaoamini goli halipatikani sababu ya taulo la kipa au kuna vitu vimefukiwa.Hayo mambo ni ya timu za mtaani. Ajabu zaidi hata zinazojiita timu...
Msanii aliyetamba na ngoma ya Imekaa vibaya na Tumbo joto , Abdul Miraj maarufu kama Kali P amesema hataki tena kusikia masuala ya Muziki .
Kali P amesema ameamua Kumrudia Muumba wake na sasa hive ana takribani miaka 12 ameingia katika dini na ameachana na maswala ya Muziki.
"katika dini yetu...
Habari ya wakati huu JF members, nina imani mnaendelea salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kushare japo kidogo hili swala ninalolipitia.
Mimi na familia yangu(baba, mama, kaka na wadogo zangu) hatukutoka kwenye familia ya yenye uwezo. Maisha tuliyokuwa tunayaishi tangu nikiwa...
Salaam wakuu,
Kila mwaka wenzetu Zanzibar wamekuwa wakipata visa vya vifo kutokana na ulaji holela na usio makini wa KASA. Tukiendelea kuendekeza hili suala tutajikuta kila mwaka tunapoteza nguvu kazi nyingi tena za familia moja kutokana na ulaji wa huyu kiumbe.
Ni vyema mamlaka za Zanzibar...
DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji yenu yanakuja harufu kali sana ya Dawa za kutibu maji kiasi kwamba hata ladha ya maji imepotea.
Sasa...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna hiki kipande cha video kinachobamba mtandaoni kuhusu mapacha wawili ‘wanaokiri’ hadhrani kufanyiani mtihani ‘chuoni’.
Ukisikiliza kwa makini na kwa utulivu wa hali ya juu, utagundua kuwa hawa watu wanaigiza tu. Haiingii akilini watu...
Wadukuaji wanaiba account za wengine kufanyia shughuli ambazo wanaogopa kuzifanyia kwenye account zao au ndugu zao, shughuli hizi ni:
kuposti picha / video za uchi,
kuposti linki kwenye magroup
kuziuza account,
kuweka link na kuwatag marafiki
kutapeli
kutukana / kudhalilisha watu maarufu,
n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.