Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Kila muoneaji na mkandamizaji hapa duniani ni rafiki mkubwa wa china na urusi na analindwa kimaslahi na wao.
Kila machafuko yanayotokea dunia kwa asilimia kubwa yanafadhiria na syndicates za kutoka mashariki ya kati.
Liberals sasa Wameona vitabu vya kishoga vimepigwa marafuku, sasa wameanza kutengeneza cartoon shows zenye maudhui ya kishoga ila mwanao wa kiume ahamasike.