Hivi kipindi kile Nape alipiga marufuku VPN au ilikuaje? Nakumbuka kama alisema wanaotumia vpn watashtakiwaSerikali ije inikamate mana natumia VPN niko France sa h
Yule hajui lolote yaani watukamate wananchi wote tulio online 😀😀😀Hivi kipindi kile Nape alipiga marufuku VPN au ilikuaje? Nakumbuka kama alisema wanaotumia vpn watashtakiwa
Ndio mkuu, kama kweli ni makosaYule hajui lolote yaani watukamate wananchi wote tulio online 😀😀😀
Kama mtumiaji wa VPN atashtakiwa ndio huko huko VPN kupigwa marufukuHivi kipindi kile Nape alipiga marufuku VPN au ilikuaje? Nakumbuka kama alisema wanaotumia vpn watashtakiwa
Yap , nimetembea maeneo ya umbwe kule ni jadi kabisa lakini hauwezi kuta wamekuwa waraibu kama mazombi tofauiti na sehemu nyingine unakuta mtu hadi sura imeeanza kuwa nzee na yupo 20sWengine tamaduni ,mf sisi wachaga hatutakaa tuache kunywa mbege hata kama tuna Status ya namna gani.
Kuna wakati tuliona wazee ndio wanaozifata hizi pombe za kienyeji
Utaita gongo, chang'aa , etc
View attachment 3467323
Ukata?
Ulevi usio na mipaka?
Trend?
Msongo?
What happened?bi
Ni serikali na sera zake, Tunatukuza sana pombe nchi hii, hapa yenyewe Nina hangover ya konyagi za janaKuna wakati tuliona wazee ndio wanaozifata hizi pombe za kienyeji
Utaita gongo, chang'aa , etc
View attachment 3467323
Ukata?
Ulevi usio na mipaka?
Trend?
Msongo?
What happened?