Picha ya pili mpaka ya Tano ni display moja hiyo Dell ya kulia ikiwa katika HDMI na DPMwaka na waya sio tatizo kubwa unaweza kununua monitor leo ambayo ni ovyo kuliko hizo mbili.
Inabidi uangalie spec na technology za hizo monitor.
Kwa vile dp na hdmi zote zinadeliver digital signal ile ile hakutakuwa na tofauti kama settings ni zile zile, kujihakikishia hilo tumia monitor moja yenye ports za dp na hdmi kama utaona tofauti yoyote.
Picha ya pili mpaka ya Tano ni display moja hiyo Dell ya kulia ikiwa katika HDMI na DP