Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa na kuwa sheria ndani ya miezi michache.
Yakianzishwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, majadaliano bungeni yalipelekea kupitishwa siku ya Jumapili kwa kanuni...
Ukimuona utadhani malaika/
Kwa jinsi alivyo umbika/
Jicho la kulainika/
Kiuno kimebinuka/
Tumbo limefutika/
Mpodo umejazika/
Sauti yake tamu hakika/
Yaani mtoto kakamilika/
Ana haiba ya kutukuka/
Na msafi mithili ya paka/
Ni mrembo alopambika/
Na anavutia kwa kila rika/
Ukimuona...
Nimejiridhisha na kwa mafanikio hizi ndo nyimbo Tani Kali zaidi za amapiano kuwahi kutengenezwa Tanzania
1. Single Again - Harmonize
2. Mama Amina - Mario
3. Ticha- Harmonize
4. Shetani - Marimboso
5. Anajikosha - Harmonize
Duniani kunamambo ~ dito voice
Kweli dunia inamambo tena toka kitambo. Pisi inayojiita kali ina-date na shamba boi kutoka Muleba, njemba haikijui choo. Haja zote inamaliza mtoni yani tiiiiiiiiiii.............. then pwaaaaah ndani ya maji ya mto.
Swali kwenu wadada wa Jf, je unaweza date na...
Leo Machi 30, ni Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani, Mtayarishaji Mkubwa na Bora wa Muziki Tanzania.
Alianza kujihusisha na Muziki mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati akisoma International School of Tanganyika. Majani amehusika kwa kiasi kikubwa kujenga heshima ya...
Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K.
niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network sasa!!
ukiwa mjini centre utaiona simu iko poa kabisa inashika 4g+ ni ngumu kujua kuna tatizo...
Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali.
Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models, haireflect maisha au?
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya vikali Viongozi wa Chama hicho Waliostaafu na kumaliza muda wao wa uongozi na ambaohawakubahatika kupata nafasi katika uchaguzi uliofanyika 2022 ndani ya chama hicho kuacha mara moja tabia ya kuvuruga chama.
Viongozi hao wameonywa kuacha mara moja...
Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi.
Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au...
Naishi Tabata Chang:eek:mbe_ Dar es Salaam, siku 3 leo hakuna umeme kabisa! Napiga simu huduma kwa wateja eti najibiwa namba haipatikani! TANESCO usingizi gan huu mmelala?
Salaam MMU, guyss naomba tushare chats huku tukificha contacts za warembo tunaochat nao kila siku, either iwe tunawatongoza, tunavoomba mbususu, wanavotupiga mizinga etc ili tujifunze na kuchekana pia .. Mi naanza kwa kushare screenshots zangu...nanyi tiririkeni
Kuna Dada kila GENTAMYCINE nikibahatisha kuwa na Hela au Nikiokota Pesa njiani huwa napenda Kununua Vyuku ( Nyama ya Kuku ) wa Kukaanga Kwake.
Kilichonishangaza na Kunishtua kila nikienda Kununua huwa ananiambia kuwa nikianza Mimi Kununua Kuku Kwake huwa zinatoka upesi na Wateja humiminika...
Jana katika pita pita mtandaoni nikatembelea mtandao wa kenya talk, nikakuta title sijui imeandikwa wazazi kujeni muone watoto wenu nikafungua thread nikakuta Kuna clip nikaifungua!! La haula, nilijuta hata kuifungua aisee, mpaka nikatetemeka
Kuna jamaa mtu mzima kidogo alikua uchi wanampiga...
Hata mheshimiwa rais ameipa big up hiyo slogan ya hawa jamaa zetu wapendwa. Lakini tunawaona jamaa zetu hawa hawaitekelizi hiyo slogan. Kila siku tunawaona na kuwasikia wakiendelea kuonesha hate kali dhidi ya JPM ambaye sasa ni marehemu. Ni vyema sasa wakaacha kufanya hivyo. Yaliyopita...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) katika Ukumbi wa Kuringe - Mkoa wa Kilimanjaro leo tarehe 08 Machi, 2023.
Rais Samia akipokelewa na Viongozi wa Chadema...
Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama wa Bujibuji Simba Nyamaume , dawa ya kuotesha nywele kwenye upara na nyingine nyingi. Na kuna madawa ya...
Inawezekana huyu msanii ana bahati mbaya sana katika upande huu wa mahusiano. Ni kweli au kazi tu!?
Tizama wimbo huu mkali kabisa..
Bushoke nae karejea vizuri kabisa.
Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.
Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.
Ila problem ninayookabiliana nayo...
Naona sijui ni mimi tu nakutana nazo hizi gari baadhi za serikali za viongozi wengi zinakuwa na tinted Kali mpk aliye ndani ya gari umuoni mpk ashushe kioo sasa sijui kina fichwa nini ndani humo maana zingine mitaani tu tunakutana nazo. Sasa je, ni halali kuweka ile tinted nyeusi kabisa?
📌 Taifa letu hapo ndipo Tunapokwama kila kiongozi njaa kali.
Mtu anazurura Kwenye chama miaka nenda rudi hafanyi kazi ajishughurishi siku akapewa kitengo Taifa analifanya lake.
VIONGOZI WOTE NJAA KALI.. CHA MSINGI KIJANA PAMBANA PIGA KAZI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.