kali

  1. D

    Hivi kuna vita kali duniani kama hizi?

    Habarini za mchana wote tunajua hakuna vita dunian kubwa kama vita kati ya hii Mungu na shetani kuachana na hii vita hivi kuna vita ngumu nyingine kupigana kama hizi 1) VITA KATI YA MOYO NA AKILI 2)VITA KATI YA UTAFUTAJI WA PESA NA KUMUABUDU MUUMBA 3)VITA KATI YA UAMINIFU NA...
  2. G

    Charger yangu inapata joto kali nikichajia power bank, inaweza kuharibika ama kuharibu power bank? Nini sababu na suluhisho?

    Chaja nikichajia simu wala haina shida lakini hali ni tofauti kwa power bank, inapata joto kali nikichajia power bank, zikipita dakika 40 hivi charger inakuwa na joto si mchezo. Charger yangu details zake ni hizi Samsung - Adaptive Fast charging Input: 100 - 240V, 50-60Hz 1.0A OUTPUT...
  3. T

    DOKEZO Wanywaji wa pombe kali tuwe makini, kuna pombe kali feki nyingi nchini

    Kama ni mnywaji wa hard liquor inabidi uwe makini sana. Mimi nilishanunua jagger shopperz, nafika home nafungua tu, ikatoka kaharufu fulani not amazing. Second chupa haina filter, nikarudi shoppers nikawaambia, huu mzigo feki, wahindi wakagoma goma. Nikawaambia filter ni lazima iwepo...
  4. Hizi ndizo games kali za android na iOS za kudrive kwa sasa

    Habari Sasa hivi katika android na iOS wanatuletea games zenye graphic kali kama kwenye PC vile haya hapa chini ni majina ya games kali za kwenye simu za android na iOS Number one ni truckers of Europe 3 kutoka kwao Wanda software Number mbili ni bus simulator 2023 kutoka kwao ovidiu pop
  5. Dear gambe(moja ya Ngoma kali yake Youngkiller)

    Dear gambe umefanya maisha yangu ya yumbe Mi nimpambe wako leo nimekutumia ujumbe Mi ndugu yako nipe ukweli usini fumbe Uwepo wako karibu vipi unafanya ni yumbe Kila muda kwene friji unajipoza Mi domo zege nikisha kutumia natongoza Nalewa usiku kucha jua lina chomoza Nasindikiza, na supu asuhi...
  6. Chama cha tunaokataa ndoa hatuyumbishwi, tujuane kwa vibe kali na tuwakomeshe

    Wasalaam JF, Kama mada inavyojieleza wale wana na mabaharia wa Chama letu la kataa ndoa tujuane kwa umoja wetu.
  7. Ripoti: Wakenya zaidi ya Milioni 6 wanakabiliwa na Njaa Kali

    Ripoti mpya iliyotolewa na taaisi ya Kenya Food Security Steering Group imeonesha idadi ya Wananchi walioathirika na Ukame imeongezeka kutoka Watu Milioni 4.2 iliyoripotiwa July 2022. Pia, ripoti imeonesha zaidi ya Watoto 970,000 wenye chini ya miaka 5 na akina Mama Wajawazito na Wanaonyonyesha...
  8. Komesha harufu kali ya miguu kwa kutumia VODKA

    TIBA MBADALA NA BUJIBUJI Hamna kitu inakera kama kwenda ugenini huku ukijua wazi kabisa kuwa miguu yako inatema chechex hadi moto unaweza kuwaka kwa harufu Kali. Kama unajijua unapitia tatizo hilo hamna noma, Bujibuji's Remedies inafanya kazi kwa ajili yako. Chukua buku mbili yako, ingia...
  9. J

    Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho. Chanzo: ITV Dakika 45
  10. List ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa

    Wakuu, katika kuzunguka kwangu hapa Tanzania nimefanya kautafiti kadogo kuhusu pisi kali, na nimekuja na orodha ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa hapa Tanzania. 1. Mbeya 2. Katavi 3. Rukwa 4. Kigoma 5. Simiyu 6. Lindi 7. Geita 8. Mtwara Muwe na usiku mwema
  11. Phone4Sale Simu kali sana 128GB / 6GB RAM kwa 275,000 TU OFA!

    Hii ofa sio ya kukupita karibu ujipatie Sharp Aquos Zero (Japan Brand) ni mtumba kutoka USA kwa ofa ya 275,000 Tu, hii unapta simu pamoja na USB- Type C charger. 0764081567 Free delivery in Dar es salaam
  12. M

    Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

    Haya Majiniasi (Akili Kubwa) wa JamiiForums hebu njooni mtupe Ujiniasi wenu katika hili Sisi Mangumbaru (Akili Ndogo) kwani wenye Akili Kubwa wanadai katika hili kuna mahala Tundu Lissu Kawatega lakini pia kuna Hesabu Kali mno inachezwa hapa ambayo ikikosewa tu Mzanzibari atadharaulika na hatoamini.
  13. T

    Je, Serikali ya awamu ya sita itatoboa salama 2025 au yajayo ni siri Kali?

    Leo naandika mambo ya jicho la tatu. Kama Kuna mtu haamini juu ya viumbe visivyo onekana basi msg hii imfikie popote alipo. Hayati Magufuli amelala ila mwendo aliumaliza. Watu wasio mpenda Waka sema Asante Mungu jitu katili limeondoka ngoja tuitamalakie nchi tule nakufurahia maisha. Wengine...
  14. Simulizi: Sasha Mlinzi wa Nafsi - 1

    SASHA MLINZI WA NAFSI. Sehemu ya............1-2 Mtunzi: Saul David WhatsApp: 0756862047 UTANGULIZI... Majira ya mchana wa jua kali mwanaume mmoja anaonekana akitembea kwa taabu sana katikati ya jangwa moja kubwa. Upepo mkali ulikuwa ukivuma kiasi cha kusababisha vumbe jingi kutanda hewani hali...
  15. Hizi hapa mechi tatu kali za kimataifa Simba vs Yanga je ni nani atakusanya point nyingi kuliko mwenzie?

    Ligi ya mabingwa Africa pamoja kombe la shirikisho kutimua vumbi kuanzia week ijayo, huku Tanzania ikiwakilishwa na Simba na yanga. Ikumbukwe kuwa simba na yanga wote wataanzia ugenini, je ni nani atafanya vizuri katika mechi tatu hizi za awali? πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
  16. Makombora yenye shabaha kali kupewa Ukraine, zege hailali, hii ndio fursa sasa

    Ukraine kupewa makombora yenye uwezo wa kupiga kwa shabaha kali sana, likatumwa ndipo linapiga... Kipindi hiki Urusi imelemazwa na Ukraine ndio muda muafaka wa kuwezeza Ukraine pakubwa, zege hailali, Urusi isipewe fursa ya kuamka tena.... ================== Western allies pledged precision...
  17. B

    CCM Momba Tunduma waandamana kuadhimisha kuzaliwa kwake

    02 February 2023 Tunduma, Tanzania CCM WAWASHA MITAMBO, WARUSHA "MAKOMBORA' KWA WALICHOKIITA CHAMA CHA UPANDE WA PILI Wanachama wa CCM jimbo la Momba wamejitokeza kwa wingi barabarani kufanya shughuli za kisiasa kujibu walichoita mapigo upande wa pili walioanza mikutano ya hadhara. Baada ya...
  18. TBT: Unadhani vijana wa zamani walikua pamba kali kuliko sasa?

    Hivi ni kwa nini baadhi ya vijana hupenda kuvaa mlegezo?
  19. Ukweli wa pisi kali, kuliwa na jamaa boya!

    Watu wakubwa Habari zenu, Nisipoteze muda, kuna bandiko moja nilisoma jamaa analalamika pisi kali kuliwa na Bodaboda. Na kwenye comment watu wengi wana support haiwezekani mtu boya kula au kuoa Pisi kali. Kwanza ijulikane bodaboda sio Boya kuna watu nawafahamu ni bodaboda ila wanamiliki...
  20. Kali Ongala (almasi iliyojificha kwenye tope) ndio Arteta asiyeaminiwa pale Azam. Azam ikitaka kuwa kubwa wampe timu.

    Aliichukua timu kwa muda anashinda karibu kila mechi. Akawapiga Simba na Alikuwa awapige na Yanga sema refa alikuwa upande wao. Lakini Kama kawaida wivu, ushamba na kutokujua wakampa timu mzungu wa % za kugawana timu imeanza kupoteana. Timu yenye kila kitu inakosa akili kubwa kiongozi. Kali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…